LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Yepi hayo mkuuKuna jopo la mabalozi wa zamani kina Balozi Ombeni Sefue na Peter Kallaghe lilitumwa kufanya uchunguzi Wizara ya Mambo ya Nje, likakuta madudu mengi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yepi hayo mkuuKuna jopo la mabalozi wa zamani kina Balozi Ombeni Sefue na Peter Kallaghe lilitumwa kufanya uchunguzi Wizara ya Mambo ya Nje, likakuta madudu mengi sana.
ZAKAYO pia anatakiwa aondoke, nakuunga mkonoNext ni Mwigulu Nchemba, kama mama yuko serious anataka tumuunge mkono kwanza tunampongeza kuwaondowa hao wahuni lakini bado Mwigulu Nchemba aondolewe pia.
CCM hawaibi kura. Wanaiba matokeo. Kama alivyosema Nape na wengine kabla yake. Tangazo la mwenyekiti wa tume ndiyo kila kitu.Ccm imekuwa ikiiba kura toka 1995 wakati huo hawa wawili sio lolote. Hakuna fundi wa kuiba kura CCM bali ni Chama ndio fundi
Sasa nbona nakamba ana muda mchache tu wizarani hayo madudu kayafanya liniKuna jopo la mabalozi wa zamani kina Balozi Ombeni Sefue na Peter Kallaghe lilitumwa kufanya uchunguzi Wizara ya Mambo ya Nje, likakuta madudu mengi sana.
Fulus ndiyo zimemponza nilivyosikia.Kuna uwezekano mkubwa rais Samia Suluhu Hassan ametengua iteuzi wa January Makamba kwenye nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kutokana na kuitwa rais ajaye na mashabiki zake wa kusiasa hasa kwenye mitandao yake ya kijamii
Wewe ungemuacha? Sasa ndio anatakiwa akajipange sawa sawa kuchukua fomu 😂😂Kuna uwezekano mkubwa rais Samia Suluhu Hassan ametengua iteuzi wa January Makamba kwenye nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kutokana na kuitwa rais ajaye na mashabiki zake wa kusiasa hasa kwenye mitandao yake ya kijamii
Pia mahusiano ya dada yake Mwamvita Makamba na mwanaharakati wa kwenye mitandao ya kijamii Mange Kimambi yaweza kuwa sababu nyingine ya kupigwa ngwara January kwenye nafasi yake hiyo
Rais Samia Suluhu Hassan amefanyamabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuwapiga ngwara baadhi ya mawaziri akiwa Makamba
Kabla ya utenguzi huo wa rais Julai 21, 2024 January makamba alikuwa akitumikia nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki
Uchunguzi unaonyesha kuwa Makamba kila akiposti kitu kwenye kurasa zake za kijamii wachangiaji wake wakubwa wanapenda kukomenti rais ajaye au my president au president material
Inawezakana Makamba hajawatuma washabiki wake hao kuandika hivyo au kumuita hivyo wanapokutana naye au pengine ni mbinu zake za kisiasa kuwajenga watu hao wafanye hivyo
Hata humu jukwaani Jamii Forums kuna post nyingi zilizo andikwa kuhusu January Makamba kwamba ni rais ajaye au "president material"
Mara chache Makamba alikuwa akiwaeleza mashabiki zake hao wa kisiasa kwa kukanusha kuwa urais 2025 mpaka 2030 ni wa rais aliyepo madarakani Samia kumaliza muda wake na kwamba yeye kama kufikiria kuwania nafasi hiyo ni baada ya kipindi hicho cha mwisho cha urais wa Samia
Pengine hali hiyo imemtisha rais Samia na kumuweka Makamba benchi kwanza kwenye uwaziri ili ampunguze kasi na kusahaulika kwenye ulimwengu wa siasa za Tanzania
Kwenye ukaribu wa dada yake Mwamvita na Mange Kimambi kuna uwezekana pengine kumemponza kutokana na kudaiwa kuwa ndiye anayempa Mange taarifa nyingi za ndani ya Serikali na ofisi ya rais
Ila Huwa hamsemi Kwa nini hafaiJanuari alikuwa hafai tu kuwa waziri. Alipata uwaziri kwa sababu ya jina la baba yake, lakini execution ya utendaji wake ni bure kabisa. Hata kwenye wizara ya nishati aliondolewa kwa sababu hiyo hiyo.
Hawa wahuni Kuna kitumwendazake aliona akawatimua, Sasa imedhihirika kweli Ni wahuni. Imagine Makamba alitaka aibe pesa kwa kisingizio Cha kujenga magorofa Nairobi wakati Bumbuli hakuna hata gorofa moja.Next ni Mwigulu Nchemba, kama mama yuko serious anataka tumuunge mkono kwanza tunampongeza kuwaondowa hao wahuni lakini bado Mwigulu Nchemba aondolewe pia.
