Januari Makamba analaumiwa kwa kosa gani?

Labda utofautishe kumchukia na kutoridhishwa na utendaji wake. Hawachukiwi, ila wanakosolewa kwa utendaji wao usioridhisha.

Ova
 
Mmeanza kuyamwaga! Ndio mnazidi kujiharibia
 
Aliharibu miundombinu ya umeme, mfumo rushwa wa mafuta na yakapanda bei, asingekuwa Makamba, January, leo mafuta yangekuwa around 1800 ila kwa sababu yake leo mafuta 3000. Makamba anapaswa ashitakiwe na kufungwa kabisa
 
Turudi hapa tena
 
Naomba tafakari(tafakuri) ya neno kutia nia
 
Go sleep with him and make sex. He isn't capable of doing a ministerial job
 
Miradi yake aliyoacha tanesco ndio inayotufanya tukose umeme hadi sasa
Alifanya. Ufisadi wa kutosha ukasababisha kuongexeka bei ya umeme kwa Luku! Mikataba ya kiwizi ya IT waliosaini na wahindi wakishirikiana na Maharage Chande!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…