#COVID19 January Makamba: Kauli ya Askofu Gwajima kuhusu chanjo na dhamira ya Serikali haikubaliki

Wa
Wakampa na Ubunge.
Nileteeeeeeeee Gwajimaaaa
 
Kama chanjo zingekuwa salama, serikali isingejitenga na madhara yanayoweza kujitokeza. Hii chanjo ni ya Vodafasta. Bado upo kwenye utafiti na ndiyo maana inabidi utoe ridhaa ya kufanyiwa utafiti.
Kwa hiyo tz ndio majaribio....
 
ndgu, nawe umepigwa upofu wa fikra kiasi hicho? kwanini chanjo hii inaambatana na ujazwaji wa fomu kuwa endapo madhara yakitokea serikali isilaumiwe?
 
L
Si chanjo ni hiari? Sasa kelele za nini? Kama Dk. Gwajima kasema hazifai, achaneni nae. Nyie mumkomoe kwa kwenda "kula" chanjo. Au demokrasia mnayoipigania hamuielewi? Kwani Wazungu wore wanaunga mkono chanjo?
 
USA wengi wanagoma kuchanjwa hizo ndizo habari lakini Watanzania wengi hawalifahamu hilo. Chanjo iwe ni hiari ya mtu kwa sababu chanjo zenyewe hazijathibitishwa kwamba ni bora na salama. Unachanjwa at your own risk.
 
Huwa nashangaa sana huyu Gwajima kawezaje kueashikia akili watu.
 
Kwenye hili mm naungana na hayati Jpm....

Tunapinga KUA sehemu ya majaribio ya hizo chanjo.....

Waziri wa afya uingereza pamojaa na chanjo still alipatwa na covid 19......

Study zinasema chanjo hazina ufanisi wa 100%

Mm na ungana na Gwajima kukataa KUA sehemu ya majaribio...
 
Makamba yuko sahihi, huyu Gwajima ni mpotoshaji na hana uelewa wa mambo ila analazimisha maadam tu ana platform ya kuongelea apuuzwe, akemewe kama alivyofanya JM. Ila najua wachache watamkemea maana wanaogopa reaction yake.

Kwani nani kawaambia serikali haziwezi kuuza ama kuua wananchi wake wenyewe...?

Serikali zinaweza kununuliwa na kisha kupandikiziwa viongozi makuwadi na mawakala wa shetani na shetani kazi yake siku zote ni kuiba, kuharibu na kuua...!

Bishop Rev. Josephat Gwajima ni sauti ya mtu aliaye nyikani. Atauangusha mbuyu mpaka mtashangaa. Huyu Askofu mtumishi na mwakilishi wa ufalme wenye nguvu kubwa na mfalme wa wafalme wake ni Yesu Kristo..

Rev. Josephat Gwajima ni moja ya push factor ya kuisukumizia na kuizika CCM na siasa zake chafu kaburini moja kwa moja...

Mlimpokea na kumfanya mwanachama wa CCM mzuri. Lakini mnatofautiana naye katika falme mnazozitumikia...

Mwenzenu Mch. Gwajima anatumikia ufalme wa nuru ya mwanakondoo wa Mungu Yesu Kristo...

Nyie mnatumikia ufalme wa shetani ibilisi, ufalme wa giza kuu...

Subirini "crash" itakayotokea maana kuna maeneo hamtakubaliana naye, atawapinga hadharani na hamtamfukuza unless mmekubaliana naye na ndivyo itakavyokuwa...

Hata tufanyeje Mungu Yehova atabaki kuwa Mungu milele na milele. Nuru hushinda giza daima..

Aash, acheni Mungu aitwe Mungu...!
 
Vijana wa gaidi mnaupiga mwingi Sana.
 
Andika kwa herufi kubwa ionekane hii.

Nitashangaa sana huju mfufuaji misukule akiwa bado yupo mtaani hadi kesho.

Angesema Heche walahi angeshavamiwa tayari.
 
Comparing the COVID-19 Vaccines: How Are They Different?
 
CCM wanaendelea kunyukana wenyewe...

Sio mbali sana walianza na Sukuma-Gang vs Non Sukuma-Gang...

Sasa hivi taratibu inaibuka kambi ya Chanjo-Gang vs Anti-Chanjo Gang...

Hata hivyo Makamba kazungumza kama mwanasiasa, wakati Gwajima alizungumza based on his spiritual belief, mijadala ya ama kuchanja au kutokuchanja ipo karibu kila nchi na zaidi kwa wale walio tayari kupokea chanjo kuna mijadala ya chanjo gani yafaa na ipi isiyofaa...
 
Nchi nzima hakuna mtaalamu wa kutengeneza simu sembuse virological analysis bro acha utani
 
Kwaio chanjo ya Uingereza nayo yamajaribio
 
Askofu Gwajima ANATIA AIBU....
Askofu Gwajima ANAWAAIBISHA WAKAZI WA KAWE.....

#ChanjoNiMuhimu
#TwendeniTukachanjwe
#NchiKwanza
#JMTMilele
#KaziIendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…