Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue.
"Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote ni upuuzi tu" amesema Makamba
Source: Wasafi Media
Mjinga mwingine kachangia madaTukuue Una nini kipara? Unachelewesha bwawa ili iweje? Upigaji Tu
Kweli. Unajua sukuma gang ndiyo midomo juu sanaNingekuwa mimi ndio Makamba ningemtaka mmja wao aje awe Waziri na atoe commitment ya kukamilika kwa mwaka mmja,akishindwa tuu jela..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ule utoto wa neno "njooni mniue" huku kwenye social media, ndio bila aibu waziri mzima anatumia kwenye majukwaa rasmi?!
Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue.
"Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote ni upuuzi tu" amesema Makamba
Source: Wasafi Media
Mosie nkewakukome newafe wao sa uja ndiye wakimvika.....Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue.
"Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote ni upuuzi tu" amesema Makamba
Source: Wasafi Media
Makamba nilijua ni mweupe Ila sio kwa kiwango hiki. Kabisa hana majibu zaidi ya kusema Kama wanataka wamuue?Makamba hauaminiki kwa sababu una majibu yasiyojitosheleza na yanayochelewa kuja kwa wakati, na mara nyingine hauna consistence kwenye majibu yako.
Leo unasema hivi, ukipingwa unabadilika kesho unasema tofauti about same thing, ni kama unaangalia uchochoro wa kujifichia kwenye majibu yako, ndio maana huaminiki.
Mfano.
1. Kuhusu ile crane ya tani 26 uliyoagiza toka nje, ukaambiwa mbona hata hapa Tanzania zipo crane zenye uzito huo? ukasema inatakiwa isiyohamishika, ok fine, mpaka leo hiyo isiyohamishika iko wapi?
2. Au kuhusu tatizo la umeme lililowahi kuwepo, ukatutangazia mgao wako nchi nzima kwa kisingizio awamu iliyopita mitambo ilikuwa haifanyiwi service, then after ukadai mgao utasahaulika, lakini wapi, mgao bado upo mpaka juzi tumetangaziwa mwingine.
Baadae ulivyoona mambo sio ukabadilika, mkatangaza sababu ya mgao wa umeme ni ukame, ghafla akatokea mtendaji bwawa la Nyumba ya Mungu akasema maji yaliyopo kule yanatosha kuwasha umeme kwa muda mrefu ujao, Makamba kimya...
Halafu hii tabia yako ya kukimbilia kuwaona wanaokuhoji ni maadui, ndio itakumaliza kabisa, usijione special usiyehojika, you are not, hicho cheo chako ni cha umma, sio CEO wa private company.
Mwanzo ukihojiwa ulisema tatizo ni uwaziri wako, kama vile wewe ndie waziri wa Nishati pekee uliyewahi kutokea nchi hii.
Leo unawaambia wanaokuhoji wakuue, hii maana yake unakimbia majukumu yako, unajiona unaonewa unapoulizwa kuhusu yale yanayoihusu wizara yako, sasa kama hutaki kuulizwa wewe unataka aulizwe nani?
Anyway, tatizo ni la yule aliyekuweka hapo, amekudekeza matokeo yake unajiona kama "mtoto wa mama usiegusika", sasa kwa huu utoto wako, mtachafuka wote.
Hata mimi sikuamini mpaka nilivyosikiliza video. Hii nchi tumerogwa sio bure kama viongozi ndio hawaSitaki kuamini kama waziri katamka neno waniue subiri nirejelee vyanzo rasmi vya taarifa isije ikawa ni hila za mitandaoni.
Ila Kama ni kweli uongozi ni kipaji Mungu asipokujalia huwezi kulazimisha
Kama hataki lawama aache uongozi.Niko wizarani njooni mniue[emoji28]
Dah kachoka lawama
Ujenzi wa bwawa ni jambo la kitaalamu na siyo kisiasa. Wanasiasa hushughulika na sera.Wakuu hivi January ni nani mpaka acheleweshe huo mradi? Acheni kumtupia lawama huyo jamaa kama ni kuchelewa kwa mradi basi tatizo lipo ngaz za juu yake
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue.
"Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote ni upuuzi tu" amesema Makamba
Chanzo: Wasafi Media