Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

Wakuu hivi January ni nani mpaka acheleweshe huo mradi? Acheni kumtupia lawama huyo jamaa kama ni kuchelewa kwa mradi basi tatizo lipo ngaz za juu yake
January ni sawa na mwalimu ambaye darasa lake linapofeli hana majibu kwanini limefeli na anataka auwawe ili akimbie uwajibikaji 😂😂😂

Waziri ndio mshika funguo za mradi akishirikiana na raisi na watu wa hazina. Sasa inapotokea mradi hauendi sawa sawa na majibu anayotoa ni ya kitoto unataka watu wasimlime spana kwanini?
 
Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue.

"Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote ni upuuzi tu" amesema Makamba

Chanzo: Wasafi Media

Huu jamaa sijawahi kumuelewa.!
 
Hili ndilo tatizo la kuokoteza walioshindwa na kuwapa nafasi kubwa kwa kujuana, na nafasi zinazo zidi uwezo wao.
Mfano, tutaje hapa mambo 5 tu ambayo taifa hili linaweza kasema Marope amelifanyia akiwa katika nafasi mbalimbali za uongozi kama waziri au mbunge huko jimboni kwake!
Ila huu upuuzi unaila sana hii inji.

Huyu, alipaswa awe anachunga ng'ombe ila kwa bahati mbaya sana naye ni waziri.
Haaa haaa haa kweli Dunia ni tambala bovu.

Mfano, wananchi hawana hata uhakika wa milo 3 kwa siku huku vijijini au baadhi hadi miaka 2 hawana uwezo wa kushika elfu 20,000/= eti Leo unaamka kuwagawia mitungi ya gesi ambayo mtumiaji anapaswa kuujaza kila gesi inapoisha.
Au vile vimtungi kama chura vinakaa miaka 50 na gesi!?

Bwawa limekuwa kama mawingu na upepo, kila siku linapepea.

Serikali hii inatakiwa kuwang'oa watu kama huyu Marope.
 
Makamba ana kiburi Cha kipumbavu Sana[emoji3525]
Huyo ni kijambio cha mama ...lazima kitoe harufu chafu muda wote hakuna wa kumfanya kitu ...huyo hata abake watoto wachanga aguswi ...yupo juu ya sheria na juu ya haki pia
 
Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue.

"Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote ni upuuzi tu" amesema Makamba

Chanzo: Wasafi Media

hii kali sana
 
Makamba hauaminiki kwa sababu una majibu yasiyojitosheleza na yanayochelewa kuja kwa wakati, na mara nyingine hauna consistence kwenye majibu yako.

Leo unasema hivi, ukipingwa unabadilika kesho unasema tofauti about same thing, ni kama unaangalia uchochoro wa kujifichia kwenye majibu yako, ndio maana huaminiki.

Mfano.

1. Kuhusu ile crane ya tani 26 uliyoagiza toka nje, ukaambiwa mbona hata hapa Tanzania zipo crane zenye uzito huo? ukasema inatakiwa isiyohamishika, ok fine, mpaka leo hiyo isiyohamishika iko wapi?

2. Au kuhusu tatizo la umeme lililowahi kuwepo, ukatutangazia mgao wako nchi nzima kwa kisingizio awamu iliyopita mitambo ilikuwa haifanyiwi service, then after ukadai mgao utasahaulika, lakini wapi, mgao bado upo mpaka juzi tumetangaziwa mwingine.

Baadae ulivyoona mambo sio ukabadilika, mkatangaza sababu ya mgao wa umeme ni ukame, ghafla akatokea mtendaji bwawa la Nyumba ya Mungu akasema maji yaliyopo kule yanatosha kuwasha umeme kwa muda mrefu ujao, Makamba kimya...

Halafu hii tabia yako ya kukimbilia kuwaona wanaokuhoji ni maadui, ndio itakumaliza kabisa, usijione special usiyehojika, you are not, hicho cheo chako ni cha umma, wewe sio CEO wa private company.

