Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

Kauli za viongozi kama wakina Makamba zinaonyesha jinsi gani tuna viongozi wabovu wa akili na wasio na maono katika uongozi wao....naweza kusema mpuuzi ni yeye asiyetaka kuuliza kuhusu majukumu yake........kama anaona kero kuulizwa basi ajiuzuru.......
 
jamaa kweli ameshangaza umma kuita watu wapuuzi kwa hiyo spika na kundi lake ni wapuuzi aiseee nchi ngumu sana hii
Hivi ni yupi ana nafuu kati ya mtu mpuuzi na mtu aliye na akili ndogo!?
 
Ni kwa sababu aling’ara miongoni mwa wagombea ambao moja wapo alikuja kuwa rais na kizuri aliaminiwa na Dkt Magufuli mpaka kupewa kuongoza wizara. Baadaye huyo huyo kaanza fitina wizi (mfano kuna kipindi Dkt Magufuli alisafiri, Makamba kupitia makundi yake ya kifisadi wakataka kuiba kiasi kikubwa cha hela) na hapo uaminifu wake kwa Dkt Magufuli ukaisha kabisa. Kwa hiyo umaarufu wake ulitokana na Dkt Magufuli, hata Nape hivyo hivyo
Aisee!
Ndo maana nasema hivi, huyu makamba ataendelea kuwa juu na kuna siku ataukwaa mpaka uraisi..........na kitakachomuinua ni hizo fitina na chuki na uzushi wenu. Asiye na mtu ana Mungu, ndo dunia ilivyo.
 
Duh

Kuuwana tena?

Bavicha watapata cha kuongea!
He must have committed a very serious crime... mpaka anaomba mwenyewe auawe... unless kwa lugha nyingine anawaambia watanzania(wapuuzi) kwamba hiyo nafasi hatoki labda kifo ndio kimtoe.
 
Aisee!
Ndo maana nasema hivi, huyu makamba ataendelea kuwa juu na kuna siku ataukwaa mpaka uraisi..........na kitakachomuinua ni hizo fitina na chuki na uzushi wenu. Asiye na mtu ana Mungu, ndo dunia ilivyo.
Mwenzio anatafuta njia NYEPESI ya kujitoa uhai we unamuwazia ya juu kuliko aliyonayo imemshinda!!!!!
 
Aisee!
Ndo maana nasema hivi, huyu makamba ataendelea kuwa juu na kuna siku ataukwaa mpaka uraisi..........na kitakachomuinua ni hizo fitina na chuki na uzushi wenu. Asiye na mtu ana Mungu, ndo dunia ilivyo.
Tafuta uzi wa Britannica unaosema CCM imewaondoa kisayansi sana na ukimaliza kuusoma jaribu kumfuatilia Britannica ni nani na kwa aina yake ya uandishi utamjua tu hapa rejea kukanusha
 
Aisee!
Ndo maana nasema hivi, huyu makamba ataendelea kuwa juu na kuna siku ataukwaa mpaka uraisi..........na kitakachomuinua ni hizo fitina na chuki na uzushi wenu. Asiye na mtu ana Mungu, ndo dunia ilivyo.
Asee, Usimuhusishe kamba na Mungu,

Huyo ni mchawi mchawi!!!!!
 
Mhe. Makamba lugha uliyotumia siyo lugha ya staha ni lugha ya dharau.
 
January is so disappointing. I expect these words from a frustrated illiterate person.
 
Januari inakuwaga na msongo wa mawazo mambo mengi…
Mwezi Januari usishupaze shingo yana mwisho haya utajajilaumu sana mbeleni.. Hii nchi ni ya wananchi punguzeni mihemko
 
Hovyo kabisa. Majibu gani haya kutoka jwa waziri? Nyau kabisa!
 
Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA!
Itaondoa wahuni kama kina makamba kuwa mawaziri na kujibu watu hovyo!!
Nadhani umeona faida ya kuwa na watu wachache wenye akili Jamvini.

Hoja ya KATIBA mpya ilianza kufifishwa, bt ndani ya siku mbili umeona Jins upepo ulivyobadilika.

TUSIOGOPE, Tusikate tamaa, Tuishi Kwa kusudi na MAONO juu ya nchi yetu.

Ameeeen.
 
Aisee!
Ndo maana nasema hivi, huyu makamba ataendelea kuwa juu na kuna siku ataukwaa mpaka uraisi..........na kitakachomuinua ni hizo fitina na chuki na uzushi wenu. Asiye na mtu ana Mungu, ndo dunia ilivyo.
Kichwani mwako una matatizo. Makamba hana credibility ya kusimama mbele za watu kwa sada ni mchafu na mfitini. Yaani Nape etc wote huo ni uchafu mkubwa ndani ya CCM. Ingia mtaani uulizie ndiyo utajua. Usipende kuwa mnafiki wa kusifia.
 
Huko mtaani si kumejaa wajinga wajinga tu kibao walio na shutuma za kukaririshwa kama wewe sasa nipoteze muda wa nini?!!!!
Wekeni hapa huo uchafu wake tuuone na sio maneno ya kwenye kanga na vitenge mliyoaminishwa na aliyekuwa anakaribia kuwa 'mungu' wenu!
 
Kwa hiyo ulitaka wote wafurahie kauli hiyo kwa maslahi ya nchi? Yeye ndo waziri tu? Why anahojiwa sana? Kama anahojiwa sana basi ajue kuna mahali ametoboka ajiangalie
Unamaanisha nn unaposema anahojiwa Sana? Yaani wewe unasambaza chuki zako ndiyo unasema anahojiwa Sana?
 
Back
Top Bottom