January Makamba anatakiwa aitwe na kuhojiwa na chama chake kuhusiani na kauli zake zinazohusu uchaguzi wa 2020

January Makamba anatakiwa aitwe na kuhojiwa na chama chake kuhusiani na kauli zake zinazohusu uchaguzi wa 2020

Utumwa wa fikra kitu kibaya sana.

We unamshutumu January kumsema jiwe lakini hapo hapo wewe unamsema huyo January mwanzo mwisho. Mara kapewa wizara, mara kashindwa sijui nini na unaona sawa tu.

Kwann mna react sana Magu akikosolewa hivi? Nyie kwenu Magu alikuwa ni Mungu au ni nini asifanye makosa?
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Huyu mtu baada ya kushindwa kuiongoza wizara aliyopewa bure kutokana umaarufu wa baba yake huko chamani, na pia kushindwa kuisimamia vyema wizara ya mambo ya nje aliyohamishiwa, sasa kaamua kuja na mkakati wa kumchafua hayati Magufuli kwa lengo la kutrend katika mitandao ya kijamii, akifikiri kuwa style hiyo ya kumchafua hayati Magufuli itamsaidia kutoboa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi cha mwaka 2025.

Mimi nafikiri huyu mtu hafai kuendelea kuwa chamani wala wizarani, maana ni mnafiki, mpenda majungu na muendekeza siasa za majitaka zilizopitwa na wakati.

Raisi Samia akiendelea kumfuga huyo mtanga katika chama na baraza lake la mawaziri basi ajue kwamba kuna siku na yeye atakuja kusemwa kama anavyosemwa mwenzake alietangulia mbele ya haki.

Soma:
- Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao
KWANI NI UONGO? KILA KITU KIKO WAZI NA NDIO MAANA MUNGU KAFANYA MAAMUZI HAKUMCHELEWESHA
 
Umasikini wa fikra ni changamoto kubwa sana.
Serikali ya awamu ya tano ilikuwa na mazuri na mabaya yake. Tunatakiwa kuendeleza mazuri na kuacha mabaya na hili litawezekana tu kwa kuyachambua.
Wapumbavu na masikini wa fikra hupenda kusikia mazuri au mabaya tu.
Yote lazima yachambuliwe kwa mustakabali mwema wa taifa.
 
SGR,JNHPP n,k hizi alama zinaishi zitabaki vizazi na vizazi zinaweka ugumu wa kumchafua Magufuli.

mfano muheshimiwa Kipara kalifanyia jambo lipi taifa la Tanzania,jibu ni hakuna.
Ni sawa kusema makuburu wanachafuliwa kwa unyama wao huko afrika kusini, kisa wameijenga Africa kusini. Ni hivi, dhalimu magu alikuwa shetani kwenye umbile la binadamu.
 
CCM wanajua kucheza na watanzania kwelikweli najua wiki hii wote watakimbilia kumjadili makamba huku tukiacha kujadili vitu vya msingi
 
Weka ushahidi sio utuletee maneno matupu.

Bila baba yake huyo jamaa yenu asingekuwepo hapo alipo leo, na pia niambie kitu gani cha maana alikifanya pale wizarani?

Yani atuharibie nchi alafu tusimseme, yeye amekuwa nani nchi hata. Hata raisi anasemwa, sembuse yeye mnafki.
Una nchi gani wewe au wenye nchi huwajui? Kula lala yako na familia yako shida tupu usafiri daladala au bajaji ya kuchangia eti anatuharibia nchi Wenye Nchi ni pamoja na January
 
Nafikiri jambo kubwa alilolifanyia Tanzania ni kutengeneza majungu, futna na kuibia wizara anazopewa kuongoza. Hana lingine jipya.
Hayo unajua ww, sisi tunajua Magufuli alikuwa kiongozi muovu, na tunamshukuru Mungu kwa kutoondolea yule kiongozi muovu.
 
Umasikini wa fikra ni changamoto kubwa sana.
Serikali ya awamu ya tano ilikuwa na mazuri na mabaya yake. Tunatakiwa kuendeleza mazuri na kuacha mabaya na hili litawezekana tu kwa kuyachambua.
Wapumbavu na masikini wa fikra hupenda kusikia mazuri au mabaya tu.
Yote lazima yachambuliwe kwa mustakabali mwema wa taifa.
Mabaya hatuwezi kuyaacha LAZIMA YASEMWE TENA SANA mbona MUNGU hakumuacha?
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Huyu mtu baada ya kushindwa kuiongoza wizara aliyopewa bure kutokana umaarufu wa baba yake huko chamani, na pia kushindwa kuisimamia vyema wizara ya mambo ya nje aliyohamishiwa, sasa kaamua kuja na mkakati wa kumchafua hayati Magufuli kwa lengo la kutrend katika mitandao ya kijamii, akifikiri kuwa style hiyo ya kumchafua hayati Magufuli itamsaidia kutoboa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi cha mwaka 2025.

Mimi nafikiri huyu mtu hafai kuendelea kuwa chamani wala wizarani, maana ni mnafiki, mpenda majungu na muendekeza siasa za majitaka zilizopitwa na wakati.

Raisi Samia akiendelea kumfuga huyo mtanga katika chama na baraza lake la mawaziri basi ajue kwamba kuna siku na yeye atakuja kusemwa kama anavyosemwa mwenzake alietangulia mbele ya haki.

Soma:
- Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao
Hata yeye alikuwa anajipitisha bila kupingwa
 
Most of them knows nothing, and they thinks they're knows everything. That points clearly to a political career....😜
 
Kwani uongo.
Kwa ambao hamkuwepo na msio na kumbukumbu, uchaguzi wa 2020 haukua wa haki.
Alivyosema January Ni ukweli mtupu.
Lakini pia January hajashindwa kuendesha wizara na Wala hakupata uwaziri kwa sababu ya jina la mzee wake.
Tatu, jifunze kuwa na adabu unapowasema waheshimiwa Kama Makamba senior.
Kwani unataka kuniambia kwamba CCM ni mwaka huo wa 2020 tu ndio CCM ilifanya vitimbi vya uchaguzi?? Kama CCM ilifanya kwann mpaka Leo huyo Makamba yupo kama mbunge na wazir?? Kwann asijiuzuru. Mbona anaongea pumba?? Nasikia huyu jamaa hana capacity ya kuchambua mambo. Ni kilaza wa, kufa mtu. Yupo kama wazir kwa kubebwa na kina JK na babaye. Lakin wakileta, interview ya hizo nafasi ni mweupe kama sufuria. Watu wazur hawafi.
 
Back
Top Bottom