January Makamba Apewe Nafasi... Mtoto Akianguka Humkati Miguu

Ndalilo.
 
Hii ilikuwa September 2021.
July 2024 mamlaka inaona nilichokiona miaka mitatu iliyopita.
Ooh, Time! What a good teacher!
 
Makamba ni waste of space. Ukiachilia mbali kujuana na kulipana fadhila kunakompa nafasi za uongozi angekua mpiga debe tu wa mitaani. Inasikitisha sana kwa Tanzania yenye watu wema na wenye uwezo wa hali ya juu kuona failed personnel wanakua recycled kila siku kwenye uongozi. Ni kipi hasa cha special kwa huyu jamaa? mtu mshenzi tu na mjivuni asiyeweza lolote kiutendaji, eti anawaza urais wa taifa! Jesus wept
 
😁😁😁👇👇

View: https://youtu.be/deGwIm86FcY?si=9_fGMZrUOuhbi13W
 
Hapa nafikiri naweza ni kama kosa fulani; hakutakiwa really kurudishwa kwenye nafasi nyeti kama hii... angerudishwa na kupewa wizara nyingine ili ajipapambanue; lakini ni wazi hii ni wizara ambayo ilikuwa ni "chaguo" lake kuliko nyingine yeyote.
Mamlaka ilijaribu kujisahihisha na kufuata ushauri wako huu ikampa wizara nyingine yaani Foreign Affairs & EAC lakini la kuvunda halina ubani.
Mamlaka imechukua uamuzi sahihi wa kumuondoa kabisa.
 
You do realize hii ni nchi sio familia ?
 
Hii notes ni ndefu sn
 
Nchi zetu hasa hizi, usipokuwa connection kama wanavyoita watoto wa mjini ni vigumu kupata teuzi hata kama unauewzo wa kusimamia jambo.
 
Hapa umenena vyema mkuu
 
Ukifanya ufisadi wa mali ya umma unakuwa umekwenda tofauti na kiapo kile wanachoapa mawaziri siku ya kuapishwa pale ikulu.

Wengine wote wamebadilishiwa wizara lakini yeye na Nape hawajarudishwa.
 
Hapa nafikiri naweza ni kama kosa fulani; hakutakiwa really kurudishwa kwenye nafasi nyeti kama hii... angerudishwa na kupewa wizara nyingine ili ajipapambanue; lakini ni wazi hii ni wizara ambayo ilikuwa ni "chaguo" lake kuliko nyingine yeyote.
Muda mwingi huwaza kutengeneza michoro ya upigaji kuliko kuleta tija inayotakiwa.
 
Duh...hili linatisha
 
Tatizo hawa vijana hasa wa CCM hawajiamni, kutemwa na CCM si mwisho wa ndoto zako kama kweli una nia ya dhati ya kuwa kiongozi mkubwa wa Taifa na endapo uwezo unao na wanachi wanakukubali.

Muda wa kulialia na kupiga magoti ukishatemwa hasa ukiwa bado kijana ushapitwa na wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…