evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Kumbe jamaa ni mwizi tena wa elimu.Kuiba pepa haimaanishi alipata yai
Hi I nchi haiwezi kuendelea Kwa kuwa na viongozi wa hovyo namna hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe jamaa ni mwizi tena wa elimu.Kuiba pepa haimaanishi alipata yai
Atawagawia wangapi? Issue iliyopo ni kushusha bei ya gas yani mtu aone kununua mkaa ni gharamaNamuelewa waziri, japo wanakijiji bado vipato haviruhusu. Ila ni heri tu
Hiyo Bei ya gesi wataiweza hao watu wa vijijini kweli?!!future ya nishati ya majumbani hasa kwa kupikia ipo kwenye gesi na si umeme. Ni jambo zuri kwa Makamba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Apunguze bei ya hiyo Gesi anaweza kugawa ikiisha wakashindwa kupata mipya sababu ya bei kuwa juu sana, wiki Iliyopita mtungi wa kg6 nimenunua sh 25,000/= siyo pesa ndogo kwa mtu wa kijijini ujue weee manyuzi shauri yako.
Yaani mitungi 300 ifanye wanakijiji laki mbili hadi laki nane almost waache kutumia kuni? Yaani kuacha kutumia kuni Tanzania ni miaka 150 ijayo...serikali hii chini ya wizara anaayoiongoza Makamba imefeli kabisa kwenye zoezi hilo.Namuelewa waziri, japo wanakijiji bado vipato haviruhusu. Ila ni heri tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rosti Tamu Aziiv
Kwamba hiyo mitungi yake ikiisha atawatumia hela hao akina mama wakanunue tena ?Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu watu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi kwa wanawake katika ziara anayoendelea nayo katika mikoa 14 ya Tanzania na kusema wacha wabishane lakini lazima twende mbele
“Wacha watu waseme wabishane lakini lazima twende mbele kwenye nishati safi ya kupitia” amesema Makamba 14 Julai 2022, Sengerema Mwanza
Chanzo: Instagram ya wizara_ ya nishati_ tanzania
Na gesi anayogawa ni ile ya Taifa gas ya RA..connect dots...Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu watu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi kwa wanawake katika ziara anayoendelea nayo katika mikoa 14 ya Tanzania na kusema wacha wabishane lakini lazima twende mbele
“Wacha watu waseme wabishane lakini lazima twende mbele kwenye nishati safi ya kupitia” amesema Makamba 14 Julai 2022, Sengerema Mwanza
Chanzo: Instagram ya wizara_ ya nishati_ tanzania
Bora azikute store ..atakuta zimeshauzwa kitambo Sanaa ....Hii tabia yake ya kujidai much know asiyesikia ndio itazidi kumpoteza.
Kulazimisha kupeleka majiko ya gesi vijijini wakati uwezo wa kujaza hiyo gesi itakapoisha hawana ni kujidanganya.
Baada ya hii publicity anayofanya, namshauri arudi huko vijijini anapogawa hiyo mitungi na majiko ya gesi after 4 months, more than 90% ataikuta imechafuka vumbi store.
Kama wewe unamtetea bwanaako unadhani na yeye pia ana bwana kama wewe !!??Jibu hojaKwahiyo kelele zoteeee hizo sababu ya huyo bwanako kutolewa uwaziri?;
Ni wanawake wa jumuiya ya wanawake CCM sio wanawake wanawake .....Kwamba hiyo mitungi yake ikiisha atawatumia hela hao akina mama wakanunue tena ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Tatizo anatumia muda na vyombo vya Serikali kufanya kampeni za kisiasa.Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu watu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi kwa wanawake katika ziara anayoendelea nayo katika mikoa 14 ya Tanzania na kusema wacha wabishane lakini lazima twende mbele
“Wacha watu waseme wabishane lakini lazima twende mbele kwenye nishati safi ya kupitia” amesema Makamba 14 Julai 2022, Sengerema Mwanza
Chanzo: Instagram ya wizara_ ya nishati_ tanzania
Sasa hayo majungu yenu Rais kashayajua, na kamwe hatomuondoa January kwenye hiyo wizara, acheni udini na ukanda wapuuzi nyie, kutwa mnamuandama kijana wa watu kisa mtu wa kanda yenu kapigwa chiniKama wewe unamtetea bwanaako unadhani na yeye pia ana bwana kama wewe !!??Jibu hoja
Anateta mpango mkakati wa gas ya wakubwa badala ya Umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere,(kumbukeni ule mpango OVU wa awamu ya 4 waliyopeana vitalu vya gas kupitia Bunge la ccm)Hii tabia yake ya kujidai much know asiyesikia ndio itazidi kumpoteza.
Kulazimisha kupeleka majiko ya gesi vijijini wakati uwezo wa kujaza hiyo gesi itakapoisha hawana ni kujidanganya.
Baada ya hii publicity anayofanya, namshauri arudi huko vijijini anapogawa hiyo mitungi na majiko ya gesi after 4 months, more than 90% ataikuta imechafuka vumbi store.
Bahati mbaya chake hakifugi hata nywele,sijui cha nini!!Huyo kiazi anashindwa kushauri investment kwenye kusambaza gesi majumbani kwa ajili ya kupikia maeneo ya mijini analeta futuhi za kupeleka mitungi ya gesi vijijini, kweli watu wana vichwa vya kufugia nywele tu.