britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Naona kuna mambo yanaendelea ndani Ya inchi bila watu kujua lililo nje Ya pazia
Someone is hunting it for real by hooks and crooks!
Mi ni miongoni mwa watu wanaokataa jambo lolote la kujinga haijarishi nani analifanya na yuko Chama gani,
Kuna ma tycoon nyuma ya Jamaa mwingine Jana kaanza kujifanya anakemea watu . Yaan wewe ROST TAMU ndo wa kukemea watanzania ?
Anyway Ngoja mlazimishwe na gesi huku tukiandaa uchinjaji
Miamala ya Taifa Kwa ajili ya Jambo fulani inakuwa ya mtu fulani kisa anaandaa timu fulani , hivi ikulu kuna nini hapo Mbona nimekaa Miaka 2 sioni cha ajabu Lakin nikawaza Kumbe ni rasili mali hizi zetu .
Ikanikumbusha storybook ya Kariakoo kwamba Jambazi anakutana na mteja anapanga kumuuzia kiatu ulichovaa wewe na ashajua atakikuvua lini,
Taifa linakuwa la hovyo sasa !
Tulitulia kidogo wakati Meko kaondoka na tulimpinga Kwa ukandamizaji wa haki za watu na kutofuata utawala wa sheria , sasa naona tutatakiwa kuwa active kivingine,
ANGALIZO KWA CHAMA CHANGU CCM , MAKAMBA, NCHEMBA, AU KIGWANGALA SI WATU WA KUWAACHIA WAKASHIKA KOKI YA MASEGA , HATUTAKUTA ASALI YETU
Britanicca