Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Labda utofautishe kumchukia na kutoridhishwa na utendaji wake. Hawachukiwi, ila wanakosolewa kwa utendaji wao usioridhisha.Naomba watanzania wenzangu mnisaidie jambo moja kila siku nikiamka kwenye mitandao nakutana na mijadala mbalimbali inayomkosoa Januari Makamba lakini mpaka sasa najiuliza Makamba amewafanyia nini watanzania hadi mumchukie kiasi hicho?
Kosa lake ni nini hasa? kama ni Wizara ya Nishati tayari alishaondoka lakini mbona bado mnaendelea kumsakama kijana wa watu amewakosea nini watanzania?
Ova