January Makamba acha uongo na unafiki, maneno yako kuhusu umeme huyatekelezi

Wasukuma mnamchukia Makamba jr
 
Poleni sana Sukuma Geng mpaks sasa nawaza hivi Mheshimiwa Makamba ange ikuta hiyo wizara ikiwa Nishati ns Madini huo wivu mlio nao sasa inge kuwa mala 100
 
Ulikuwa hujui. Nadhani huyu anabebwa na jina na mitandao ya baba yake. Vinginevyo hakuna kitu chochote ni bomu. Atatimuliwa tu tokana na ujinga na upogo wake. Ni suala la muda. Huyu na Mwigulu Nchemba ni toxic ministers that the world has ever seen.
 
Piga kazi JANUARY
Vipi kuhusu kukatika kwa umeme mara kwa mara bila taarifa na kwa muda mrefu?

Jana, asubuhi yote hakukuwa na umeme eneo letu, hakuna nguzo iliyodondoka, wala mvua hakuna, hakuna ubadilishwaji wa nguzo, hakuna load shed iliyotangazwa, nini shida?

Eneo hili hili nimewahi kukaa miezi minne mfululizo bila kuona hata umeme kucheza achilia mbali kukatika, waliweza vipi kipindi hicho cha nyuma, sijui!
 
Mkuu, umeme kukatika huwa kunakuwaga na known na unknown reasons.

Lakini amini nakuambia, hakuna mtu anayeamka kwake kwenda eti kukata umeme kwa makusudi kabisa... Hiyo kitu haipo.

Incase una swali lolote lile uliza nikujuze taratibu mpaka uelewe.
 
Tulizoea kupata taarifa mapema kuna katizo la umeme ila kwa sasa hakuna taarifa,na umeme unakatwa mara kwa mara
 
Mkuu, umeme kukatika huwa kunakuwaga na known na unknown reasons.

Lakini amini nakuambia, hakuna mtu anayeamka kwake kwenda eti kukata umeme kwa makusudi kabisa... Hiyo kitu haipo.

Incase una swali lolote lile uliza nikujuze taratibu mpaka uelewe.
Boss umeme unakatika toka asubuhi unarudi saa mbili usiku,kwanini yapote masaa mengi kiasi hicho kama kuna tatizo kubwa kwanini watu wasipewe taarifa wakajua? Una saluni huna genereta ukijua muda umeme utarudi si utaenda kufanya kazi nyingine kuliko kukaa sehemu hiyo ukiishi kwa tumaini kuwa umeme unarudi sasa hivi?
 
Mwigulu, makamba Jr., Gwajima wa afya hao ni miongoni mwa wapuuzi wakubwa katika kundi la mawaziri tangu nchi ipate uhuru.
 
Sifurahishwi na Hali hii ya kukatika umeme mara kwa mara,Mimi mwenyewe asilimia 75%kazi zangu nategemea umeme.

Msingi wa hoja yangu Ni kwamba usipende au kufurahia pindi wengine wanapotumbuliwa

Duniani tunapita tu.

Mpumbavu nn!! Kwaio kama watu wanaleta ujinga na uchumi na maisha ya watu wafanyaje??

Reward???
Unajua accauntability ww?
 
Ulikuwa hujui. Nadhani huyu anabebwa na jina na mitandao ya baba yake. Vinginevyo hakuna kitu chochote ni bomu. Atatimuliwa tu tokana na ujinga na upogo wake. Ni suala la muda. Huyu na Mwigulu Nchemba ni toxic ministers that the world has ever seen.

Husimfananishe Mwigulu Mchumi na January form four failure pls

Mwigulu hajabebwa na jina la ukoo kafika hapo kwa nguvu zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…