G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Kwa nchi hii na watu wake hawa, unaweza Kuta East Africa ilishaandaa na yeye hajui na yupoView attachment 2923595
Naona January kakanusha khs Hela ya Afrika Mashariki(Shearfanc)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nchi hii na watu wake hawa, unaweza Kuta East Africa ilishaandaa na yeye hajui na yupoView attachment 2923595
Naona January kakanusha khs Hela ya Afrika Mashariki(Shearfanc)
HahahahahaKwa nchi hii na watu wake hawa, unaweza Kuta East Africa ilishaandaa na yeye hajui na yupo
Huyu yawezekana ni mbishi asilia.Bado unajadili hilo mkuu?!!! Kazi ipo!!
Asharekebisha3031 au macho yangu hayaoni vyema??? Huu mpepe wa wapi nami nikavute walau mistari miwili
Mkuu verification zinazouzwa si ni blue one..Ellon Musk alikuta twitter haina vyanzo vya mapato, moja ya jambo akafanya ni kuuza verification
lakini si mbaya, hili jambo litufungue kuwa media na vyanzo mbali mbali vina impact kubwa sana kwa jamii
Mkuu hiyo sio blue tick ni Grey tick..Tunasemaga humu wabongo baadhi uwezo mdg..wao wakiona blue tick wanaamini tu
Ok sasa mbn kuna akaunti ya @jumuia imekataa hiyo taarifa kwa wao kuweka kama FAKE NEWS ?Mkuu hiyo sio blue tick ni Grey tick..
Ni tofauti na blue tick
Blue tick=kulipia
Grey tick=Head of states or Official states Leaders
Yeah naelewa na nimeona ndo maana nasema kuna vitu haviko sawa inabdi ufafanuzi uwe zaidi ya hapo na uwe kwanini hiyo account ni states account na sio kukanusha tu..Ok sasa mbn kuna akaunti ya @jumuia imekataa hiyo taarifa kwa wao kuweka kama FAKE NEWS ?
Siku hizi verifed ya twitter unalipia tu ukiwa na pesa.Wala sio issue.Elon Musk anataka PESAKwahy ile ni akaunti ya nani na naona ipo verified.? Anyway, hata hvy sikuipenda muonekano wake
Unapoona taarifa kubwa mtandaoni, unafanya upembuzi yakinifu kujiridhisha wewe mwenyewe kwa kujaribu kutafuta sources nyingine....
Kwenye uzi wako kule niliandika pale points kadhaa, jaribu kuzipitia...
Kuwa na blue tick au tick ya rangi yeyote sio lazima iwe habari ya uhakika...
Kuna watu huko X wana hizo tick na waliweka habari za kizushi kuwa Mzee Mwinyi kafariki na kutuwekea sijui picha za barabara Mkuranga wakiaminisha watu kuwa ni maandalizi ya msiba, sasa tazama mzee mahali alipozikwa na tarehe ya umauti iliyotangazwa...
Ulizusha eeYeah naelewa na nimeona ndo maana nasema kuna vitu haviko sawa inabdi ufafanuzi uwe zaidi ya hapo na uwe kwanini hiyo account ni states account na sio kukanusha tu..
Rudi tena kwenye post #46 soma tena
Siku hizi Twitter ni pesa yako tu ili uwe verified. Hata wewe leo unaweza anzisha page ukaiita Ikulu Tanzania, ukalipia na ikawa verified.Kwahy ile ni akaunti ya nani na naona ipo verified.? Anyway, hata hvy sikuipenda muonekano wake
Kwa akili yako hiyo sarafu ya pamoja ingezinduliwa bila hata mchakato wake kujilikana?Yeah naelewa na nimeona ndo maana nasema kuna vitu haviko sawa inabdi ufafanuzi uwe zaidi ya hapo na uwe kwanini hiyo account ni states account na sio kukanusha tu..
Rudi tena kwenye post #46 soma tena
Ahsante ngoja nirudiYeah naelewa na nimeona ndo maana nasema kuna vitu haviko sawa inabdi ufafanuzi uwe zaidi ya hapo na uwe kwanini hiyo account ni states account na sio kukanusha tu..
Rudi tena kwenye post #46 soma tena
Ahsante umenielewesha vzr sana tena sanaMkuu hiyo sio blue tick ni Grey tick..
Ni tofauti na blue tick
Blue tick=kulipia
Grey tick=Head of states or Official states Leaders..or Official States Account
Ngoja nikupe Mfano kabisa..
Hii ni blue tick..
Ni kwa watu maarufu na pia ni kwa wale wanaolipia..
View attachment 2923878
View attachment 2923888
Hii ni Grey tick ni kwa Head of States na kwa Viongozi wa Kitaifa na kimataifa tu..
View attachment 2923892
View attachment 2923910
View attachment 2923916
View attachment 2923920
View attachment 2923924
Sasa kosa la watu walioamini kuhusu Hiyo EAC account silioni kwa sababu ilikuwa na Head of states verification ni tofauti na blue tick..
View attachment 2923926
Vipi kuhusu CITIZEN, ITV na vyombo vingine??Ulizusha ee