Januari Makamba awajibu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi

Januari Makamba awajibu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi

Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu watu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi kwa wanawake katika ziara anayoendelea nayo katika mikoa 14 ya Tanzania na kusema wacha wabishane lakini lazima twende mbele

“Wacha watu waseme wabishane lakini lazima twende mbele kwenye nishati safi ya kupitia” amesema Makamba 14 Julai 2022, Sengerema Mwanza

Chanzo: Instagram ya wizara_ ya nishati_ tanzania
Atakuwa anawajazia gas ikiisha?
 
future ya nishati ya majumbani hasa kwa kupikia ipo kwenye gesi na si umeme. Ni jambo zuri kwa Makamba.
Umemezwa na hizi propaganda? Hakuna ambae hapendi kutumia gesi Ila shida ni kumudu gharama. Huko vijijini kupata Milo mitatu tu shida, Leo ndio ataweza kujaza gesi ikiisha??
Kwa takwimu za world bank watu milion 30 ni maskini. Na hapa wanazungumzia wale maskini haswaa. Leo ndio utaweza kuwaambia watumie gesi badala ya mkaa na kuni?
Mjini tu hapa waajiriwa na wenye familia bado kumudu gesi wanashindwa
 
future ya nishati ya majumbani hasa kwa kupikia ipo kwenye gesi na si umeme. Ni jambo zuri kwa Makamba.
Bila kujali bei? wafanyabiashara leo wapanga bei wao kwa kuangalia faida wanayotaka.
 
Pamoja na ukweli kwamba kampuni ya Taifa Gas.ilizinduliwa na hayati Magufuli lakini Mitungi ya kampuni nyingine ina haki pia ya kutangazwa na Serikali

Ni ushauri tu

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
future ya nishati ya majumbani hasa kwa kupikia ipo kwenye gesi na si umeme. Ni jambo zuri kwa Makamba.
Swali wataweza kumudu gharama
Maana sisi wengine tu inatutoa jasho

Ova
 
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu watu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi kwa wanawake katika ziara anayoendelea nayo katika mikoa 14 ya Tanzania na kusema wacha wabishane lakini lazima twende mbele

“Wacha watu waseme wabishane lakini lazima twende mbele kwenye nishati safi ya kupitia” amesema Makamba 14 Julai 2022, Sengerema Mwanza

Chanzo: Instagram ya wizara_ ya nishati_ tanzania
Anataka tusiseme wakati anatumia pesa yetu kuwagawia UWT.
 
Ilikuwa aingii akilini mwanzo baada ya maelezo yake wizara imetenga billion 10 ya uwekezaji kwenye kusambaza miundombinu na promotion ya matumizi ya gas.

Tayari wameshamega millioni 500 wizarani ya promotion na ndiyo uliyotumika kununua hayo majiko; uitaji kuhadithiwa baadae ufisadi unaoendelea.

Muuza majiko atakuwa mtu wake wa karibu na sidhani kama manunuzi ni value for money.

Yaani watu wanajitungia taratibu za kumega hela watakavyo; hakuna wakuwauliza.

Samia mpaka 2030 hakuna namna.
 
Toka nisikia kuwa alijihusisha na udanganyifu wa mitihani SINA IMANI NAYE HATA KIDOGO.
Eti naye ni waziri??!!!!!!
 
Atakiona cha moto siyo?
Mimi binafsi huwa sipendi cheap politics anachofanya waziri wa nishati ni typical cheap politics Wananchi wanachohitaji ni serikali i subsidize gas ili bei ya hiyo gas ishuke waache kutumia kuni siyo kugawa mitungi ya gas bure ,utagawa kwa wangapi kaka????? can you imagine 57 trl cubic feet gas reserve......
 
Pamoja na ukweli kwamba kampuni ya Taifa Gas.ilizinduliwa na hayati Magufuli lakini Mitungi ya kampuni nyingine ina haki pia ya kutangazwa na Serikali

Ni ushauri tu

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Jumatatu naenda kumshitaki FCC
 
Kalemani alipeleka umeme kwenye vijiji elfu 10 vikabaki vijiji elfu 2 tu.

Kwa sarakasi hizi za Makamba vijiji elfu 2 havitaisha kupelekewa umeme
Kwahiyo kelele zoteeee hizo sababu ya huyo bwanako kutolewa uwaziri?;
 
Mmh aiseeh! Urais huo hesabu imepigwa jibu litapatikana 2030 let’s wait
 
Back
Top Bottom