Mimi.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,120
- 3,059
Angebaki kalemani tu naona chengachenga kwa uyu msela
Huyu January kwa akili zake ndogo angepewa wizara ya mazingira au Utalii , Michezo lakini sio wizara nyeti hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angebaki kalemani tu naona chengachenga kwa uyu msela
Naye mbona ana skeltons in the closet! Kwani hakughushi? Hata hiyo PhD yake ni mashaka matupu sawa na ile ya Ruto na MagufuliHusimfananishe Mwigulu Mchumi na January form four failure pls
Mwigulu hajabebwa na jina la ukoo kafika hapo kwa nguvu zake
Magufuli tuu ndio mtu akisema anafanyaWanasiasa sio watu wa kuamini!!
Hapo alikua anauwekea mbwembwe ugali wake