pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Nafikiri watu hawamuamini kwakuwa hajawahi kuaminika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, za uso hizi mkuu 🤣Msichojua kuhusu Wasambaa ni kuwa wanaasili ya uongo uongo bila aibu. Hamuoni hata baba yake?
Sawa, ila hapa umenistua tena....umaarufu wa Makamba, mtu aliyeingia hadi 5 bora ktk kinyang'anyiro cha mbio za urais 2015 umetokana JPM?!!! Kweli mdau?!!!!!Mtu aliyekufa huonewa huruma hata kama alikuwa na makosa binaadamu tuna utamaduni wa kufuta. Pia Dkt Magufuli hakumsema JK bila uthibitisho, mara zote ushahidi wa mabaya ya wote watangulizi wake yaliwekwa wazi na yeye kufanya maamuzi magumu kwa kuwafafanulia wananchi. Hivyo unapomsema vibaya Dkt Magufuli inabidi uwe makini mno. Ndiyo maana ushauri huu ndugu yangu Makamba auzingatie, he won’t loose anything kwa kumsifia Dkt Magufuli kwa sababu ndiyo chanzo hata cha yeye kuwa maarufu
Ungekaa kimya tu maana hata kutetea mtu hujui utamharibia kabisa. Hoja ya msingi ya wakosoaji wa waziri ni namna gani anavyotumia muda kumkosoa JPM na anataka kujiona yupo juu yake na kinachomuumiza ni kuambiwa ukweli angekuwepo JPM hilo bwawa lingekamilika.Makamba ni akili kubwa, si mtu wa kukurupuka au kueleweka kirahisi rahisi tu na vilaza..........mnataka majibu ya kistaarabu kwani nyie mnamkosoa kistaarabu?!!!
Makamba anaonewa wivu,
Makamba anaogopwa,
Makamba mwanasiasa mahiri (li?),
Makamba amewazidi wengi sana akili.
Ni mvumilivu sana huyu makamba hata hivyo......kuna kundi la watu limempania kweli kweli kumchafua na kumharibia ndo maana kila siku humu hazikauki hoja za kumkandia, kisingizo sasa kikiwa ukamilishaji wa bwawa la Nyerere utafikiri bwawa hilo ni sawasawa na ujenzi wa madarasa ya UVIKO 19 kwamba yanawahishwa kwa ajili ya f1.
Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue.
"Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote ni upuuzi tu" amesema Makamba
Chanzo: Wasafi Media
Kwenye zile mbio za 2015 hali ilikuwa hivi:Sawa, ila hapa umenistua tena....umaarufu wa Makamba, mtu aliyeingia hadi 5 bora ktk kinyang'anyiro cha mbio za urais 2015 umetokana JPM?!!! Kweli mdau?!!!!!
Mpuuzi akiwa kazini. Vikikamilika ni kusifu tu, imekwama unaweka usanii. Makamba ni nani kwenye kuteua mawaziri hadi amtake mmoja wao aje kuwa waziri?Ningekuwa mimi ndio Makamba ningemtaka mmja wao aje awe Waziri na atoe commitment ya kukamilika kwa mwaka mmja,akishindwa tuu jela..
Acha uongo.Ungekaa kimya tu maana hata kutetea mtu hujui utamharibia kabisa. Hoja ya msingi ya wakosoaji wa waziri ni namna gani anavyotumia muda kumkosoa JPM na anataka kujiona yupo juu yake na kinachomuumiza ni kuambiwa ukweli angekuwepo JPM hilo bwawa lingekamilika.
