Januari Makamba kukataliwa na Wajumbe 1,463 kati ya 1,915 inatoa taswira gani kisiasa?

Kati ya watu ambao ni Hopeless kabisa huyu Bwana anaweza kushika No.1.
 
Acha na na namba, sistystem ikutaka uwe rais unaenda tu.. lowasa alikuwa na watu kumzidi rais ilikuwaje???
 
Kwa msiofahamu ni kwamba January Alipata kura nyingi zaidi ya hizo isipokuwa busara ilitumika kupunguza tension ya kisiasa na ndio maana kura nyingi akapewa mtu ambaye hafahamiki na Hana athari zozote kwa siasa za kitaifa.
Eti eeh
 
We naye acha kupotosha? Kwani kura ilikua Moja Moja? Wagombea walikua zaidi ya 100 Sasa kura 1900 unadhani upate ngapi?

Kma Kawa wa 11 out of 100+ kivipi amekua failure? Nilidhani mngemnyima kabisa kura ingekua na maana!!
 
Yuko overrated, Kilaza, Hana lolote
Mweupe Sana huyu jamaa
 
January hajawahi kushinda uchaguzi halali. Anajijua hakubaliki ndio maana walifanya kila aina ya figisu apite bila kupingwa. Vinginevyo angeshindanishwa na mgomba, mgomba ungechukua Jimbo. Bumbuli central business district mnapajua?
Hivi January, Mwigulu na Nape kwanini wamepewa uwaziri?
 
Hata
 
akishika nafasi ya 11 kwa kupata kura kiduchu 452 kati ya kura 1915 kwa tasfiri nyepesi wajumbe 1,463 walimkataa
 
Huyu jamaa hana lolote nadhani wanaomshabikia ni kakikundi kamoja kadogo sana lakini hana ushawishi wowote...kubebwa ni kwingi kuliko sifa zake halisi HAFAI
Kwa hiyo Gwajima na Msukuma ni bora kuliko Makamba....!!?

Kwa mtazamo wangu chaguzi za CCM hazifuati sifa ya mgombea. Ni ushabiki ushabiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…