January Makamba anatakiwa aitwe na kuhojiwa na chama chake kuhusiani na kauli zake zinazohusu uchaguzi wa 2020

Habari zenu wanaJF wenzangu,

Huyu mtu baada ya kushindwa kuiongoza wizara aliyopewa bure kutokana umaarufu wa baba yake huko chamani, na pia kushindwa kuisimamia vyema wizara ya mambo ya nje aliyohamishiwa, sasa kaamua kuja na mkakati wa kumchafua hayati Magufuli kwa lengo la kutrend katika mitandao ya kijamii, akifikiri kuwa style hiyo ya kumchafua hayati Magufuli itamsaidia kutoboa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi cha mwaka 2025.

Mimi nafikiri huyu mtu hafai kuendelea kuwa chamani wala wizarani, maana ni mnafiki, mpenda majungu na muendekeza siasa za majitaka zilizopitwa na wakati.

Raisi Samia akiendelea kumfuga huyo mtanga katika chama na baraza lake la mawaziri basi ajue kwamba kuna siku na yeye atakuja kusemwa kama anavyosemwa mwenzake alietangulia mbele ya haki.

Soma:
- Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao
haina haja wala si muhimu kama ni kauli zake au maoni na mtazamo wake binafsi 🐒
 
Uhuru wa mtu kutoa hisia zake uheshimiwe. Hii siyo sukuma gang era. Understand wewe pimbi?
 
Kwani uongo.
Kwa ambao hamkuwepo na msio na kumbukumbu, uchaguzi wa 2020 haukua wa haki.
Alivyosema January Ni ukweli mtupu.
Lakini pia January hajashindwa kuendesha wizara na Wala hakupata uwaziri kwa sababu ya jina la mzee wake.
Tatu, jifunze kuwa na adabu unapowasema waheshimiwa Kama Makamba senior.
Kwa sababu huyu mama ni mwema sana anapenda maridhiano amekuja na 4R. Ongezea na viongozi wa wajuu wa CCM wanakiri hadharani kupitia makamu mwenyekiti wa CCM na katibu wa UWT na kuna mawaziri kadhaa pia wamesikika wakitoa kauli hizi Nape na Makamba.

Haki itendeke haraka sana, mwambieni raisi aitishe uchaguzi mkuu haraka sana mwaka huu, kuondoa dhulma iliyofanyika 2020 si anataka maradhiano na ana amini haki aikutendeka maana hizo kauli zimeongelewa mara kadhaa mbele yake na Kinana, Nchimbi na Makamba; hata yeye mwenyewe anaamini hivyo ndio maana akaja na hizo 4R.

Kwa hivyo hakuna namna zaidi ya kuitisha uchaguzi mkuu mwingine haraka sana kuondoa dhulma ya 2020.

Kama wapo kwa dhulma na CCM uongozi wa juu wa CCM mwenyekiti, makamu na katibu na baadhi ya mawaziri wao wanakubali waitishe uchaguzi kuwapa wananchi haki.

Kunufaika na dhulma maana yake na wewe ni sehemu ya dhulma na uhalifu uliotendeka. Mama aitishe uchaguzi haraka sana hakuna namna nchi aiwezi ongozwa na raisi anaekiri yupo pale kutokana na dhulma.
 
Ni sawa kusema makuburu wanachafuliwa kwa unyama wao huko afrika kusini, kisa wameijenga Africa kusini. Ni hivi, dhalimu magu alikuwa shetani kwenye umbile la binadamu.
Baba yako alikuwa nani kwa wale watoto aliowalawiti
 
Hayo unajua ww, sisi tunajua Magufuli alikuwa kiongozi muovu, na tunamshukuru Mungu kwa kutoondolea yule kiongozi muovu.
Kama ukoo wenu unavyofurahi Baba yako muovu alivyoondoka
 
Kwani unataka kuniambia kwamba CCM ni mwaka huo wa 2020 tu ndio CCM ilifanya vitimbi vya uchaguzi?? Kama CCM ilifanya kwann mpaka Leo huyo Makamba yupo kama mbunge na wazir?? Kwann asijiuzuru. Mbona anaongea pumba?? Nasikia huyu jamaa hana capacity ya kuchambua mambo. Ni kilaza wa, kufa mtu. Yupo kama wazir kwa kubebwa na kina JK na babaye. Lakin wakileta, interview ya hizo nafasi ni mweupe kama sufuria. Watu wazur hawafi.
Kosa moja halihalalishi jingine au mengine.
Kujua na kukiri kosa ni hatua moja katika kurekebisha makosa yasjirudie tena.
Ni muhimu tujenge jamii na taifa la watu wanaoheshimiana kistarabu.
Siasa za wizi wa kura haziwezi kujenga jamii na taifa.
 
Samia ana wasanifu wapinzani, watajaa, kumbuka Tz tuna wapinzani wa ruzuku, watajaa tu kichwa kichwa.

Kama ana penda haki si tuandae katiba mpya kwa sasa na tuwe na tume huru? Afanye hivi vitu viwili tu kabla hata ya uchsguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi wa mwakani, kama hakuna haya yote asemayo ni zero .