Tufike mahali tukiri JPM alikuwa chuma kwelikweli na Mhe. Makamba siku akikiri uwezo wa JPM mambo mengi yatamnyookea. Waziri anajisikia vibaya kuona bado JPM anasimama kumtazama
Ukikosa jinsia hili ndo tatizo. Watu wanajadili kauli ya kiongozi we unaweka unazi wako. Kwa hiyo ulitaka wote wafurahie kauli hiyo kwa maslahi ya nchi? Yeye ndo waziri tu? Why anahojiwa sana? Kama anahojiwa sana basi ajue kuna mahali ametoboka ajiangalie siyo kutafuta huruma eti mniue. Si aachie ngazi kuliko kusema auawe.Kweli. Unajua sukuma gang ndiyo midomo juu sana
Labda utuletee hapa hayo mashambulizi yasiyoisha ya makamba kwa jpm mnayoyasema....Ungekaa kimya tu maana hata kutetea mtu hujui utamharibia kabisa. Hoja ya msingi ya wakosoaji wa waziri ni namna gani anavyotumia muda kumkosoa JPM na anataka kujiona yupo juu yake na kinachomuumiza ni kuambiwa ukweli angekuwepo JPM hilo bwawa lingekamilika.
Tufike mahali tukiri JPM alikuwa chuma kwelikweli na Mhe. Makamba siku akikiri uwezo wa JPM mambo mengi yatamnyookea. Waziri anajisikia vibaya kuona bado JPM anasimama kumtazama
Ni kwa sababu aling’ara miongoni mwa wagombea ambao moja wapo alikuja kuwa rais na kizuri aliaminiwa na Dkt Magufuli mpaka kupewa kuongoza wizara. Baadaye huyo huyo kaanza fitina wizi (mfano kuna kipindi Dkt Magufuli alisafiri, Makamba kupitia makundi yake ya kifisadi wakataka kuiba kiasi kikubwa cha hela) na hapo uaminifu wake kwa Dkt Magufuli ukaisha kabisa. Kwa hiyo umaarufu wake ulitokana na Dkt Magufuli, hata Nape hivyo hivyoSawa, ila hapa umenistua tena....umaarufu wa Makamba, mtu aliyeingia hadi 5 bora ktk kinyang'anyiro cha mbio za urais 2015 umetokana JPM?!!! Kweli mdau?!!!!!
Nguchiro bhana. Form 1 ndo mhimu kuliko watumia nishati ya mkaa? Huyo form 1 atasoma vipi giza limetawala? Anatafuta kuni ili apikiwe msosi? Kila kitu kina umhimu wake ndo maana kikawekwa km mradi wa kimkakati. Akili zake ulizipima ukamkuta na IQ ya ngapi? Au unaipima kwa division 1 ambayo watu walikuwa wakilala na pepa wiki moja kabla ya mtihani? Akili sana ushindwe kujibu hoja ukalie kutafuta huruma eti mniue. Angetuma barua ya kuachia madaraka kuliko kujibu km mtoto.Makamba ni akili kubwa, si mtu wa kukurupuka au kueleweka kirahisi rahisi tu na vilaza..........mnataka majibu ya kistaarabu kwani nyie mnamkosoa kistaarabu?!!!
Makamba anaonewa wivu,
Makamba anaogopwa,
Makamba mwanasiasa mahiri (li?),
Makamba amewazidi wengi sana akili.
Ni mvumilivu sana huyu makamba hata hivyo......kuna kundi la watu limempania kweli kweli kumchafua na kumharibia ndo maana kila siku humu hazikauki hoja za kumkandia, kisingizo sasa kikiwa ukamilishaji wa bwawa la Nyerere utafikiri bwawa hilo ni sawasawa na ujenzi wa madarasa ya UVIKO 19 kwamba yanawahishwa kwa ajili ya f1.
Kichwa lake limejaa ujinga na upumbavu! Hata aliyemteua anashangaza kweli! Yaani kamati ya binge kuhoji kuchelewa kwa bwawa na Nyerere ni upuuzi!? Very stupid minister!Kitu pekee alichonacho huyu pimbi ni entitlement mentality. Hana sifa za kuongoza wizara muhimu kama hii. Yeye na mteuaji wake wote hawatoshi kwa hizo nafasi wanazozishikilia!