haina haja wala si muhimu kama ni kauli zake au maoni na mtazamo wake binafsi 🐒Habari zenu wanaJF wenzangu,
Huyu mtu baada ya kushindwa kuiongoza wizara aliyopewa bure kutokana umaarufu wa baba yake huko chamani, na pia kushindwa kuisimamia vyema wizara ya mambo ya nje aliyohamishiwa, sasa kaamua kuja na mkakati wa kumchafua hayati Magufuli kwa lengo la kutrend katika mitandao ya kijamii, akifikiri kuwa style hiyo ya kumchafua hayati Magufuli itamsaidia kutoboa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi cha mwaka 2025.
Mimi nafikiri huyu mtu hafai kuendelea kuwa chamani wala wizarani, maana ni mnafiki, mpenda majungu na muendekeza siasa za majitaka zilizopitwa na wakati.
Raisi Samia akiendelea kumfuga huyo mtanga katika chama na baraza lake la mawaziri basi ajue kwamba kuna siku na yeye atakuja kusemwa kama anavyosemwa mwenzake alietangulia mbele ya haki.
Soma:
- Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao
kwako wewe ila kwangu mimi kwa nchi kafanya mengi mazuri yatakayonufaisha vizazi na vizazi.Ni kweli Bora katika uovu.
Uhuru wa mtu kutoa hisia zake uheshimiwe. Hii siyo sukuma gang era. Understand wewe pimbi?Habari zenu wanaJF wenzangu,
Huyu mtu baada ya kushindwa kuiongoza wizara aliyopewa bure kutokana umaarufu wa baba yake huko chamani, na pia kushindwa kuisimamia vyema wizara ya mambo ya nje aliyohamishiwa, sasa kaamua kuja na mkakati wa kumchafua hayati Magufuli kwa lengo la kutrend katika mitandao ya kijamii, akifikiri kuwa style hiyo ya kumchafua hayati Magufuli itamsaidia kutoboa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi cha mwaka 2025.
Mimi nafikiri huyu mtu hafai kuendelea kuwa chamani wala wizarani, maana ni mnafiki, mpenda majungu na muendekeza siasa za majitaka zilizopitwa na wakati.
Raisi Samia akiendelea kumfuga huyo mtanga katika chama na baraza lake la mawaziri basi ajue kwamba kuna siku na yeye atakuja kusemwa kama anavyosemwa mwenzake alietangulia mbele ya haki.
Soma:
- Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao
Kwa sababu huyu mama ni mwema sana anapenda maridhiano amekuja na 4R. Ongezea na viongozi wa wajuu wa CCM wanakiri hadharani kupitia makamu mwenyekiti wa CCM na katibu wa UWT na kuna mawaziri kadhaa pia wamesikika wakitoa kauli hizi Nape na Makamba.Kwani uongo.
Kwa ambao hamkuwepo na msio na kumbukumbu, uchaguzi wa 2020 haukua wa haki.
Alivyosema January Ni ukweli mtupu.
Lakini pia January hajashindwa kuendesha wizara na Wala hakupata uwaziri kwa sababu ya jina la mzee wake.
Tatu, jifunze kuwa na adabu unapowasema waheshimiwa Kama Makamba senior.
Kweli ni watu wa hovyoSio kweli
Baba yako alikuwa nani kwa wale watoto aliowalawitiNi sawa kusema makuburu wanachafuliwa kwa unyama wao huko afrika kusini, kisa wameijenga Africa kusini. Ni hivi, dhalimu magu alikuwa shetani kwenye umbile la binadamu.
Kama ukoo wenu unavyofurahi Baba yako muovu alivyoondokaHayo unajua ww, sisi tunajua Magufuli alikuwa kiongozi muovu, na tunamshukuru Mungu kwa kutoondolea yule kiongozi muovu.
Kosa moja halihalalishi jingine au mengine.Kwani unataka kuniambia kwamba CCM ni mwaka huo wa 2020 tu ndio CCM ilifanya vitimbi vya uchaguzi?? Kama CCM ilifanya kwann mpaka Leo huyo Makamba yupo kama mbunge na wazir?? Kwann asijiuzuru. Mbona anaongea pumba?? Nasikia huyu jamaa hana capacity ya kuchambua mambo. Ni kilaza wa, kufa mtu. Yupo kama wazir kwa kubebwa na kina JK na babaye. Lakin wakileta, interview ya hizo nafasi ni mweupe kama sufuria. Watu wazur hawafi.
Mbona A Kinana naye kasema,ukweli uchaguzi wa 2019/2020 tulinusulika kuliingiza taifa kwenye umwagaji damu,isije kurudiwa. Nchi nzima inajua. hapa tuache uchawa. Makamba yuko sahihi.Kwani uongo.
Kwa ambao hamkuwepo na msio na kumbukumbu, uchaguzi wa 2020 haukua wa haki.
Alivyosema January Ni ukweli mtupu.
Lakini pia January hajashindwa kuendesha wizara na Wala hakupata uwaziri kwa sababu ya jina la mzee wake.
Tatu, jifunze kuwa na adabu unapowasema waheshimiwa Kama Makamba senior.
Umeandika takatakaHabari zenu wanaJF wenzangu,
Huyu mtu baada ya kushindwa kuiongoza wizara aliyopewa bure kutokana umaarufu wa baba yake huko chamani, na pia kushindwa kuisimamia vyema wizara ya mambo ya nje aliyohamishiwa, sasa kaamua kuja na mkakati wa kumchafua hayati Magufuli kwa lengo la kutrend katika mitandao ya kijamii, akifikiri kuwa style hiyo ya kumchafua hayati Magufuli itamsaidia kutoboa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi cha mwaka 2025.
Mimi nafikiri huyu mtu hafai kuendelea kuwa chamani wala wizarani, maana ni mnafiki, mpenda majungu na muendekeza siasa za majitaka zilizopitwa na wakati.
Raisi Samia akiendelea kumfuga huyo mtanga katika chama na baraza lake la mawaziri basi ajue kwamba kuna siku na yeye atakuja kusemwa kama anavyosemwa mwenzake alietangulia mbele ya haki.
Soma:
- Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao
Dogo anaamini ana akili kuliko Tanzania nzima.Makamba na baba yake ni watu wa hovyo sana katika nchi yetu.
Hata makaburu wa Africa kusini walifanya mazuri kuliko ya dhalimu magu, umeona tukiwasifia au wakisifiwa na weusi wa nchi hiyo?kwako wewe ila kwangu mimi kwa nchi kafanya mengi mazuri yatakayonufaisha vizazi na vizazi.
Uko sahihi kabisa...sifa namba moja katika Tanzania ya kuwa Waziri ni lazima uwe Mbunge ... January Makamba ni Mbunge zao la uchaguzi wa 2020...na kateuliwa mara tatu kuwa Waziri, once na Magufuli na Twice na Mama.Kwani uongo.
Kwa ambao hamkuwepo na msio na kumbukumbu, uchaguzi wa 2020 haukua wa haki.
Alivyosema January Ni ukweli mtupu.
Lakini pia January hajashindwa kuendesha wizara na Wala hakupata uwaziri kwa sababu ya jina la mzee wake.
Tatu, jifunze kuwa na adabu unapowasema waheshimiwa Kama Makamba senior.
Huyo bado ana kinyongo, asilolijua ni kuwaHabari zenu wanaJF wenzangu,