Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kuwa na kipara bila akili ni sawa na kubeba boga lililo ozaDawa yao maji moto tu dadeeeki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa na kipara bila akili ni sawa na kubeba boga lililo ozaDawa yao maji moto tu dadeeeki!
Atatoboa kwenu wewe na familia yako na ukoo wako pamoja na wapambe mnaoishi kutegemea mifuko ya wanaume wenzenu.Hivi sasa nchi inapitia wakati mgumu kwa watumiaji wa umeme na mafuta. Kwa mtazamo wangu naona hizi changamoto zitakuwa zinamkosesha usingizi waziri husika.
Lakini kuna kitu kinaniambia kwamba huyu kijana hatokubali kushindwa kuzitatua hizi changamoto. Sababu kubwa ni kwamba yeye anajua fika kuwa baada ya mama kumaliza wakati wake ifikapo 2030 watu watampima kutokana na utendaji wake. Na kama akiweza kutatua hizi changamoto atakuwa amezikosha nyoyo za Watanzania.
Mawaziri wenzake wengi sasa hivi wabakaribia kwenye miaka ya 60.
Mpaka ifikapo 2030 wengi wao watakuwa wameshajichokea. Kwa hiyo kama akifanya kazi yake kwa weledi ifikapo 2030 ana nafasi kubwa ya kutoboa!
[emoji2][emoji2][emoji2]Kuwa na kipara bila akili ni sawa na kubeba boga lililo oza
Aliye kupatia hilo jero la kununulia bundle ndiyo katuletea kizaazaa hapa jamvini.[emoji2][emoji2][emoji2]
Ukiitwa mgonjwa wa akili unaona sifa!
Bundle haliulizwi nitumie namba yako nikusaidie kidogo nawe upumzike vipondo vya kila siku kwenye mwendokasi!Aliye kupatia hilo jero la kununulia bundle ndiyo katuletea kizaazaa hapa jamvini.
Tangu Polepole alivyo furumushwa kutoka lumumba siku hizi huna lolote labda posho za kulinda mahame pale rubondo.Bundle haliulizwi nitumie namba yako nikusaidie kidogo nawe upumzike vipondo vya kila siku kwenye mwendokasi!
Unakumbuka alichokisema MUHONGO vs DARASA LA SABA BUNGENIHivi sasa nchi inapitia wakati mgumu kwa watumiaji wa umeme na mafuta. Kwa mtazamo wangu naona hizi changamoto zitakuwa zinamkosesha usingizi waziri husika.
Lakini kuna kitu kinaniambia kwamba huyu kijana hatokubali kushindwa kuzitatua hizi changamoto. Sababu kubwa ni kwamba yeye anajua fika kuwa baada ya mama kumaliza wakati wake ifikapo 2030 watu watampima kutokana na utendaji wake. Na kama akiweza kutatua hizi changamoto atakuwa amezikosha nyoyo za Watanzania.
Mawaziri wenzake wengi sasa hivi wabakaribia kwenye miaka ya 60.
Mpaka ifikapo 2030 wengi wao watakuwa wameshajichokea. Kwa hiyo kama akifanya kazi yake kwa weledi ifikapo 2030 ana nafasi kubwa ya kutoboa!
Kichwa majiDawa yao maji moto tu dadeeeki!
Unakiri kimoyo moyo ndio zimeongezeka mkuu kkkkkkkTangu Polepole alivyo furumushwa kutoka lumumba siku hizi huna lolote labda posho za kulinda mahame pale rubondo.View attachment 2018978
Kichwa majiUtajua mwenyewe!