Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Atakuwa anawajazia gas ikiisha?Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu watu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi kwa wanawake katika ziara anayoendelea nayo katika mikoa 14 ya Tanzania na kusema wacha wabishane lakini lazima twende mbele
“Wacha watu waseme wabishane lakini lazima twende mbele kwenye nishati safi ya kupitia” amesema Makamba 14 Julai 2022, Sengerema Mwanza
Chanzo: Instagram ya wizara_ ya nishati_ tanzania
Umemezwa na hizi propaganda? Hakuna ambae hapendi kutumia gesi Ila shida ni kumudu gharama. Huko vijijini kupata Milo mitatu tu shida, Leo ndio ataweza kujaza gesi ikiisha??future ya nishati ya majumbani hasa kwa kupikia ipo kwenye gesi na si umeme. Ni jambo zuri kwa Makamba.
Bila kujali bei? wafanyabiashara leo wapanga bei wao kwa kuangalia faida wanayotaka.future ya nishati ya majumbani hasa kwa kupikia ipo kwenye gesi na si umeme. Ni jambo zuri kwa Makamba.
Hata afanyaje ,hatokaa kua Rais.Hesabu za uraisi zinapigwa hapo
Wewe fikiria gesi tu.!
Swali wataweza kumudu gharamafuture ya nishati ya majumbani hasa kwa kupikia ipo kwenye gesi na si umeme. Ni jambo zuri kwa Makamba.
Anataka tusiseme wakati anatumia pesa yetu kuwagawia UWT.Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu watu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi kwa wanawake katika ziara anayoendelea nayo katika mikoa 14 ya Tanzania na kusema wacha wabishane lakini lazima twende mbele
“Wacha watu waseme wabishane lakini lazima twende mbele kwenye nishati safi ya kupitia” amesema Makamba 14 Julai 2022, Sengerema Mwanza
Chanzo: Instagram ya wizara_ ya nishati_ tanzania
Basi imeisha iyooRosti Tamu Aziiv
Atakiona cha moto siyo?He hehe we Endelea tu kugusa walamba asali
Mimi binafsi huwa sipendi cheap politics anachofanya waziri wa nishati ni typical cheap politics Wananchi wanachohitaji ni serikali i subsidize gas ili bei ya hiyo gas ishuke waache kutumia kuni siyo kugawa mitungi ya gas bure ,utagawa kwa wangapi kaka????? can you imagine 57 trl cubic feet gas reserve......Atakiona cha moto siyo?
Aziz Ki, yanga tamu,Taifa Gas ni ya nani? Tuanzie hapa then mjadala ndo uendelee!!
Jumatatu naenda kumshitaki FCCPamoja na ukweli kwamba kampuni ya Taifa Gas.ilizinduliwa na hayati Magufuli lakini Mitungi ya kampuni nyingine ina haki pia ya kutangazwa na Serikali
Ni ushauri tu
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Mbona vingine pia vimepanda Bei!Tatizo gesi bei imepanda sana, shusha bei
Kwahiyo kelele zoteeee hizo sababu ya huyo bwanako kutolewa uwaziri?;Kalemani alipeleka umeme kwenye vijiji elfu 10 vikabaki vijiji elfu 2 tu.
Kwa sarakasi hizi za Makamba vijiji elfu 2 havitaisha kupelekewa umeme