Uchaguzi 2020 January Makamba asema hana uhakika kama atagombea Ubunge 2020

Ha
Chakaza unajua jamaa bado nafsi inamsuta sana, Bumbuli ndio ambako kura za Urais zilikua nyingi zaidi ya Wapiga kura wenyewe
Hapo ndo niliposhangaa sana,na kwa sasa huwa najiuliza kumbe huyu jamaa pia Ni mwizi wakati Mungu anasema usiibe!!!.
 
Aende akajiajiri, watanzania wapo wengi .
 
Aachie vijana sasa,ameshavuna vya kutosha

Japo kwa asilimia kubwa anawachezea mchezo akili ndogo ili wamtoe kichwani

Lkn kuna watu sio waongeaji wanamjua nje ndani
hivi kumbe lengo sio kuwaletea wananchi maendeleo Bali ni kuvuna tu?
 
Aseme tu kuwa ameamua kujitoa kushiriki uchaguzi wa mwaka 2020 baada ya kubaini kuwa huo hautakuwa na uhuru wala haki ndani yake.

Hongera jembe letu kwa kuanzisha movement hii ya kususia chaguzi batili na haramu.

BRING BACK OUR
DEMOCRACY
 
Mods badilisheni heading isomeke "Januari Makamba ajitoa kushiriki uchaguzi mkuu 2020".
 
Anagombea Urais? Mungu hadhihakiwi. Hana ubavu na analijua hilo.
 
Badilisha basi kichwa habari mkuu unatuchanganya watu tusijetangaza nia kumbe hajatamka
 
Apumzike tu, hii awamu ya watekaji na wauwaji ikiisha atarudi tena anaweza pata jimbo Dar wala si bumbuli. Awaachie kina bashite wanyonya damu.
 
Kajitenga na kakikundi cha wahuni kalikoiteka CCM. Kajitoa kushiriki uhuni unaoendelea. Historia itamkumbuka.
Exactly. Wenye Akili kubwa tu ndio wataona hili. Makamba ana 40+, 10~15 yrs to come, jamaa atakuwa 50+. Ni muda ambao kakikundi kaliopo Lumumba sasa hakatukuwa na nafasi tena maana hakuna mtu yeyote makini atakaekubali kuwa na watu wa aina hii ya sasa. Yeye kwa kuwa alikuwa nje ya uwanja wa kuchafuliwa, atarudi siasani akiwa "clean".
 
Even if it were me, I would take that course to avoid shame as it is clearly known that Jiwe will not accept his nomination even if the opinion polls will favour him!

Grammar check.
"It" then "were", and at the sometime "it" stands for human.
 
Wacha asi gombe tu maana kitu alichotufanya wapizani 2015 Mungu pekee ndo anajua, naomba asigombee na apotee kabisa, sasa anavuna alichopanda 2015 nanukuu kauli yake ya 2015 Jecha alivofuta uchaguzi zanzibar January makamba alisema CCM hauwezi kutoka kwa njia ya makaratasi, yeye makamba ndo mkandamizaji wa demokrasia 1, enzi wa JK aliishi kama malaika alikuwa anaringa, anajibu kama anavotaka
Ndo aliye sababisha vifurushi vya simu vikapanda bei wakati akiwa waziri mwenye zamana

Hana chochote cha kutusaidi watanzania, me nashauri apumzike tu zama zake zimepita
 
10 years nje ya uwanja wa siasa unasahaulika fasta tu,damu chamga zinazaliwa daily.
 
Aiseeeee !!!
 
Inawezekana anataka agombee Urais, hivyo kumfanya asigombee Ubunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…