kijana wa watu yuko serious, focused na mwenye bidii sana kuhakikisha anawaletea wananchi wa jimbo la bumbuli maendeleo endelevu ya kisiasa, kijamii na kiuchumi na wana yafurahia...Makamba acha kupiga ramli za kisambaaaaa ,wewe ushawaikukataliwa na Raisi mzalendo wa nchii hii,huwezi kutoboa ,utaishia kuwa waziri nakuhakikishia
Labda Rais wako wewe na familia yako (mnaweza kumuita rais wa mazezeta) mazezeta ni wewe na familia yako. Manake kuna rais wa manzese, rais wa wasafi, rais wa wachafu huyo atakuwa rais wenu nyie mazezeta.Rais wetu wa awamu ya Saba huyo
Hutaki nini Sasa huyo ndo rais wako wa awamu ya Saba, tutaona 2025 kati ya Mimi na wewe nani zezeta.Labda Rais wako wewe na familia yako (mnaweza kumuita rais wa mazezeta) mazezeta ni wewe na familia yako. Manake kuna rais wa manzese, rais wa wasafi, rais wa wachafu huyo atakuwa rais wenu nyie mazezeta.
huyo ni mwizi na mdanganyifu wa elimu
gentleman,Na aishie huko huko na kutokea huko huko Mambo ya Nje. Ujinga wa kumpigia debe la kuwa anaweza kuwa Rais wa Tz ni kutudharau Watanzania.
Nishati alikowekwa na Samia aliishia kufanya michongo ya hela tu na kuiacha nchi kwenye giza, uneme wa mgawo
kama mie muongo mbona unasita na kujizuia kusema ukweli?Wewe sio chawa tu Bali mwongo.
Siwezi kukaa kimya huku nikuona wapuuzi kama wewe mnatoa hoja za kijinga na kipumbavu lazima niwakemee kama wachungaji wanavyokemea mapepo midhabahuni.mihemko na matusi yanini sasa gentleman?
kama huna fikra au mawazo mbadala dhidi ya mtazamo na maoni ya wengine si ukae kumya tu au ufanye mambo mengine
nadhani unakusudia kupotosha tu wangwana, na haita wezekana sasahuyu huyu mdanganyifu kwenye mitihani?
hii nchi inaviongozi wa hovyo sana ndio maana haiendelei sasa ona huyu mwizi wa mitihani amekuwa waziri dah hatari na nusu.
Huyo kafiti kwenye wizi tuwizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba..
Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani mathalani kwenye masula ya amani, Elimu , chakula, afya, hali ya hewa, uwekezaji, utalii, uchumi, nishati, viwanda n.k, na kijana huyu amemuwakilisha Rais Dr Samia Suluhu Hassan vizuri sana, pale ambao yeye binafsi anapokua ametingwa na majukumu mengine mazito ya urais ya kitaifa au kimataifa...
heshima na ushawishi wa Tanzania kimataifa ni wa kiwango cha juu sana hivi sasa. na matokeo yake fursa za masomo na ufadhili wa masomo nje ya nchi umeongezeka sana katika nyanja za sayansi, na teknolojia, ajira za walimu wa kiswahili na afya nje ya nchi, biashara, kumiminika kwa watalii na wawekezaji wa nje n.k
una shauri Mh.January Makamba waziri wa mambo ya nje ya nchi, aongeze juhudi zaidi eneo gani la kisiasa, kijamii au kiuchumi ili Tanzania iendelee kunufaika, kuaminika na kuheshimika zaidi duniani?🐒
Makamba siyo Msambaa ni Mhaya.Makamba acha kupiga ramli za kisambaaaaa ,wewe ushawaikukataliwa na Raisi mzalendo wa nchii hii,huwezi kutoboa ,utaishia kuwa waziri nakuhakikishia
Muulize madudu na uchafu aliofanya EWURA......kijana wa watu yuko serious, focused na mwenye bidii sana kuhakikisha anawaletea wananchi wa jimbo la bumbuli maendeleo endelevu ya kisiasa, kijamii na kiuchumi na wana yafurahia...
huku pia akifanya juhudi na maarifa muafaka ya kizalendo sana, kuhakikisha heshima na wajibu wa Tanzania kwenye sura ya ulimwengu inaleta matokeo chanya miongini mwa mataifa ya dunia....
viva January Makamba viva,
kongole mh. rais,
comrade Dr.Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini na kumpa nafasi kijana huyu...
Shukuru Mungu hizi Wizara hazina Hela!! Zingekuwa na hela angeshaharibu siku nyingi sana!!Makamba kwingine ilikuwa kumuonea tu. Wizara zilizomtendea vizuri ni Mazingira na hii ya Mambo ya Nje.
Huu ni uthibitisho kuwa mtu anafanya vizuri kwenye eneo alilo na utaalam nalo.
