Changamoto ya kwanza kwenye ile sarafu ni kuandika FEDERAL REPUBLIC, Je ni lipi EAC imekuwa Federal Republic?
Changamoto ya pili , akaunti husika inaitwa GOVERNMENT OF EAST AFRICA , Je ni lini EAC imekuwa Government?
Hii ilikuwa ni alarm kwamba huu ni uongo Mtakatifu, Anyway wabongo wengi na viongozi wetu ni wavivu wa Akili na kufikiri , kiufupi hatufatilii mambo kwa umakini