Kipara hana seraWaziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kama kuna mtu anataka kutapika kwa sababu kina mama wa vijijini wamepata mitungi ya gesi basi aende pembeni kutapika lakini hataacha wala kusimamisha zoezi la kugawa mitungi kwa sababu ni msaada mkubwa kwa akina mama.
"Sasa kama kuna mtu anataka kutapika kwa sababu kina mama wa vijijini wamepata mitungi ya gesi, basi aende pembeni kutapika, lakini maisha yataendelea.Hatutaacha wala kusimama kuigawa kwa sababu ni msaada mkubwa kwa kina mama," amesema January.
CHANZO: Facebook/ Mwananchi Julai 25, 2022
Hata ccm hawezi pita2030 ni Makamba vs Lisu
AtawajaziaAtawajazia hiyo mitungi ikiisha
Alafu hao wamama wanakenua tu
Mimeno hawajui kama kuna kujaza
Hiyo mitungi
Ova
Anaongeza Mke? Au mtarajiwa wa kipi huyu tapeliSafi sana mtarajiwa
Safi sana mtarajiwa
Magufuri alimuondolea kujiamini ndo maana ana majibu ambayo hayaendani na wadhifa alionaoHuyu kuna sehemu hayuko sawa. Anahitaji mshauri nasaha.
Dalili ngumu sana hii kwa mwanasiasa mzoefu wa miaka mingi.
Hahaha ujumbe wameupata akina Voicer, eltwege et alWaziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kama kuna mtu anataka kutapika kwa sababu kina mama wa vijijini wamepata mitungi ya gesi basi aende pembeni kutapika lakini hataacha wala kusimamisha zoezi la kugawa mitungi kwa sababu ni msaada mkubwa kwa akina mama.