Nimeiangalia clip yako ukikabidhi ofisi ya wizara ya mambo ya nje kwa Thabiti Kombo, uso wako umenyon'gonyea sana japo unajaribu kutabasamu kuficha hisia zako lakini uso wako unakataana na tabasamu lako, hii ndio dunia.
Ngoja nisubiri na kwa Nape Nnauye nione body language yake pia
"Uongozi ni koti la kuazima"
=====
Your browser is not able to display this video.
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba leo July 27,2024 amekabidhi rasmi ofisi kwa Waziri wa sasa wa Wizara hiyo, Balozi Mahmoud Thabit Kombo.
Makamba amesema βNimempongeza, kumtakia heri na kumuahidi ushirikiano Waziri Kombo, nimemshukuru Mhe Rais kwa imani na fursa ya kuhudumu, nimeishukuru Familia nzima ya Wizara kwa kazi tuliyofanya pamoja na kuwatakia kila la kheriβ
Nimeiangalia clip yako ukikabidhi ofisi ya wizara ya mambo ya nje kwa Thabiti Kombo, uso wako umenyon'gonyea sana japo unajaribu kutabasamu kuficha hisia zako lakini uso wako unakataana na tabasamu lako, hii ndio dunia...
Mpumbavu sana huyu dogo. Hawezi kujifunza na hana uwezo wowote. Isingekuwa JK na urafiki na Baba yake mzee Makamba Yusuf saa hizi angekuwa msanii wa singeli tu kama Meja Kunta.
Yaani Samia kampa uwaziri wa nishati baada ya kutemwa na Magufuli. Yeye baada ya kufanya kazi kwa ajili ya Watanzania alikwenda pale kukusanya fedha za ufisadi ili aje agombee uRais wa Tanzania dhidi ya mama Samia mwaka 2025.
Badala yake nchi ikaingia gizani kwa mgawo wa umeme wa miezi 6. Baada ya kuhamishwa wizara kwenda Mambo ya Nje akachukia na akaanza kumtukana mama kwa kumtumia Mange Kimambi wa California kupitia page zake za Instagram.
Mtu mwenyewe hana vyeti baada ya kufukuzwa Galanos kwa kuiba mitihani eti ana ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania??
Januari nakuhakikishia uRais wa Tz utausikiliza kwenye redio na TV tu kama marehemu Lowasa na Seif Sharrif Hamad
Mpumbavu sana huyu dogo. Hawezi kujifunza na hana uwezo wowote. Isingekuwa JK na urafiki na Baba yake mzee Makamba Yusuf saa hizi angekuwa msanii wa singeli tu kama Meja Kunta...
Mmmmmm.......!!! Alirudia Forest Morogoro....alaenda US akarudi 2005....akawa afisa mambo nje then team JK kampeni akiwa mwandishi wake....mengine historia na ni TISS mkubwatu....ni kweli anaandaliwa ........lkn kuna ajali siasa na mipango Mungu....
Mpumbavu sana huyu dogo. Hawezi kujifunza na hana uwezo wowote. Isingekuwa JK na urafiki na Baba yake mzee Makamba Yusuf saa hizi angekuwa msanii wa singeli tu kama Meja Kunta.
Yaani Samia kampa uwaziri wa nishati baada ya kutemwa na Magufuli. Yeye baada ya kufanya kazi kwa ajili ya Watanzania alikwenda pale kukusanya fedha za ufisadi ili aje agombee uRais wa Tanzania dhidi ya mama Samia mwaka 2025.
Badala yake nchi ikaingia gizani kwa mgawo wa umeme wa miezi 6. Baada ya kuhamishwa wizara kwenda Mambo ya Nje akachukia na akaanza kumtukana mama kwa kumtumia Mange Kimambi wa California kupitia page zake za Instagram.
Mtu mwenyewe hana vyeti baada ya kufukuzwa Galanos kwa kuiba mitihani eti ana ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania??
Januari nakuhakikishia uRais wa Tz utausikiliza kwenye redio na TV tu kama marehemu Lowasa na Seif Sharrif Hamad
Mmmmmm.......!!! Alirudia Forest Morogoro....alaenda US akarudi 2005....akawa afisa mambo nje then team JK kampeni akiwa mwandishi wake....mengine historia na ni TISS mkubwatu....ni kweli anaandaliwa ........lkn kuna ajali siasa na mipango Mungu....
Huwa nashindwa pia kuelewa mabaya ya huyu jamaa ni yap? Maana huwa namuona mtu smart mnoo..Na pia kama issue ni kuwa na ndoto za urais mbona siyo tatizo kabisa?? Maana Siyo vibaya mtu kuwa na malengo binafsi