Siwezi kukaa kimya huku nikuona wapuuzi kama wewe mnatoa hoja za kijinga na kipumbavu lazima niwakemee kama wachungaji wanavyokemea mapepo midhabahuni.
Nyie ni zaidi ya mapepo na mashetani ambao mnapolute jamii kwa kutia hoja za uwongo na kupotosha.
Sasa huyo makamba alifutiwa mitiani kwa wizi kitu ambachi ni kweli just sababu baba yake alikuwa kiongozi ila ilitakiwa apandishwe mahakamani.
Unakuja na hija nyingine eti samia anapendwa sana wakati juzi tu kuna mtu kachangiwa fedha atoke jela kwa kosa la kuchoma picha na kukkashifu samia. Sasa angekuwa anaoendwa watu wangehamasika kweli kumchangia huyo kijana.
Sasa nyie machawa sometimes mnakaribisha matusi kwani mnaudhi sana kwa upotoshaji wenu, ila tutaenda sambamba mtakula sana majibu kinzani pamoja na matusi juu hata nikipigwa bani nitatengeneza id nyingine kupambana na nyie machawa wa hovyo
kwanza jitahidi kua mtulivu pinguza jazba, halafu naona unaweza kabisa kua mtulivu na kujizuia kua na jazba. sawa gentleman,
ili kusudi hata kama hatutakubaliana,
heshima, utu na udugu miongoni mwetu ubaki pale pale mwema na wenye upendo... haya ni mawazo, mtazamo na maoni tu ya kisiasa, kibinadamu..
jambo jingine muhimu sana ni kuepuka kuchanganya hoja na mada nyingine sehemu tofauti.
inafaa uchangie joja mahususi mahala sahihi, nitakuona tu, na nitakujibu huko huko...
na hii itakusaidi kujifunza, kuelewa na kuongeza ufahamu wa masuala mbalimbali na kusaidia kuapata maarifa zaidi juu ya kudeal na mambo haya....
mimi ni muumini wa siasa za hoja,
na ukijieleza na kunishawishi kisataarabu, wala sintasita hata kidogo, kukuunga mkono na kubadili hata misimamo wangu juu ya jambo hilo ambalo huenda nilikua nalielewa kimakosa..
mwisho na kwa umuhimu wa kipekee sana,
Dr.Samia Suluu Hassan, amemuweka mtu sahihi na kwa wakati sahihi sana, pale wizara ya mambo ya nje..
mh.January Makamba, ni mtu makini, mweledi na mchapakazi asie choka, mzalendo na mwenye kujali maslahi mapana ya Tanzania kwenye sura ya ulimwengu....
mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, mjamaa anafanya kazi nzuri sana aise
