MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,679
- 1,612
Niliwahi kufanya project moja na JM, ilihusu mambo ya utalii alikuwa akiwakilisha wakubwa wakati huo, kwa kweli it was a great team na akiwa kama team leader tulifanya naye kazi kwa maelewano, from my percpective he is capable...
The thread is full of cheerleaders..lol
MzalendoHalisi said:'O' level alisoma Galanos Tanga in early 90's! Akuliwa tu kijana muungwana, na mwanfunzi wa kawaida na wala mtu asingeweza kujua ni mtoto wa Mkubwa!
'O' level alisoma Galanos Tanga in early 90's! Akuliwa tu kijana muungwana, na mwanfunzi wa kawaida na wala mtu asingeweza kujua ni mtoto wa Mkubwa![/QUO
See?
Mafisadi take note...
MzalendoHalisi,
..lakini miaka hiyo Mzee Makamba hakuwa mtu mkubwa kiasi hicho.
..sana sana labda alikuwa Mkuu wa Wilaya au Katibu wa CCM Mkoa.
Am a leader of cheerleaders!
(give compliment where it's due)
... kiuzoefu kuwa mshauri wa Raisi. naamini anaweza kuwa na mawazo mapya kuliko wengi walioko serikalini sasa hivi.
Compliment kwa lipi mazee...?
Well, his personality, at least...
He he he, hongereni mazee..Uchialida mwema.
Compliment kwa lipi mazee...?
For him to get to the point of being discussed like this it means that somehow, somewhere, he is doing a good job and it gets recognition.
Aaargh, na na na.. Hata Liyumba alifunguliwa thread ikafika mpaka page sijui ya mia ngapi. Hiyo nayo unazungumziaje?
Mimi sioni correlation.
Angekuwa na mawazo mapya asingekuwa ana plagiarize articles za NY Times.
Angekuwa ni mshauri mzuri asingetoa undiplomatic statements against Nigeria.
Angekuwa mwandika speech mzuri, asingeandika speech ya masaa manne kutoa bungeni mpaka Sitta uzalendo ukamshinda akaikandia hapo hapo mbele ya Rais. That was unprecedented.... I mean Sitta ulishutumiwa kulifisadi vocher za vidonge Namanga pharmacy lakini that move you pulled right in front of the president redeemed you, no doubt... can't beat that. Hotuba la masaa manne linararuriwa hata kabla rais hajaondoka?
Hakuna correlation. Na angekuwa anafanya vizuri taifa na lenyewe lingekuwa linafanya vizuri.
Hata ZeUtamu imezungumziwa saaaan tu. So siyo kila kitu, siyo kila mtu anayezungumziwa basi anafanya vizuri. Logic zingine bana....
Aaargh, na na na.. Hata Liyumba alifunguliwa thread ikafika mpaka page sijui ya mia ngapi. Hiyo nayo unazungumziaje?
Mimi sioni correlation.
Well, maongezi in a good way...wapingaji wapo lakini si kwamba anaongelewa kwa kuiba