Januari Makamba akanusha Afrika Mashiriki kutambulisha pesa ya pamoja

Januari Makamba akanusha Afrika Mashiriki kutambulisha pesa ya pamoja

Page inakuwaje kanyaboya ikiwa Grey verified hapa kuna kitu hakiko sawa..
Inabiidi ile page ichunguzwe tutapata mengi sana
Ellon Musk alikuta twitter haina vyanzo vya mapato, moja ya jambo akafanya ni kuuza verification

lakini si mbaya, hili jambo litufungue kuwa media na vyanzo mbali mbali vina impact kubwa sana kwa jamii
 
Ewe ChoiceVariable njoo huku ujibu ulitoa wapi taarifa zile na kusambaza hapa Jukwaani. Kwa lengo gani?

Niliwaonya TCRA kuhusu wewe na Uwasilishaji wako wa Taarifa hapa.
 
Screenshot_2024-03-04-06-12-38-483_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
 
Tunasemaga humu wabongo baadhi uwezo mdg..wao wakiona blue tick wanaamini tu
Mkuu wabongo reasoning yetu ni ya chini na ndio maana kila siku tunapigwa. Hata ukiangalia wanaopigwa na akina kalinda yani unashangaa mbona dalili za utapeli ziko wazi.
Sijui ni kutofuatilia, siku hizi unalipia tu verification X wanakupa
 
Wengi wabongo ni mbumbumbu fulani hivi...kujiona wajuaji kumbe hawajui lolote

Hizo blue tick unalipia wanakupa
 
Page inakuwaje kanyaboya ikiwa Grey verified hapa kuna kitu hakiko sawa..
Inabiidi ile page ichunguzwe tutapata mengi sana

Unapoona taarifa kubwa mtandaoni, unafanya upembuzi yakinifu kujiridhisha wewe mwenyewe kwa kujaribu kutafuta sources nyingine....

Kwenye uzi wako kule niliandika pale points kadhaa, jaribu kuzipitia...

Kuwa na blue tick au tick ya rangi yeyote sio lazima iwe habari ya uhakika...

Kuna watu huko X wana hizo tick na waliweka habari za kizushi kuwa Mzee Mwinyi kafariki na kutuwekea sijui picha za barabara Mkuranga wakiaminisha watu kuwa ni maandalizi ya msiba, sasa tazama mzee mahali alipozikwa na tarehe ya umauti iliyotangazwa...
 
Ewe ChoiceVariable njoo huku ujibu ulitoa wapi taarifa zile na kusambaza hapa Jukwaani. Kwa lengo gani?

Niliwaonya TCRA kuhusu wewe na Uwasilishaji wako wa Taarifa hapa.
Wewe na January ndio mambuzi kabisa, taarifa imenukuliwa na vyombo vya habari wewe unauliza nilikotoa taarifa, umewahi ona naweka taarifa Jukwaani bila source?
 
Nilikuwa nimefurahi sana sasa hawa Viongozi hebu wakae pamoja ili tupate Sarafu ya pamoja. na baadae tupate sarafu ya AFRIKA MOJA.
Hiyo hela kama Ina chapishwa ng'ambo badala ya ndani ya EAC Bora tuendelee na shilingi zetu...maana haitabadili chochote kiuchumi!
 
Unapoona taarifa kubwa mtandaoni, unafanya upembuzi yakinifu kujiridhisha wewe mwenyewe kwa kujaribu kutafuta sources nyingine....

Kwenye uzi wako kule niliandika pale points kadhaa, jaribu kuzipitia...

Kuwa na blue tick au tick ya rangi yeyote sio lazima iwe habari ya uhakika...

Kuna watu huko X wana hizo tick na waliweka habari za kizushi kuwa Mzee Mwinyi kafariki na kutuwekea sijui picha za barabara Mkuranga wakiaminisha watu kuwa ni maandalizi ya msiba, sasa tazama mzee mahali alipozikwa na tarehe ya umauti iliyotangazwa...
Na bado huyu mtu ukimwambia hivi atakubishia tu ,mwisho wewe ndio utajiona mjinga..
 
Wewe na January ndio mambuzi kabisa,
Hapo mapovu yalikitoka. Duh
Wacha tule kwa urefu wa kamba zetu...
taarifa imenukuliwa na vyombo vya habari
Kwani vyombo vya habari havipotoshi?
wewe unauliza nilikotoa taarifa, umewahi ona naweka taarifa Jukwaani bila source?
Ndio. Lakini huo ni mjadala mwingine.

Ujue nilikuwa nimekuita uone tu jinsi Kaka yako January alivyokanusha taarifa uliyoiwasilisha wewe.

Ulikuwa wapi kuleta kanusho la Januari???

Ni hilo tu
 
Back
Top Bottom