January Makamba alipewa tilioni 6 za matengenezo tanesco huyu wa sasa amepewa tilion ngap!?

Wamepewa pongezi kidogo, wameharibu. Wabongo! Tangu alfajiri hakuna umeme na hii ni kwa siku tatu sasa ilianza Alhamisi, Ijumaa wakauchukua kwa saa tatu, leo, tangu alfajiri.
Tanesco mko wapi? Niooni huku mtoe majibu, kwani yule kule 180 ameishia kusema tunarekebisha miundombinu, bila maelezo ya zaida.
Au mnataka maridhiano?
 
Hivi zile tilion 6 alifanyia marekebisho gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…