Januari Makamba akanusha Afrika Mashiriki kutambulisha pesa ya pamoja

Januari Makamba akanusha Afrika Mashiriki kutambulisha pesa ya pamoja

Atusaidie kukanusha na hili la baba yake linaloenea mitandaoni
 
Hapana sikuzusha Nilichukua Kwenyr Reliable sources na Pia niliwatag Jamiicheck so sina hatia
Changamoto ya kwanza kwenye ile sarafu ni kuandika FEDERAL REPUBLIC, Je ni lipi EAC imekuwa Federal Republic?

Changamoto ya pili , akaunti husika inaitwa GOVERNMENT OF EAST AFRICA , Je ni lini EAC imekuwa Government?

Hii ilikuwa ni alarm kwamba huu ni uongo Mtakatifu, Anyway wabongo wengi na viongozi wetu ni wavivu wa Akili na kufikiri , kiufupi hatufatilii mambo kwa umakini
 
Back
Top Bottom