Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha na na namba, sistystem ikutaka uwe rais unaenda tu.. lowasa alikuwa na watu kumzidi rais ilikuwaje???Januari Yusuph Makamba, Mwanasiasa kijana mwenye ushawishi mkumbwa ndani ya Chama cha Mapinduzi ambaye Mwaka 2015 aliingia 5 bora ya wagombea wa Urais.
Hivi majuzi tumeona kwenye uchaguzi wa kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) akishika nafasi ya 11 kwa kupata kura kiduchu 452 kati ya kura 1915 kwa tasfiri nyepesi wajumbe 1,463 walimkataa kwenye sanduku la kura.
Ni nini hasa kimemdondosha kisiasa kijana huyu machachari kutoka 5 bora za Urais 2015 hadi nafasi 11 na kushindwa hata kuingia 10 bora licha ya taarifa kudaiwa ndiye mgombea aliyetumia pesa nyingi kuliko wagombea wote wa NEC.
Unamanisha hata hizo chache hakupata ila aliongezewa tu?Kwa msiofahamu ni kwamba January Alipata kura nyingi zaidi ya hizo isipokuwa busara ilitumika kupunguza tension ya kisiasa na ndio maana kura nyingi akapewa mtu ambaye hafahamiki na Hana athari zozote kwa siasa za kitaifa.
Eti eehKwa msiofahamu ni kwamba January Alipata kura nyingi zaidi ya hizo isipokuwa busara ilitumika kupunguza tension ya kisiasa na ndio maana kura nyingi akapewa mtu ambaye hafahamiki na Hana athari zozote kwa siasa za kitaifa.
We naye acha kupotosha? Kwani kura ilikua Moja Moja? Wagombea walikua zaidi ya 100 Sasa kura 1900 unadhani upate ngapi?Januari Yusuph Makamba, Mwanasiasa kijana mwenye ushawishi mkumbwa ndani ya Chama cha Mapinduzi ambaye Mwaka 2015 aliingia 5 bora ya wagombea wa Urais.
Hivi majuzi tumeona kwenye uchaguzi wa kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) akishika nafasi ya 11 kwa kupata kura kiduchu 452 kati ya kura 1915 kwa tasfiri nyepesi wajumbe 1,463 walimkataa kwenye sanduku la kura.
Ni nini hasa kimemdondosha kisiasa kijana huyu machachari kutoka 5 bora za Urais 2015 hadi nafasi 11 na kushindwa hata kuingia 10 bora licha ya taarifa kudaiwa ndiye mgombea aliyetumia pesa nyingi kuliko wagombea wote wa NEC.
Yuko overrated, Kilaza, Hana loloteJanuari Yusuph Makamba, Mwanasiasa kijana mwenye ushawishi mkumbwa ndani ya Chama cha Mapinduzi ambaye Mwaka 2015 aliingia 5 bora ya wagombea wa Urais.
Hivi majuzi tumeona kwenye uchaguzi wa kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) akishika nafasi ya 11 kwa kupata kura kiduchu 452 kati ya kura 1915 kwa tasfiri nyepesi wajumbe 1,463 walimkataa kwenye sanduku la kura.
Ni nini hasa kimemdondosha kisiasa kijana huyu machachari kutoka 5 bora za Urais 2015 hadi nafasi 11 na kushindwa hata kuingia 10 bora licha ya taarifa kudaiwa ndiye mgombea aliyetumia pesa nyingi kuliko wagombea wote wa NEC.
Vipi luhaga Mpina ana hali Gani huko? Kapigwa level ya mkoa!! Na kitaifa kafutiliwa mbali!Wote waliomtukana Magufuli wamekiona cha moto kwenye sanduku la kura la wajumbe wa NEC
Bashungwa si mtu wa maneno ni matendoBashungwa na Makamba nani aliyezaliwa na kukulia CCM? kwanini Bashungwa apate 720 na sio Makamba?
HataJanuary hajawahi kushinda uchaguzi halali. Anajijua hakubaliki ndio maana walifanya kila aina ya figisu apite bila kupingwa. Vinginevyo angeshindanishwa na mgomba, mgomba ungechukua Jimbo. Bumbuli central business district mnapajua?
Hivi January, Mwigulu na Nape kwanini wamepewa uwaziri?
Bashungwa si mtu wa maneno ni matendo
Hivi ule mdomo ulivyopinda jamaa huwa havuti sigara kweli au bangi?Matendo kama yapi??
akishika nafasi ya 11 kwa kupata kura kiduchu 452 kati ya kura 1915 kwa tasfiri nyepesi wajumbe 1,463 walimkataaJanuari Yusuph Makamba, Mwanasiasa kijana mwenye ushawishi mkumbwa ndani ya Chama cha Mapinduzi ambaye Mwaka 2015 aliingia 5 bora ya wagombea wa Urais.
Hivi majuzi tumeona kwenye uchaguzi wa kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) akishika nafasi ya 11 kwa kupata kura kiduchu 452 kati ya kura 1915 kwa tasfiri nyepesi wajumbe 1,463 walimkataa kwenye sanduku la kura.
Ni nini hasa kimemdondosha kisiasa kijana huyu machachari kutoka 5 bora za Urais 2015 hadi nafasi 11 na kushindwa hata kuingia 10 bora licha ya taarifa kudaiwa ndiye mgombea aliyetumia pesa nyingi kuliko wagombea wote wa NEC.
Wote waliomtukana Magufuli wamekiona cha moto kwenye sanduku la kura la wajumbe wa NEC
Kwa hiyo Gwajima na Msukuma ni bora kuliko Makamba....!!?Huyu jamaa hana lolote nadhani wanaomshabikia ni kakikundi kamoja kadogo sana lakini hana ushawishi wowote...kubebwa ni kwingi kuliko sifa zake halisi HAFAI