Mwanzo ukihojiwa ulisema tatizo ni uwaziri wako, kama vile wewe ndie waziri wa Nishati pekee uliyewahi kutokea nchi hii.

Leo unawaambia wanaokuhoji wakuue, hii maana yake unakimbia majukumu yako, unajiona unaonewa unapoulizwa kuhusu yale yanayoihusu wizara yako, sasa kama hutaki kuulizwa wewe unataka aulizwe nani?

Anyway, tatizo ni la yule aliyekuweka hapo, amekudekeza matokeo yake unajiona kama "mtoto wa mama usiegusika", sasa kwa huu utoto wako, mtachafuka wote.
Yeeeesu!!!![emoji848]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Marope anahitaji msaada!

Na msaada pekee ni kuondolewa kwenye uwaziri HUO unaompa uchuro wa kufa KILA siku!!

Na kweli atauawa kwa presha ya matarajio makubwa kutoka KWA watz!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe Katiba Mpya"!
 
Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue.

"Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote ni upuuzi tu" amesema Makamba

Chanzo: Wasafi Media

Makubwa
 
Kuna mtu mmoja ambaye sijui kama ana akili timamu ametumwa kuja kuzusha kwenye mitandao kwamba uhaba wa mvua na maji mto Ruvu ni matokeo ya kukata miti milioni 2.7 huko kwenmye pori tengefu la Selous!!!

Ujinga mtupu.

Bwawa la Mwalimu Nyerere linajengwa kwenye eneo dogo sana ukilinganisha na eneo zima pili mahali linapojengwa ni mbali na vyanzo vya maji ya mto Rufiji.

Kwa taarifa ni kwamba mto Rufiji unategemea vya vitatu vikuu vya maji yanayotiririka mwaka mzima
1. Luegu-Njombe kutoka kwenye milima yenye uoto asilia
2. Ruaha mkuu-Iringa kutoka bonde tepe tepe na safu za milima kadhaa
3. Kilombero-Kilombero kutoka safu za milima Udzungwa na Ruaha Mbuyuni na mto Lumemo ulioko Ifakara

Chanzo cha maji ya mto Ruvu ni milima ya Uluguru Morogoro

Kama ni uharibifu ni watu wanaoishi katika bonde linalotambaa kwenda Kisakihadi Ruvu juu ambako baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu ndio wameteka maji kuwa mali yao binafsi

Chanzo cha mto Wami ni Kilosa Morogoro na Kilimanjaro hivyo maeneo ya Morogoro mjini na vijjijini, Kilosa, Kilombero, Iringa, Njombe na Kilimanjaro ndio wahimizwe kuacha kuharibu mazingira kwa faida binafsi ili kuokoa viumbe wengine.

Ni nani aliyeruhusu wananchi kuanza ujenzi wa nyumba za makazi kuelekea kilele cha mlima Uluguru kama sio uzembe na Rushwa?
 
hayo ndio majibu ya mtu aliesoma chuo chenye hadhi duniani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] mda mwingine nahisi tunalogana huwez soma kwenye chuo bira duniani alaf huna faida kwa nchi huenda hata kalogwa na ndugu zake wakimuonea wivu maana haiwezekani wala haiingii akilini hata hao waliomffundisha wakimsikia watakataa kama kasoma huko tz tuna ujinga mwingi ila ipo siku yataisha tukikubali kuwaacha wajunga kisa hongo kwa wajumbe
 
alaf marope nahisi kama anatabia flani za u rainbow colour
 
Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue.

"Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote ni upuuzi tu" amesema Makamba

Chanzo: Wasafi Media

Rais ajaye ambaye tayari ameshaanza kusema ukweli wa moyo wake namna anavyowaona anaotarajia kumpigia kura ni WAPUUZI.
Anaposema njooni mniue maana yake akigundua nani anamsagia kunguni atamuua yeye....

Kauli za shibe hizi hazina calculative damage impact
 
Back
Top Bottom