January Makamba akabidhi ofisi kwa Waziri Kombo

Huyu jamaa huwa anafukuzwa fukuzwa tuu sjui Kwa nn
Anabebwa na jina la baba yake na si weredi wa kikazi. Tatizo akishalewa tu anavimba kichwa na kuongea yasiyopaswa kwa kiongozi wa nafasi yake kuongea
 
Cheo ni Sawa na Nguo ya kuazima ambayo Siku yoyote mmiliki wa Nguo anaweza kuichukua amesisitiza mh Rais Samia
Unazungumzia mambo ya "kuazima nguo". Hii ni jadi ya wapi hii? Nani anaazima nguo na kwa sababu zipi hasa? Au unazungumzia nguo za mitumba?

Lakini ngoja nikuulize swali, huenda wewe unaweza kujua hili: Huyo Mahmood 'THABIT KOMBO', ni kijukuu wa yule Thabit Kondo mwenyewe, au ni majina tu?
Hawa wazanzibari safari hii wanafaidi kweli matunda ya muungano. Lakini ndiyo hivyo tena wanaumaliza muungano wenyewe.
Hiyo Wizara ni nyeti sana, tusipo kuwa waangalifu zaidi, hapa ndipo tutakapovurugwa sana.
 
Huwa nashindwa pia kuelewa mabaya ya huyu jamaa ni yap? Maana huwa namuona mtu smart mnoo..Na pia kama issue ni kuwa na ndoto za urais mbona siyo tatizo kabisa?? Maana Siyo vibaya mtu kuwa na malengo binafsi
NAKUBALIANA NA WEWE NI MMOJA WA WANASIASA WACHACHE TULIONA WENYE AKILI KUBWA. SHIDA INAYOMUANDAMA NI KUUTAKA URAIS, NA NADHAN HILI SI TATIZO KWA MWANASIASA YEYOTE. KUWA AMBITIOUS KWENYE SIASA SI DHAMBI HATA KIDOGO!!
 
Unazungumzia mambo ya "kuazima nguo". Hii ni jadi ya wapi hii? Nani anaazima nguo na kwa sababu zipi hasa? Au unazungumzia nguo za mitumba?

Lakini ngoja nikuulize swali, huenda wewe unaweza kujua hili: Huyo Mahmood 'THABIT KOMBO', ni kijukuu wa yule Thabit Kondo mwenyewe, au ni majina tu?
Hawa wazanzibari safari hii wanafaidi kweli matunda ya muungano. Lakini ndiyo hivyo tena wanaumaliza muungano wenyewe.
Hiyo Wizara ni nyeti sana, tusipo kuwa waangalifu zaidi, hapa ndipo tutakapovurugwa sana.
Mwanae
 
Mmmmmm.......!!! Alirudia Forest Morogoro....alaenda US akarudi 2005....akawa afisa mambo nje then team JK kampeni akiwa mwandishi wake....mengine historia na ni TISS mkubwatu....ni kweli anaandaliwa ........lkn kuna ajali siasa na mipango Mungu....
Abaandaliwa na nani? Huko TISS aliingia lini? Hivi TISS unaijua au ? Yaani baba yake Makamba kumuombea kazi ya uandishi wa hotuba kwa Kikwete ndiyo amekuwa TISS?
 
Kwani haiwezekani muandishi wa kikwete kuwa TISS ?
 
Unazungumzia mambo ya "kuazima nguo". Hii ni jadi ya wapi hii? Nani anaazima nguo na kwa sababu zipi hasa? Au unazungumzia nguo za mitumba?

Lakini ngoja nikuulize swali, huenda wewe unaweza kujua hili: Huyo Mahmood 'THABIT KOMBO', ni kijukuu wa yule Thabit Kondo mwenyewe, au ni majina tu?
Hawa wazanzibari safari hii wanafaidi kweli matunda ya muungano. Lakini ndiyo hivyo tena wanaumaliza muungano wenyewe.
Hiyo Wizara ni nyeti sana, tusipo kuwa waangalifu zaidi, hapa ndipo tutakapovurugwa sana.
Mahamood siyo mjukuu ni mtoto wa hayati Thabit Kombo

Pili huku Pwani Utamaduni wa kuazimana nguo ulikuwepo na nadhani Bado upo, wengi wakienda kutongoza enzi zile waliazimana Nguo na Viatu 😃
 
Hun
Abaandaliwa na nani? Huko TISS aliingia lini? Hivi TISS unaijua au ? Yaani baba yake Makamba kumuombea kazi ya uandishi wa hotuba kwa Kikwete ndiyo amekuwa TISS?
Huna ulijualooooooo!!! Tuishie hapa hapa
 
Back
Top Bottom