Makamba ajira yake ya kwanza Serikali kama sikosei ilikuwa Foreign Affairs
kwanza jitahidi kua mtulivu pinguza jazba, halafu naona unaweza kabisa kua mtulivu na kujizuia kua na jazba. sawa gentleman,Siwezi kukaa kimya huku nikuona wapuuzi kama wewe mnatoa hoja za kijinga na kipumbavu lazima niwakemee kama wachungaji wanavyokemea mapepo midhabahuni.
Nyie ni zaidi ya mapepo na mashetani ambao mnapolute jamii kwa kutia hoja za uwongo na kupotosha.
Sasa huyo makamba alifutiwa mitiani kwa wizi kitu ambachi ni kweli just sababu baba yake alikuwa kiongozi ila ilitakiwa apandishwe mahakamani.
Unakuja na hija nyingine eti samia anapendwa sana wakati juzi tu kuna mtu kachangiwa fedha atoke jela kwa kosa la kuchoma picha na kukkashifu samia. Sasa angekuwa anaoendwa watu wangehamasika kweli kumchangia huyo kijana.
Sasa nyie machawa sometimes mnakaribisha matusi kwani mnaudhi sana kwa upotoshaji wenu, ila tutaenda sambamba mtakula sana majibu kinzani pamoja na matusi juu hata nikipigwa bani nitatengeneza id nyingine kupambana na nyie machawa wa hovyo
Wewe kama nani useme anafanya kazi vizuri? Si usubiri bosi wake ndiyo aseme hivyo?gentleman,
plz plz niwie radhi sana na usinilishe maneno basi. kweli kuna mahali nimezungumzia habari ya urais kweli?
hivi kweli mimi kiongozi wa wananchi mwenye dhamana nzito ya umma, naweza kuwadharai waTanazania kama unavyo eleza kweli?
hiyo si sawa,
na ni upotoshaji wa wazi kabisa inafaa kupingwa vikali na kupuuzwa na wananchi wote...
jambo la mwisho,
ambalo ndiyo hoja ya msingi na muhimu sana iliyopo mezani , ni ukweli bayana usiopingika kwamba mh.January Makamba anafanya kazi nzuri na kwa weledi sana pale wizara ya mambo ya nje,,,
nadhani anastahili maua yake
mimi ni mtanzania mnyonge sana, nisiestahili chochote mbele ya yeyote, ni mdhaifu mno, lakini jasiri na mbunifu mwenye bidii, asie kata tamaa kabisa. si mchoyo, ni muaminifu, mvumulivu na mwenye subra, karama ambazo Mungu kamkirimia kila mja wake humu duniani, ni namna ya kuzitumia tu....Wewe kama nani useme anafanya kazi vizuri? Si usubiri bosi wake ndiyo aseme hivyo?
Ndiyo maana watu wanakuona wewe chawa wa kuwa kampenia wanasiasa
mambo yanabadilika gentleman,Muulize madudu na uchafu aliofanya EWURA......
Anatakiwa kuwa behind bars
Moja wa kiongozi ovyo kuwahi kutokea Tanzaniawizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba..
Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani mathalani kwenye masula ya amani, Elimu , chakula, afya, hali ya hewa, uwekezaji, utalii, uchumi, nishati, viwanda n.k, na kijana huyu amemuwakilisha Rais Dr Samia Suluhu Hassan vizuri sana, pale ambao yeye binafsi anapokua ametingwa na majukumu mengine mazito ya urais ya kitaifa au kimataifa...
heshima na ushawishi wa Tanzania kimataifa ni wa kiwango cha juu sana hivi sasa. na matokeo yake fursa za masomo na ufadhili wa masomo nje ya nchi umeongezeka sana katika nyanja za sayansi, na teknolojia, ajira za walimu wa kiswahili na afya nje ya nchi, biashara, kumiminika kwa watalii na wawekezaji wa nje n.k
una shauri Mh.January Makamba waziri wa mambo ya nje ya nchi, aongeze juhudi zaidi eneo gani la kisiasa, kijamii au kiuchumi ili Tanzania iendelee kunufaika, kuaminika na kuheshimika zaidi duniani?🐒
Wewe poyoyo tu wala usitupotezee muda. Kama unaweza kumu admire mtu mchovu aliyetuweka gizani miezi 6, sasa wewe ni wa kukusikiliza kweli.mimi ni mtanzania mnyonge sana, nisiestahili chochote mbele ya yeyote, ni mdhaifu mno, lakini jasiri na mbunifu mwenye bidii, asie kata tamaa kabisa. si mchoyo, ni muaminifu, mvumulivu na mwenye subra, karama ambazo Mungu kamkirimia kila mja wake humu duniani, ni namna ya kuzitumia tu....
ni mtanzania huru mwenye haki na wajibu kutoa na kueleza maoni na mtazamo bayana na wa ukweli bila kumuomba ruhusa mtu yeyote, bali yote haya ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu