Januari Makamba kukataliwa na Wajumbe 1,463 kati ya 1,915 inatoa taswira gani kisiasa?

we jamaa huyu January huyu dah.
 
Ajitafakari. Asidhanie hatujui jinsi anavyoiba na kutaabisha watu kwenye umeme. Ili apate fedha za kuja kuhonga kwenye uchaguzi
 
Domo chafu la babake
 
Kwamba anaudhawishi mkubwa hahahah kura zake zinakaribiana na shilole
 
Huna lolote la maana.

Hizi ni blabla tu za wasaka madaraka.

Kundi lenu lina chuki kubwa sana kwa Rais Samia. Hamuwezi kumshambulia yeye moja kwa moja hivyo mnashusha chuki zenu kuputia kwa Januari.

Nakuhakikishia,Januari ataendelea kuwa kwenye siasa za juu za nchi kwa kuwa anauwezo mkubwa. Halikadhalika,anazo nguvu kubwa za kisiasa.
 
Una analysis ya ajabu sana. Mie nimchukie Samia kwa ajili ya January? Basi ungejua namuonea huruma Samia kwa ajili ya January, na sikumpenda kabisa Magufuli. Lakini wewe naona unanichukia mie kwa kuwa unampenda January, na unampenda Samia kwa kuwa amem-favor January. Ningependa niwe mshauri wa Samia nimwambie katika watu wa kuondoa mara moja kwenye baraza lake ni January, la sivyo ampe wizara nyingine kama utamaduni na michezo au habari. Si mwandishi bwana

Mie sina mapenzi na watu bwana, nina mapenzi na nchi yangu. Samia akifanya ovyo nitasema, Magu alipofanywa ovyo nilisema. Sio wewe unaehusudu watu. Kama unampenda January kiasi hicho mwambie alete posa kwenu basi. Mwisalamu yule anaweza kukuongeza.

Kabla hujafanya conclusion zako za kitoto take trouble kuangalia thread zangu nyingine sio unakuwa na kiherehere cha ku-conclude mambo kama kinanii cha kwanza.
 
Ukiona umechukua yeye kati ya wote 14 ujue tayari umeelewa nguvu yake. Swala la muda tu. JK 2002 alikuwa wa 12 kwenye NEC. Kama hujui historia itakuja kukuadhibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…