Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kumbe mnavuna huko eehhAachie vijana sasa,ameshavuna vya kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mnavuna huko eehhAachie vijana sasa,ameshavuna vya kutosha
una akili sana !Nadhani ndoto yake anataka kuwania Urais kupitia CCM.
Hapo ndo niliposhangaa sana,na kwa sasa huwa najiuliza kumbe huyu jamaa pia Ni mwizi wakati Mungu anasema usiibe!!!.Chakaza unajua jamaa bado nafsi inamsuta sana, Bumbuli ndio ambako kura za Urais zilikua nyingi zaidi ya Wapiga kura wenyewe
hivi kumbe lengo sio kuwaletea wananchi maendeleo Bali ni kuvuna tu?Aachie vijana sasa,ameshavuna vya kutosha
Japo kwa asilimia kubwa anawachezea mchezo akili ndogo ili wamtoe kichwani
Lkn kuna watu sio waongeaji wanamjua nje ndani
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !kitengo cha IT masaki kilikua chini yake kwenye uchaguzi wa 2015 leo hii amenyooshwa kama rula
Badilisha basi kichwa habari mkuu unatuchanganya watu tusijetangaza nia kumbe hajatamkaMbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kwa sasa bado hana uhakika kama atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2020.
Makamba ametoa kauli hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo amesema atafanya uamuzi Desemba mwaka huu atakapokuwa mapumzikoni.
“Sina uhakika juu ya hili, sina hakika kama nitahitaji tena kugombea ubunge mwakani. Nitafanya maamuzi sahihi nikiwa mapumzikoni Desemba mwaka huu,” ameandika Makamba.
Makamba amewahi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Muungano, kabla Rais Dk. John Magufuli hajatengua uteuzi huo mapema mwaka huu!
Pia amewahi kugombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2015, lakini alibwagwa kwenye kura za maoni ambapo chama chake kilimteua aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli.
Chanzo: Mtanzania
Kajitenga na kakikundi cha wahuni kalikoiteka CCM. Kajitoa kushiriki uhuni unaoendelea. Historia itamkumbuka.January ni big brain lazima tukubali
Exactly. Wenye Akili kubwa tu ndio wataona hili. Makamba ana 40+, 10~15 yrs to come, jamaa atakuwa 50+. Ni muda ambao kakikundi kaliopo Lumumba sasa hakatukuwa na nafasi tena maana hakuna mtu yeyote makini atakaekubali kuwa na watu wa aina hii ya sasa. Yeye kwa kuwa alikuwa nje ya uwanja wa kuchafuliwa, atarudi siasani akiwa "clean".Kajitenga na kakikundi cha wahuni kalikoiteka CCM. Kajitoa kushiriki uhuni unaoendelea. Historia itamkumbuka.
Even if it were me, I would take that course to avoid shame as it is clearly known that Jiwe will not accept his nomination even if the opinion polls will favour him!
Exactly. Wenye Akili kubwa tu ndio wataona hili. Makamba ana 40+, 10~15 yrs to come, jamaa atakuwa 50+. Ni muda ambao kakikundi kaliopo Lumumba sasa hakatukuwa na nafasi tena maana hakuna mtu yeyote makini atakaekubali kuwa na watu wa aina hii ya sasa. Yeye kwa kuwa alikuwa nje ya uwanja wa kuchafuliwa, atarudi siasani akiwa "clean".
Aiseeeee !!!Wacha asi gombe tu maana kitu alichotufanya wapizani 2015 Mungu pekee ndo anajua, naomba asigombee na apotee kabisa, sasa anavuna alichopanda 2015 nanukuu kauli yake ya 2015 Jecha alivofuta uchaguzi zanzibar January makamba alisema CCM hauwezi kutoka kwa njia ya makaratasi, yeye makamba ndo mkandamizaji wa demokrasia 1, enzi wa JK aliishi kama malaika alikuwa anaringa, anajibu kama anavotaka
Ndo aliye sababisha vifurushi vya simu vikapanda bei wakati akiwa waziri mwenye zamana
Hana chochote cha kutusaidi watanzania, me nashauri apumzike tu zama zake zimepita