January Makamba akiweza kutatua tatizo la umeme nchini atakuwa amejisafishia njia

Haya mawazo finyu ya kutegemea binadamu mmoja atatue changamoto za nchi ndio yametufikisha hapa.
 
Yani atengeneze tatizo alimalize mwenyewe halafu awe amejisafishia njia!
 
Oya mkuu JAMES MARTIN kwa kiasi Fran nahisi utakuwa kwa namna moja au nyingine basi una ukalibu kiasi Fran na mh January... Mwambie basi japo awakumbuke watanzania wenzake wa huku visiwani UKEREWE, leo ni Siku ya 3 hakuna umeme
 
Atatoboa kwenu wewe na familia yako na ukoo wako pamoja na wapambe mnaoishi kutegemea mifuko ya wanaume wenzenu.
 
Aliye kupatia hilo jero la kununulia bundle ndiyo katuletea kizaazaa hapa jamvini.
Bundle haliulizwi nitumie namba yako nikusaidie kidogo nawe upumzike vipondo vya kila siku kwenye mwendokasi!
 
Bundle haliulizwi nitumie namba yako nikusaidie kidogo nawe upumzike vipondo vya kila siku kwenye mwendokasi!
Tangu Polepole alivyo furumushwa kutoka lumumba siku hizi huna lolote labda posho za kulinda mahame pale rubondo.
 
Unakumbuka alichokisema MUHONGO vs DARASA LA SABA BUNGENI
na UVCCM Walishangilia kweli leo kipo wapo?
Unataka January ageuke mvua?
Maji yamekauka hakuna gase yule mshamba wenu aliyekufa mpigieni Simu mumwambie hakuna mvua na hakuna umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…