Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamba yupi?2040 Makamba atakuwa na miaka mingapi?
Miaka miwili tangu amefariki,mmeshindwa hata kupata ufisadi wake in evidence.Hata Magufuli alikuwa Mpigaji ila muuaji zaidi
Never Haitokaa itokee wale vijana wa mjini kushika dola hii..Mkuu naona umeamua kuvunja ukimya; Prince January na Prince Ridhiwan of Msoga Kingdom wameshapangwa kumrithi Queen Msafiri.
Kwaiyo usimuone Prince January anaangaika kunadi gesi ya TaifaGas, ni kwamba anajua yeye ndiye atachukua jumba la Ufalme.
HuNakumbuka mtoto wa Gachuma kupewa kuwa mjumbe wa board ya Tanesco nikafungue files zangu nikajua what's going on.
Angalizo yeyote unapotaka kushindana na kizazi hicho cha mwigulu na makamba jifungie ndani afu tumia akili ya kuzaliwa kabla hujatoka nje, vita sio makomborafiki na mizinga watu wanapiga hesabu 2030 itakuwaje afu wewe umekaa tu unapapasa paja za mkeo then unataka nje kushindana nao.
Nafikiri atakuwa anakimbilia karibu na 702040 Makamba atakuwa na miaka mingapi?
Alikuwa anafuatilia stori ya Dr. Shika🙂...Habari za Urusi kwanza ?
Umeandika matakataka tuNaona kuna mambo yanaendelea ndani Ya inchi bila watu kujua lililo nje Ya pazia
Someone is hunting it for real by hooks and crooks!
Mi ni miongoni mwa watu wanaokataa jambo lolote la kujinga haijarishi nani analifanya na yuko Chama gani,
Kuna ma tycoon nyuma ya Jamaa mwingine Jana kaanza kujifanya anakemea watu . Yaan wewe ROST TAMU ndo wa kukemea watanzania ?
Anyway Ngoja mlazimishwe na gesi huku tukiandaa uchinjaji
Miamala ya Taifa Kwa ajili ya Jambo fulani inakuwa ya mtu fulani kisa anaandaa timu fulani , hivi ikulu kuna nini hapo Mbona nimekaa Miaka 2 sioni cha ajabu Lakin nikawaza Kumbe ni rasili mali hizi zetu .
Ikanikumbusha storybook ya Kariakoo kwamba Jambazi anakutana na mteja anapanga kumuuzia kiatu ulichovaa wewe na ashajua atakikuvua lini,
Taifa linakuwa la hovyo sasa !
Tulitulia kidogo wakati Meko kaondoka na tulimpinga Kwa ukandamizaji wa haki za watu na kutofuata utawala wa sheria , sasa naona tutatakiwa kuwa active kivingine,
ANGALIZO KWA CHAMA CHANGU CCM , MAKAMBA, NCHEMBA, AU KIGWANGALA SI WATU WA KUWAACHIA WAKASHIKA KOKI YA MASEGA , HATUTAKUTA ASALI YETU
Britanicca
Yah right.Hii ni CAKE YA TAIFA Ila wanakula waliokaa MADHABAHUNI
wewe ni mfa maji usiyeisha kutapatapa. unajidanganya na wenzio wasukuma kwamba yule chizi wenu alimaliza wizi na upigaji umesahau hayabritanicca
Mlichokuwa mkikikataa kwa Magufuli ni misimamo yake kuhusu hili kundi la Rostam na Msoga!
Mkatumika bila kujua,kwa kupindisha ukweli na kuegemea mgongo wa Demokrasia.
Ambayo kwa ujumla ilikuwa sio Demokrasia bali "DOMO-KULA-SIA" za kulambia Asali.
Ambazo kiujumla Magufuli alikataa Semina,Makongamano,Safari lukuki za nje,Matumizi ya kumbi binafsi za kukodisha, ilhali kumbi za taasisi zikiwepo.
Mishahara hewa,vyeti bandia vya kughushi,Ufisadi mkubwa kupitia Tanesco,ukwepaji kodi kupitia misamaha ya waziri wa fedha na ubadhirifu wa pesa za halmashauri zetu huko "TAMISEMI"
Sote ni mashahidi nchi nzima.
Kwamba hayo yoote yamerudi kwa kasi ile ile ikiwa na Speed ya 4G.
Magufuli alichokifanya,ndio kile watu walikuwa wakililia kitokee huko nyuma kwenye hii hii awamu iliyoshika rimoti sasa hivi.
Kilichotokea ni Genge hili kumtumia
Queen Nyasafari,na kuweza kutekeleza walichoweza.Siri zote za Ikulu ya Magufuli zilikuwa zinapotiliza kwenda Kwa Msoga team.
Kwa kupewa na huyuhuyu Queen Nyasafari wa sasa.
Naona wanamuandaa Kigogo14 kuchukua nchi 2030.
Ngoja tuendelee kukaa siti za mbele tu.
Ila TIME WILL TELL .....
MUNGU IBARIKI TANZANIA....
Tuokowe na haya Majamga ya "Walina Asali"
Alamsikhi!
Kama unaweza kumpiga pini huko huko CCM sawa lakini akishapitishwa huko kwa Katiba hii na NEC hii hakuna kinachoweza kumzuiaNaona kuna mambo yanaendelea ndani Ya inchi bila watu kujua lililo nje Ya pazia
Someone is hunting it for real by hooks and crooks!
Mi ni miongoni mwa watu wanaokataa jambo lolote la kujinga haijarishi nani analifanya na yuko Chama gani,
Kuna ma tycoon nyuma ya Jamaa mwingine Jana kaanza kujifanya anakemea watu . Yaan wewe ROST TAMU ndo wa kukemea watanzania ?
Anyway Ngoja mlazimishwe na gesi huku tukiandaa uchinjaji
Miamala ya Taifa Kwa ajili ya Jambo fulani inakuwa ya mtu fulani kisa anaandaa timu fulani , hivi ikulu kuna nini hapo Mbona nimekaa Miaka 2 sioni cha ajabu Lakin nikawaza Kumbe ni rasili mali hizi zetu .
Ikanikumbusha storybook ya Kariakoo kwamba Jambazi anakutana na mteja anapanga kumuuzia kiatu ulichovaa wewe na ashajua atakikuvua lini,
Taifa linakuwa la hovyo sasa !
Tulitulia kidogo wakati Meko kaondoka na tulimpinga Kwa ukandamizaji wa haki za watu na kutofuata utawala wa sheria , sasa naona tutatakiwa kuwa active kivingine,
ANGALIZO KWA CHAMA CHANGU CCM , MAKAMBA, NCHEMBA, AU KIGWANGALA SI WATU WA KUWAACHIA WAKASHIKA KOKI YA MASEGA , HATUTAKUTA ASALI YETU
Britanicca
YesMkuu naona umeamua kuvunja ukimya; Prince January na Prince Ridhiwan of Msoga Kingdom wameshapangwa kumrithi Queen Msafiri.
Kwaiyo usimuone Prince January anaangaika kunadi gesi ya TaifaGas, ni kwamba anajua yeye ndiye atachukua jumba la Ufalme.
Gogoki mumedhulumiana nini na huyu best wako hadi kumpiga spana zote hizi? Au mumembetoana?Naona kuna mambo yanaendelea ndani Ya inchi bila watu kujua lililo nje Ya pazia