Januari Makamba akanusha Afrika Mashiriki kutambulisha pesa ya pamoja

Ellon Musk alikuta twitter haina vyanzo vya mapato, moja ya jambo akafanya ni kuuza verification

lakini si mbaya, hili jambo litufungue kuwa media na vyanzo mbali mbali vina impact kubwa sana kwa jamii
Mkuu verification zinazouzwa si ni blue one..
ila sijawahi kuona Grey verification zikiuzwa mara nyingi tunaziona kwa head of states na Nchi tu..
Kama ukipata Verification ya Grey ya kununua Hebu nionyeshe..
Nakupa Homework ukipata Grey verification nionyeshe
 
Tunasemaga humu wabongo baadhi uwezo mdg..wao wakiona blue tick wanaamini tu
Mkuu hiyo sio blue tick ni Grey tick..
Ni tofauti na blue tick
Blue tick=kulipia
Grey tick=Head of states or Official states Leaders..or Official States Account

Ngoja nikupe Mfano kabisa..

Hii ni blue tick..
Ni kwa watu maarufu na pia ni kwa wale wanaolipia..



Hii ni Grey tick ni kwa Head of States na kwa Viongozi wa Kitaifa na kimataifa tu..







Sasa kosa la watu walioamini kuhusu Hiyo EAC account silioni kwa sababu ilikuwa na Head of states verification ni tofauti na blue tick..
 
Ok sasa mbn kuna akaunti ya @jumuia imekataa hiyo taarifa kwa wao kuweka kama FAKE NEWS ?
Yeah naelewa na nimeona ndo maana nasema kuna vitu haviko sawa inabdi ufafanuzi uwe zaidi ya hapo na uwe kwanini hiyo account ni states account na sio kukanusha tu..

Rudi tena kwenye post #46 soma tena
 

Walikuwa almost sahihi. Ni kweli amekufa. Ni kweli kwao Mkuranga ambapo kawaida mtu akifa anazikwa kwao( wengi wao).

Kilichobadilika mahali pa maziko, ila amekufa kweli na amezikwa Zanzibar. Kwa hizi Gavoo lolote laweza kuwa kweli. Habar za kuvuja hazijawahi kufeli,
 
Yeah naelewa na nimeona ndo maana nasema kuna vitu haviko sawa inabdi ufafanuzi uwe zaidi ya hapo na uwe kwanini hiyo account ni states account na sio kukanusha tu..

Rudi tena kwenye post #46 soma tena
Kwa akili yako hiyo sarafu ya pamoja ingezinduliwa bila hata mchakato wake kujilikana?

Taarifa yako ilitia shaka tangu awali.

Kitu kikubwa hivyo kisingetangazwa kwa ghafla hivyo
 
Ahsante umenielewesha vzr sana tena sana
 
Kwarme Nkuruma alipigania sana mpaka umauti ukamkuta, mpaka leo hatujaungana. Labda iwe ndoto.
 
Michakato ya kuunda sarafu za EAC zimekasimiwa kwa EACB na ndio watakaotoa tarehe ya lini sarafu itaanza kutumika. Makamba kakurupuka tu na kutoa maoni yake kama Makamba lakini Sarafu ya EAC ilipaswa kuanza mwaka jana.

Kwa sasa inafahamika kuwa uanzishwaji wa sarafu umesogezwa ili kuanza 2031, lakini kuna michakato ya ndani ya kitengo cha usimamizi inaendelea na kwa vyovyote kuna mtu kwa haraka zake kavukisha lakini ni mchakato halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…