January Makamba akabidhi ofisi kwa Waziri Kombo

Aliwahi kumzunguka hayati JPM kwa kuchora katuni zenye ujumbe wa dhihaka, pale alileta tabia za kivulana sana.

Biteko kaiweza wizara ya nishati, anapiga kazi na umeme umekaa vizuri muda huu. Matatizo ni madogo madogo ya baadhi ya lines lakini kitaifa umeme una mwenendo mzuri kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…