January Makamba anatakiwa aitwe na kuhojiwa na chama chake kuhusiani na kauli zake zinazohusu uchaguzi wa 2020

Mkuu unataka Magufuli achafuke mara ngapi???

Unataka anuke shombo ya uharibifu mara ngapi???

Mtu kukuambia umechafuka, ndio awe amekuchafua???

Kama kweli anamchafua, msafishe weye!!! Tumia haki yako ya kumsafisha! Kwani umekatazwa?? umezuiwa??

Usizuie watu kusema, wao pia ni watanzania!
 
Thibitisheni kwamba alichosema sio cha kweli kama mnaweza. Eti wagombea 200000 laki mbili wa upinzani uchaguzi wa mitaa hawakujua kuandika ila wa ccm idadi hiyohiyo wao walijua kuandika vema
Pole pole bwana!
 
Mkuu mbona unamsakama Januari sana, kakufanyia nini?? Yeye kutoa ya moyoni mwake tu au kuna lingine?? Ukisema hakuna la maana alilofanya, tuambie mawaziri wenzie wamefanya nini? Ama kweli, ukweli unauma!
 
Mkuu mbona unamsakama Januari sana, kakufanyia nini?? Yeye kutoa ya moyoni mwake tu au kuna lingine?? Ukisema hakuna la maana alilofanya, tuambie mawaziri wenzie wamefanya nini? Ama kweli, ukweli unauma!
Haya wewe k**a wake tuelezee la maana alilolifanya zaidi ya ufisadi mkubwa kupitia ile mikataba ya Mahindra?
Ukisikia machafuko ya kisiasa na mauaji basi watu kama wewe ndio huwa mnauwawa kwanza sambamba na hao wabadhirifu fala wewe!
 
Haya wewe k**a wake tuelezee la maana alilolifanya zaidi ya ufisadi mkubwa kupitia ile mikataba ya Mahindra?
Ukisikia machafuko ya kisiasa na mauaji basi watu kama wewe ndio huwa mnauwawa kwanza sambamba na hao wabadhirifu fala wewe!
Mkuu matusi ya nini, tulia utufahamishe vizuri, taratibu, kwa kina na kwa ushahidi kuhusu huo ufisadi wa Mahindra.

Kutishana hapa ni ushahidi tosha kuwa huna hoja hata punje, badala yake unataka kurusha ngumi!

Mie fala, nakushauri uufuate ushauri wa Zito kabwe kuhusu mahaba yako kwa Mwendazake!
 
Inawezekana hujuwepo ila alichokisema ni sahihi na ata kinana amekisema,kama ni kufukuzwa basi tutaanza na samia mwenyewe,kinana na wengine ndo amalizie makamba,maana wote wanakiri hilo
Acha mihemuko penye ukweli pasemwe maaana
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu au nasema uongo ndugu zangu?
 
Alichokisema ni ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli.

Tatizo Aliyesema ni mshiriki wa wizi wa kura. 2015 ndiye alikuwa mtengenezaji mkuu wa matokeo ya Urais... Labda anajaribu kutubu Dhabi zake hadharani.
 
Kichwa na contents haviendani. Inabidi ueleze ni kwa nini ahojiwe na ameongea nini kumhusu jp ili watanzania wenye akili tupime alichoongea kama ni cha kweli au la! Sasa umeandika kibange bange as if una matatizo ya akili
 
Acha magufuli asemwe ili iwe fundisho. Never tena kuwa na rais kama yule. Hakuwa na sifa ya kuwa rais hata chembe
 
Mimi nimshukuru kwa kuniwezesha kubadilisha begi airport,
Lakin huyu bwana mdogo yuko kwenye Black book.
 
Ingawa naichukia CCM mpaka mwisho, ila alichosema January ni kweli
 
Makamba Jr. Amefika hapo kwa kuiba mtihani pale Galanos na kufukuzwa huyo ni tapeli tu kama wengine
 
Magu hachafuliwi, ni mchafu mno
 
Wengine mnafikiri kwa kutumia makalio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…