Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamba ni mwizi siku zote,kazi ya kwanza aliyoingia nayo Hapo wizarani ni kitafuta bilioni moja ili kulipa ule mkopo aliouchukua kwa mgongo wa Bumbuli.
Na ikaishia kupukutika kwenye kuusaka uraisi 2015.
Alipo Makamba na 10% ipo.
Asijione kama mtu mjanja kuliko watanzania wote.
Time Will Tell!View attachment 2291847
Watoto wa kiswahili. Ndimi hazina stop. . tuna lamba asali ya mama.Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue.
"Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote ni upuuzi tu" amesema Makamba
Source: Wasafi Media
Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue.
"Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote ni upuuzi tu" amesema Makamba
Source: Wasafi Media
Mtakimbia nyinyi mkalinde kaburi kinguvu!Kwa hiyo bwawa limeisha??
Yeye alianza kwa uongo uongo wa lengo la kuhujumu bwawa ambalo ni hazina ya nchi.
Hilo halikubaliki asilani. Tutamkimbiza kama paka mwizi.
Hahaha....... kauli nzito sana!Niko wizarani njooni mniue😅
Dah kachoka lawama
Ni muhimu kufahamu kuwa watu wapuuzi ni wengi sana kulinganisha na wenye akili, hivyo siyo ajabu.Kweli Waziri jasiri sana anaiita Kamati ya Bunge ya Nishati iliyosema hairidhishwi na sababu za kuchelewa kwa mradi kuwa ni Wapuuzi?