Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
January ni mpigaji tu na tutazidi kumlaumu na kamwe asijisumbue kutaka kugombea uraishuyo kalemani angekojoa ili mito na mabwawa yajae? tuache kukariri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
January ni mpigaji tu na tutazidi kumlaumu na kamwe asijisumbue kutaka kugombea uraishuyo kalemani angekojoa ili mito na mabwawa yajae? tuache kukariri
Ccm wote hakuna mwenye nafuuuTatizo nyota,JK kabla hajawa rais alikuwa anapendwa tu bila sababu,ila Jk ndio muasisi wa mgawo wa umeme,yeye ndo aliwaleta Dowans,IPTLna Richmond
Nitajie mwana ccm mmoja ambaye siyo mpigajiJanuary ni mpigaji tu na tutazidi kumlaumu na kamwe asijisumbue kutaka kugombea urais
Sababu ni ipi? Mvua, repair, crane, mchina kuchepusha maji kwenda kwenye shamba lake, board ya Tanesco, Maharage?huyo kalemani angekojoa ili mito na mabwawa yajae? tuache kukariri
Unamaanisha Kamba ana pesa za kuwanunulia pombe wazee wakampitisha, au sijakuelewa?Hakuna chochote kile zaidi ya vita vya kichini chini katika kutia nia ya kukalia kiti cha urais baada ya huyu aliyepo kutundiga daruga. Huyu anaonekana kuwa ni kipenzi cha wazee na matajiri wenye nguvu ndani ya CCM,, kwa hiyo katika mazingira kama hayo anaonekana kuwa ni tishio kwa wanaotaka kutia nia wengine.
Historia ya kumpitisha mpeperusha bendera ya CCM inawatisha makada wengi. Wana hofu ya kuwa historia huenda ikajirudia, ambapo Mwenyekiti Taifa akapewa maelekezo kisha akaja na jina mfukoni mwake la mgombea wa urais kipenzi cha wazee.
Wala hana utajiri huo wa kuweza kuwanunua wazee. Lakini ukweli ni kwamba ndiye anaaminika kuweza kulinda maslahi ya kudumu ya wazee (ufisadi wa kupindukia) na yale ya matajiri wenye nguvu ndani ya chama.Unamaanisha Kamba ana pesa za kuwanunulia pombe wazee wakampitisha, au sijakuelewa?
Usihangaikie nae kilaza, Ajaye anajulikana,Wala hana utajiri huo wa kuweza kuwanunua wazee. Lakini ukweli ni kwamba ndiye anaaminika kuweza kulinda maslahi ya kudumu ya wazee (ufisadi wa kupindukia) na yale ya matajiri wenye nguvu ndani ya chama.
MANGULANitajie mwana ccm mmoja ambaye siyo mpigaji
kajizi na kaongo kaongo aikili ni nywele ety na kenyewe kanafuta legacy ya Magufuli mfyuuuuuNaomba watanzania wenzangu mnisaidie jambo moja kila siku nikiamka kwenye mitandao nakutana na mijadala mbalimbali inayomkosoa Januari Makamba lakini mpaka sasa najiuliza Makamba amewafanyia nini watanzania hadi mumchukie kiasi hicho?
Kosa lake ni nini hasa? kama ni Wizara ya Nishati tayari alishaondoka lakini mbona bado mnaendelea kumsakama kijana wa watu amewakosea nini watanzania?
Halafu kuna wajinga wanakuambia eti ni PRESIDENTIAL MATERIAL? Mtu ambaye O-Level aliiba mitihani ?Sababu ni ipi? Mvua, repair, crane, mchina kuchepusha maji kwenda kwenye shamba lake, board ya Tanesco, Maharage?
Sababu ya ukweli ni moja tu upigaji, kuwaweka washkaji kwenye mambo yanayohitaji wataalamu, pia uwezo wake ni mdogo sana kwa jukumu kubwa kama kusimamia nishati kwa Watanzania wote.
huyo kalemani angekojoa ili mito na mabwawa yajae? tuache kukariri
Wengi wanachojiuliza ni kwamba ile miaka 5 ya nyuma mbona mvua kuna kipindi haikuwepo na hatukupata mgao wa umeme?huyo kalemani angekojoa ili mito na mabwawa yajae? tuache kukariri
Kama mlafiNaomba watanzania wenzangu mnisaidie jambo moja kila siku nikiamka kwenye mitandao nakutana na mijadala mbalimbali inayomkosoa Januari Makamba lakini mpaka sasa najiuliza Makamba amewafanyia nini watanzania hadi mumchukie kiasi hicho?
Kosa lake ni nini hasa? kama ni Wizara ya Nishati tayari alishaondoka lakini mbona bado mnaendelea kumsakama kijana wa watu amewakosea nini watanzania?