#COVID19 January Makamba: Kauli ya Askofu Gwajima kuhusu chanjo na dhamira ya Serikali haikubaliki

si muanze kwanza kuchanjwa wabunge.nyie ndo mnaoguza swala hili kuwa la kisiasa.kwann mlazimishe watu kuchanja si mtuache tu kila mtu afanye maamuzi yake lkn isiwe shuluti.mnawahi kwa wanajeshi,wazee,watumishi wa afya lkn nyie wenyewe mmebunda pembeni ni unafiki uliopiliza.marekani kwenyewe bado wanazipinga hizo chanzo lkn nyie wanasiasa mmebeba mazima mazima kwa nn kwenye pazia kuhusu hii chanjo?
 
Kama chanjo zingekuwa salama, serikali isingejitenga na madhara yanayoweza kujitokeza. Hii chanjo ni ya Vodafasta. Bado upo kwenye utafiti na ndiyo maana inabidi utoe ridhaa ya kufanyiwa utafiti.
Halafu nashangaa kwanini hilo la serikali kujitenga kwa madhara yeyote yatakayompata mtu baada ya kuchanjwa halijadiliwi ila watu wameshikilia suala la Gwajima anapotosha.
 
Kama mmekula dola za wazungu nendeni mkachome hizo sindano msilazimishe wengine
 
sisi ndio taifa teure hatutaki chanjo za mrna technologies zinazoleta ushoga kwa kubadirisha vinasaba tunatumia hiari kukataa chanjo za kitaperi
 


Serikali imefanya yake kama serikali na Gwajima ameongea na familia yake ya ufufuo na uzima kama baba wa kiroho

Nawaelewa sana CCM mimi

Kidumu chama cha mapindunzi💪

Zidumu fikra za mwenyekiti🙏

#AsiyejuaMaanaHaambiwiMaana
 
Mzee Makamba alibomoa nyumba ya mganga wa kienyeji pale jangwani kilichompata.....!
 
Gwajima tupia tena bomu hao mabroker au middle men wameanza kutetemeka acha wafie mbali hao madalali
 
 

Attachments

  • eaab4b4366f54d78a5b452f822fdd6bd.mp4
    2.7 MB
Nilivyo muelewa gwaji boy anataka wanao pigia debe chanjo waje na scientific analysis ya kilichomo kwenye chanjo (analysis waliofanya wenyewe, na sio uliyoandikwa kwenye kasha).

Kutokua mwanasayansi haimaanishi hana mamlaka ya kuhoji na kujiridhisha na dawa anayotakiwa kuitumia. Alicho andika makamba hakiwezi mridhisha kulingana na matakwa ya hiyo hoja yake.

Gwajima ajibiwe na wataalam walioichunguza chanjo kisayansi.
 
Dawa swrikali ifungu kijikuti chake anachokiita kanisa. Yule ni bwege kama hataki chanjo haachane nayo. Waziri mkuu amesema chanzo ni hiari kama hatak yeye haache, abaki na uboya wake uko
 
Jibuni hoja zake kwa hoja sio kukimbilia akamatwe. Yuko sahihi na raia tunamuunga mkono...
 
Kama chanjo zingekuwa salama, serikali isingejitenga na madhara yanayoweza kujitokeza. Hii chanjo ni ya Vodafasta. Bado upo kwenye utafiti na ndiyo maana inabidi utoe ridhaa ya kufanyiwa utafiti.
Nyie endeleeni kudanganyana wenzenu wanachanjwa .... Siku ikiita kama ilivofanya India ndiyo akili itakuja.

Namibia nao walikuwa wabishi mpaka ilipohit ..... Rais na mkewe wakaumwa, Baba wa Taifa (Nujoma) akaumwa, Mawaziri na watu maarufu wakaondoka ... Watu wakafunguka macho!!

Huu ugonjwa kama haujaingia kwenye inner circle zako unaweza ukaupuuza but it's real.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…