January Makamba akabidhi ofisi kwa Waziri Kombo

Huwa nashindwa pia kuelewa mabaya ya huyu jamaa ni yap? Maana huwa namuona mtu smart mnoo..Na pia kama issue ni kuwa na ndoto za urais mbona siyo tatizo kabisa?? Maana Siyo vibaya mtu kuwa na malengo binafsi
Huku uswahilini tunasema, umepigwa limbwata
 
Zipo nyakati ngumu .
Mtu mzima kuumbuka ndiyo hivyo.

Ni vile kunakuwa tu ulazima hivi hivi unampa tu dereva funguo
 
Pili huku Pwani Utamaduni wa kuazimana nguo ulikuwepo na nadhani Bado upo, wengi wakienda kutongoza enzi zile waliazimana Nguo na Viatu
Nimekumbuka.
Siyo huku pwani tu; hata shela za harusi watu hadi leo wana kodi.
Hiyo ni biashara nzuri, hata kule majuu kuna maduka maalum ya kukodi nguo maalum; kama 'tuxedo', unazijuwa hizo 'thebaptist'!

Nakupa wazo la biashara hilo; kaungane na mkuu 'Erythro' mkaanzishe duka la kukodisha 'tuxedo' pale Kariakoo. Ubaya au uzuri ni kuwa mkifanya hivyo, hatutawasikia tena humu JF! EEeeenHEEeeeh!
 
Huwa nashindwa pia kuelewa mabaya ya huyu jamaa ni yap? Maana huwa namuona mtu smart mnoo..Na pia kama issue ni kuwa na ndoto za urais mbona siyo tatizo kabisa?? Maana Siyo vibaya mtu kuwa na malengo binafsi

Enzi za Makamba

Hata mgao wa umeme hukuuona?

Hata foleni za watu kwenye vituo vya mafuta baada ya mafuta kufichwa maksudi hukuona?
 
Nyinyi choka mbovu mtapata nini
Huyu yeye maisha alishayapatia
Haya nenda kale mapera ukanye mbegu huko maporini siku iende
 
Kila mmoja akumbuke "nguo ya kuazima haisitiri makalio".

Mfanye kazi zenu kwa maslahi ya Watanzania siyo kwa matamanio yenu binafsi.
 
Huwa nashindwa pia kuelewa mabaya ya huyu jamaa ni yap? Maana huwa namuona mtu smart mnoo..Na pia kama issue ni kuwa na ndoto za urais mbona siyo tatizo kabisa?? Maana Siyo vibaya mtu kuwa na malengo binafsi
Ana matatizo mawili makubwa sana.

1) Ana tamaa sana.
2) Mjuwaji sana.
 
"Leo nimekabidhi rasmi Ofisi kwa Mhe Waziri Mahmoud Thabit Kombo. Nimempongeza, kumtakia heri na kumuahidi ushirikiano. Nimemshukuru Mhe Rais kwa imani na fursa ya kuhudumu. Nimeishukuru familia nzima ya Wizara kwa kazi tuliyofanya pamoja na kuwatakia kila la kheri"

January Makamba
 
Attachments

  • IMG-20240729-WA0051(1).jpg
    146.4 KB · Views: 2
Kuna kila dalili ya mtifuano lkn kwa nimjuavyo makamba hana hila...ni bahati mbaya wizara anapata watu washamba badala ya kufanyakazi wanahangaika na siasa.

Uchumia tumbo ni dalili mbaya sana ikiwa umbea umekujaa
 
Huwa nashindwa pia kuelewa mabaya ya huyu jamaa ni yap? Maana huwa namuona mtu smart mnoo..Na pia kama issue ni kuwa na ndoto za urais mbona siyo tatizo kabisa?? Maana Siyo vibaya mtu kuwa na malengo binafsi
ni kweli kuwa na malengo siyo mbaya shida ni uwezo, unatakiwa kuonyesha uwezo ktk mambo unayopitia kutimiza malengo yako, alikuwa nishati ndiyo wakati hali ya umeme ilikuwa mbaya sana,akateua mkurugenzi kutoka mwezini akatuhakikishia watz kuwa bei ya umeme haiwezi shuka kwani kujenga bwawa ni gharama kubwa sana na deni ni kubwa,anatoka mwezini hajui tunalipa kodi na tunaendelea kulipa.
 
Hongera zake Makamba ingawa likuwa ni jipu liliowahi kutumbuliwa na Marehemu Hayati Rais Dr Magufuli yeye Makamba na Nape waliwahi pia kutumbuliwa na RIP Dr Magufuli .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…