January Makamba: A New Generation Leader!

January Makamba: A New Generation Leader!

'O' level alisoma Galanos Tanga in early 90's! Akuliwa tu kijana muungwana, na mwanfunzi wa kawaida na wala mtu asingeweza kujua ni mtoto wa Mkubwa!
 
Niliwahi kufanya project moja na JM, ilihusu mambo ya utalii alikuwa akiwakilisha wakubwa wakati huo, kwa kweli it was a great team na akiwa kama team leader tulifanya naye kazi kwa maelewano, from my percpective he is capable...

Seems vr capable,
 
MzalendoHalisi said:
'O' level alisoma Galanos Tanga in early 90's! Akuliwa tu kijana muungwana, na mwanfunzi wa kawaida na wala mtu asingeweza kujua ni mtoto wa Mkubwa!

MzalendoHalisi,

..lakini miaka hiyo Mzee Makamba hakuwa mtu mkubwa kiasi hicho.

..sana sana labda alikuwa Mkuu wa Wilaya au Katibu wa CCM Mkoa.
 
'O' level alisoma Galanos Tanga in early 90's! Akuliwa tu kijana muungwana, na mwanfunzi wa kawaida na wala mtu asingeweza kujua ni mtoto wa Mkubwa![/QUO

See?

Mafisadi take note...
 
MzalendoHalisi,

..lakini miaka hiyo Mzee Makamba hakuwa mtu mkubwa kiasi hicho.

..sana sana labda alikuwa Mkuu wa Wilaya au Katibu wa CCM Mkoa.

It doesn't matter, bongo mkubwa ni mkubwa tu si unajua "stereotype"
 
... kiuzoefu kuwa mshauri wa Raisi. naamini anaweza kuwa na mawazo mapya kuliko wengi walioko serikalini sasa hivi.

Angekuwa na mawazo mapya asingekuwa ana plagiarize articles za NY Times.

Angekuwa ni mshauri mzuri asingetoa undiplomatic statements against Nigeria.

Angekuwa mwandika speech mzuri, asingeandika speech ya masaa manne kutoa bungeni mpaka Sitta uzalendo ukamshinda akaikandia hapo hapo mbele ya Rais. That was unprecedented.... I mean Sitta ulishutumiwa kulifisadi vocher za vidonge Namanga pharmacy lakini that move you pulled right in front of the president redeemed you, no doubt... can't beat that. Hotuba la masaa manne linararuriwa hata kabla rais hajaondoka?
 
Compliment kwa lipi mazee...?

For him to get to the point of being discussed like this it means that somehow, somewhere, he is doing a good job and it gets recognition.
 
For him to get to the point of being discussed like this it means that somehow, somewhere, he is doing a good job and it gets recognition.

Aaargh, na na na.. Hata Liyumba alifunguliwa thread ikafika mpaka page sijui ya mia ngapi. Hiyo nayo unazungumziaje?

Mimi sioni correlation.
 
Aaargh, na na na.. Hata Liyumba alifunguliwa thread ikafika mpaka page sijui ya mia ngapi. Hiyo nayo unazungumziaje?

Mimi sioni correlation.

Hakuna correlation. Na angekuwa anafanya vizuri taifa na lenyewe lingekuwa linafanya vizuri.

Hata ZeUtamu imezungumziwa saaaan tu. So siyo kila kitu, siyo kila mtu anayezungumziwa basi anafanya vizuri. Logic zingine bana....
 
Oya unatuyeyusha kwa kweli! naona sijui amekutuma?! kaka Tanzania ina brains kibao for real! na kama umefikia hatua ya kutoa hoja kisa picha nadhani umefikia hali mbaya zaidi bora atafute mtu mwingine kwani kwa watu wenye busara ambao hatuangalii mtoto wa nani?amepiga picha na nani hatuwezi kukubali hoja nyepesi kiasi hiki!!!

Na kwa taarifa yako huyo ni fursa ameishia kufanya hayo kuna watu wanafursa chache sana lakini wamefanya makubwa na ya maana kwa hii nchi ndugu yangu tena vijana wabichi kabisa hata zaidi ya huyo nani sijui...January!!

Kama ndiyo hoja za ccm sasa kutuambia huyu mdau ndo alipiga picha na fulani ama aliwahi kukutana na fulani ndo anafaa sana ama ni kichwa mmh!!!mwisho umewafika maweeeee......!!

Kama ni blog kuna watu wanatovuti kama hii jamiiforums na wapo mstari wa mbele kwa maslahi ya nchi yetu ndugu yangu hawa utawaweka wapi? ama mtu kama mzee mwanakijiji?

Tafakari!!
 
Angekuwa na mawazo mapya asingekuwa ana plagiarize articles za NY Times.

Angekuwa ni mshauri mzuri asingetoa undiplomatic statements against Nigeria.

Angekuwa mwandika speech mzuri, asingeandika speech ya masaa manne kutoa bungeni mpaka Sitta uzalendo ukamshinda akaikandia hapo hapo mbele ya Rais. That was unprecedented.... I mean Sitta ulishutumiwa kulifisadi vocher za vidonge Namanga pharmacy lakini that move you pulled right in front of the president redeemed you, no doubt... can't beat that. Hotuba la masaa manne linararuriwa hata kabla rais hajaondoka?

About a statement on Nigeria, guys, better find a better way to talk about it than going cheap. It's not like it was a statement he prepared to give on that event. I believe he was talking casually to that person not knowing that they'll publish the statement. Am sure that, If he had to make an "official" statement, he wouldn't have said it that way or he would've said it in a more professional way. Now, we all miss the path we're supposed to follow sometimes, we're human beings, we're not 100% perfect, to overlook his talents and pick that one little mistake and build a mountain of blames out of it, it's just not fair.
 
Hakuna correlation. Na angekuwa anafanya vizuri taifa na lenyewe lingekuwa linafanya vizuri.

Hata ZeUtamu imezungumziwa saaaan tu. So siyo kila kitu, siyo kila mtu anayezungumziwa basi anafanya vizuri. Logic zingine bana....

Ms. Kui anaona kuna correlation ya mia kwa mia..lol
 
Aaargh, na na na.. Hata Liyumba alifunguliwa thread ikafika mpaka page sijui ya mia ngapi. Hiyo nayo unazungumziaje?

Mimi sioni correlation.

Well, maongezi in a good way...wapingaji wapo lakini si kwamba anaongelewa kwa kuiba
 
Well, maongezi in a good way...wapingaji wapo lakini si kwamba anaongelewa kwa kuiba

Arrr wewe nawe unaonekana mgeni sana hapa JF. JM alikwibaga makala za NY Times some days back, akachomekeachomekea kwenye nakala zake za kalunguyeye watu wakamuanika hapa ukumbini akaenda kuziondoa kwenye ka-blog kake fastafasta..sasa hio nayo nini mazee?
 
Back
Top Bottom