Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Aliwahi kumzunguka hayati JPM kwa kuchora katuni zenye ujumbe wa dhihaka, pale alileta tabia za kivulana sana.Mpumbavu sana huyu dogo. Hawezi kujifunza na hana uwezo wowote. Isingekuwa JK na urafiki na Baba yake mzee Makamba Yusuf saa hizi angekuwa msanii wa singeli tu kama Meja Kunta.
Yaani Samia kampa uwaziri wa nishati baada ya kutemwa na Magufuli. Yeye baada ya kufanya kazi kwa ajili ya Watanzania alikwenda pale kukusanya fedha za ufisadi ili aje agombee uRais wa Tanzania dhidi ya mama Samia mwaka 2025.
Badala yake nchi ikaingia gizani kwa mgawo wa umeme wa miezi 6. Baada ya kuhamishwa wizara kwenda Mambo ya Nje akachukia na akaanza kumtukana mama kwa kumtumia Mange Kimambi wa California kupitia page zake za Instagram.
Mtu mwenyewe hana vyeti baada ya kufukuzwa Galanos kwa kuiba mitihani eti ana ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania??
Januari nakuhakikishia uRais wa Tz utausikiliza kwenye redio na TV tu kama marehemu Lowasa na Seif Sharrif Hamad
Biteko kaiweza wizara ya nishati, anapiga kazi na umeme umekaa vizuri muda huu. Matatizo ni madogo madogo ya baadhi ya lines lakini kitaifa umeme una mwenendo mzuri kwa sasa.