Ana shindwa kusolve mambo ya msingi ysnauo gusa maisha ya kila siku ya mtanzania amekazania vitu ambavyo having tija, biashara hazifanyiki,bank hakuna dollars, kwa siku bank zinapata 200 dollars tu, mama lenu like busy na mambo ya kijinga halijui chochote.
 
Utawala uliofeli kwenye kila kitu.

Toka Samia ameingia madarakani hakuna lolote la maana kafanya huyu mama.

Yeye na mawaziri wake mzigo kama Januari.

Kachagua wale mizigo wote wamsaidie na kweli wamemsaidia kuharibu nchi.
 
Kwani uongo.
Kwa ambao hamkuwepo na msio na kumbukumbu, uchaguzi wa 2020 haukua wa haki.
Alivyosema January Ni ukweli mtupu.
Lakini pia January hajashindwa kuendesha wizara na Wala hakupata uwaziri kwa sababu ya jina la mzee wake.
Tatu, jifunze kuwa na adabu unapowasema waheshimiwa Kama Makamba senior.
Mbona A Kinana naye kasema,ukweli uchaguzi wa 2019/2020 tulinusulika kuliingiza taifa kwenye umwagaji damu,isije kurudiwa. Nchi nzima inajua. hapa tuache uchawa. Makamba yuko sahihi.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Huyu mtu baada ya kushindwa kuiongoza wizara aliyopewa bure kutokana umaarufu wa baba yake huko chamani, na pia kushindwa kuisimamia vyema wizara ya mambo ya nje aliyohamishiwa, sasa kaamua kuja na mkakati wa kumchafua hayati Magufuli kwa lengo la kutrend katika mitandao ya kijamii, akifikiri kuwa style hiyo ya kumchafua hayati Magufuli itamsaidia kutoboa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi cha mwaka 2025.

Mimi nafikiri huyu mtu hafai kuendelea kuwa chamani wala wizarani, maana ni mnafiki, mpenda majungu na muendekeza siasa za majitaka zilizopitwa na wakati.

Raisi Samia akiendelea kumfuga huyo mtanga katika chama na baraza lake la mawaziri basi ajue kwamba kuna siku na yeye atakuja kusemwa kama anavyosemwa mwenzake alietangulia mbele ya haki.

Soma:
- Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao
Umeandika takataka
 
2019/2020 partisan election. Ilikuwa balaa uchaguzi ule, maelekezo ukichagua mpinzani huna kazi Mkurugenzi,wote walikuwa makada. hatari sana tusishabikie hili
 
kwako wewe ila kwangu mimi kwa nchi kafanya mengi mazuri yatakayonufaisha vizazi na vizazi.
Hata makaburu wa Africa kusini walifanya mazuri kuliko ya dhalimu magu, umeona tukiwasifia au wakisifiwa na weusi wa nchi hiyo?
 
Kwani uongo.
Kwa ambao hamkuwepo na msio na kumbukumbu, uchaguzi wa 2020 haukua wa haki.
Alivyosema January Ni ukweli mtupu.
Lakini pia January hajashindwa kuendesha wizara na Wala hakupata uwaziri kwa sababu ya jina la mzee wake.
Tatu, jifunze kuwa na adabu unapowasema waheshimiwa Kama Makamba senior.
Uko sahihi kabisa...sifa namba moja katika Tanzania ya kuwa Waziri ni lazima uwe Mbunge ... January Makamba ni Mbunge zao la uchaguzi wa 2020...na kateuliwa mara tatu kuwa Waziri, once na Magufuli na Twice na Mama.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Huyu mtu baada ya kushindwa kuiongoza wizara aliyopewa bure kutokana umaarufu wa baba yake huko chamani, na pia kushindwa kuisimamia vyema wizara ya mambo ya nje aliyohamishiwa, sasa kaamua kuja na mkakati wa kumchafua hayati Magufuli kwa lengo la kutrend katika mitandao ya kijamii, akifikiri kuwa style hiyo ya kumchafua hayati Magufuli itamsaidia kutoboa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi cha mwaka 2025.

Mimi nafikiri huyu mtu hafai kuendelea kuwa chamani wala wizarani, maana ni mnafiki, mpenda majungu na muendekeza siasa za majitaka zilizopitwa na wakati.

Raisi Samia akiendelea kumfuga huyo mtanga katika chama na baraza lake la mawaziri basi ajue kwamba kuna siku na yeye atakuja kusemwa kama anavyosemwa mwenzake alietangulia mbele ya haki.

Soma:
- Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao
Huyo bado ana kinyongo, asilolijua ni kuwa
unapokuwa na kinyongo na marehemu,unamaanisha unahitaji nawe umfuate mkapigane huko ahera.
 
Wazee wa bao la mkono,refa alijifanya halioni.
Kumbe akaliona baada ya mchezo kuisha
mfungaji aliisoma namba,mpaka akajiunga na waliomlaumu kulifunga
wote wakimlaumu refa. Kweli dunia ni duara
 
Back
Top Bottom