Mimi. JF-Expert Member Joined Sep 7, 2011 Posts 2,120 Reaction score 3,059 Oct 31, 2021 #41 MUSHEKY said: Angebaki kalemani tu naona chengachenga kwa uyu msela Click to expand... Huyu January kwa akili zake ndogo angepewa wizara ya mazingira au Utalii , Michezo lakini sio wizara nyeti hivi
MUSHEKY said: Angebaki kalemani tu naona chengachenga kwa uyu msela Click to expand... Huyu January kwa akili zake ndogo angepewa wizara ya mazingira au Utalii , Michezo lakini sio wizara nyeti hivi
Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 7,672 Reaction score 9,039 Nov 1, 2021 #42 Mimi. said: Husimfananishe Mwigulu Mchumi na January form four failure pls Mwigulu hajabebwa na jina la ukoo kafika hapo kwa nguvu zake Click to expand... Naye mbona ana skeltons in the closet! Kwani hakughushi? Hata hiyo PhD yake ni mashaka matupu sawa na ile ya Ruto na Magufuli
Mimi. said: Husimfananishe Mwigulu Mchumi na January form four failure pls Mwigulu hajabebwa na jina la ukoo kafika hapo kwa nguvu zake Click to expand... Naye mbona ana skeltons in the closet! Kwani hakughushi? Hata hiyo PhD yake ni mashaka matupu sawa na ile ya Ruto na Magufuli
edwayne JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 8,919 Reaction score 9,797 Nov 1, 2021 #43 Siasa mbaya sana said: Wanasiasa sio watu wa kuamini!! Hapo alikua anauwekea mbwembwe ugali wake Click to expand... Magufuli tuu ndio mtu akisema anafanya
Siasa mbaya sana said: Wanasiasa sio watu wa kuamini!! Hapo alikua anauwekea mbwembwe ugali wake Click to expand... Magufuli tuu ndio mtu akisema anafanya
SankaraBoukaka JF-Expert Member Joined Jul 2, 2019 Posts 1,213 Reaction score 1,918 Nov 1, 2021 #44 Miundo Mbinu ya Umeme Nchi Hii Lini Ilikuwa Mipya Maana Toka Najielewa Ngonjera Ndo Hiyo Hiyo....