Hakuna hata sababu moja ni ya kweli kati ya ulizotoa hapa, ila ukweli ni kwamba January Makamba hana Uwezo wowote ule iila tu Ukaribu wake na aliyekuwa Rais wa Tanzania Mzee Kikwete kupitia kwa Baba yake ndiko Kulimbeba na pia tabia yake ya kutokuwa na Maadili kama Mtumishi na Ufisadi alioufanya, Tamaa, Majungu kwa Mama ( Rais ) na Unafiki ( Undumilakuwili ) wake vyote kwa pamoja ndiko Kummemgharimu.Kuna uwezekano mkubwa rais Samia Suluhu Hassan ametengua iteuzi wa January Makamba kwenye nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kutokana na kuitwa rais ajaye na mashabiki zake wa kusiasa hasa kwenye mitandao yake ya kijamii
Pia mahusiano ya dada yake Mwamvita Makamba na mwanaharakati wa kwenye mitandao ya kijamii Mange Kimambi yaweza kuwa sababu nyingine ya kupigwa ngwara January kwenye nafasi yake hiyo
Rais Samia Suluhu Hassan amefanyamabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuwapiga ngwara baadhi ya mawaziri akiwa Makamba
Kabla ya utenguzi huo wa rais Julai 21, 2024 January makamba alikuwa akitumikia nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki
Uchunguzi unaonyesha kuwa Makamba kila akiposti kitu kwenye kurasa zake za kijamii wachangiaji wake wakubwa wanapenda kukomenti rais ajaye au my president au president material
Inawezakana Makamba hajawatuma washabiki wake hao kuandika hivyo au kumuita hivyo wanapokutana naye au pengine ni mbinu zake za kisiasa kuwajenga watu hao wafanye hivyo
Hata humu jukwaani Jamii Forums kuna post nyingi zilizo andikwa kuhusu January Makamba kwamba ni rais ajaye au "president material"
Mara chache Makamba alikuwa akiwaeleza mashabiki zake hao wa kisiasa kwa kukanusha kuwa urais 2025 mpaka 2030 ni wa rais aliyepo madarakani Samia kumaliza muda wake na kwamba yeye kama kufikiria kuwania nafasi hiyo ni baada ya kipindi hicho cha mwisho cha urais wa Samia
Pengine hali hiyo imemtisha rais Samia na kumuweka Makamba benchi kwanza kwenye uwaziri ili ampunguze kasi na kusahaulika kwenye ulimwengu wa siasa za Tanzania
Kwenye ukaribu wa dada yake Mwamvita na Mange Kimambi kuna uwezekana pengine kumemponza kutokana na kudaiwa kuwa ndiye anayempa Mange taarifa nyingi za ndani ya Serikali na ofisi ya rais
Czani kama hiyo ni sababu, kwani tenguzi/teuzi hizi ni kama sandakalawe tu, akiamua ni hivyo, sasa mfano kwenye ardhi kulikuwa kuna shida gani? Alijitahidi kiasi chake lakini yuko wapi?Kuna uwezekano mkubwa rais Samia Suluhu Hassan ametengua iteuzi wa January Makamba kwenye nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kutokana na kuitwa rais ajaye na mashabiki zake wa kusiasa hasa kwenye mitandao yake ya kijamii
Pia mahusiano ya dada yake Mwamvita Makamba na mwanaharakati wa kwenye mitandao ya kijamii Mange Kimambi yaweza kuwa sababu nyingine ya kupigwa ngwara January kwenye nafasi yake hiyo
Rais Samia Suluhu Hassan amefanyamabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuwapiga ngwara baadhi ya mawaziri akiwa Makamba
Kabla ya utenguzi huo wa rais Julai 21, 2024 January makamba alikuwa akitumikia nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki
Uchunguzi unaonyesha kuwa Makamba kila akiposti kitu kwenye kurasa zake za kijamii wachangiaji wake wakubwa wanapenda kukomenti rais ajaye au my president au president material
Inawezakana Makamba hajawatuma washabiki wake hao kuandika hivyo au kumuita hivyo wanapokutana naye au pengine ni mbinu zake za kisiasa kuwajenga watu hao wafanye hivyo
Hata humu jukwaani Jamii Forums kuna post nyingi zilizo andikwa kuhusu January Makamba kwamba ni rais ajaye au "president material"
Mara chache Makamba alikuwa akiwaeleza mashabiki zake hao wa kisiasa kwa kukanusha kuwa urais 2025 mpaka 2030 ni wa rais aliyepo madarakani Samia kumaliza muda wake na kwamba yeye kama kufikiria kuwania nafasi hiyo ni baada ya kipindi hicho cha mwisho cha urais wa Samia
Pengine hali hiyo imemtisha rais Samia na kumuweka Makamba benchi kwanza kwenye uwaziri ili ampunguze kasi na kusahaulika kwenye ulimwengu wa siasa za Tanzania
Kwenye ukaribu wa dada yake Mwamvita na Mange Kimambi kuna uwezekana pengine kumemponza kutokana na kudaiwa kuwa ndiye anayempa Mange taarifa nyingi za ndani ya Serikali na ofisi ya rais
Haya sasa huyo mwalimu kuna kitu gani anafanya huko zaidi ya uchawa tu, lakini ataendelea sana kuwepo!! Yaani hata huwezi kujua tunataka nini, ni sandakalawe tuBado ummy Mwalimu hawa warudi kweny majimbo yao , maana wako busy na wizara kuliko wnanchi wao .
Nina imani passport zetu za kidiplomasia zipo salama.Wizara ya Mambo ya Nje, likakuta madudu mengi sana
Kwa hiyo watateuliwa kwenye chama au kwenye tume ya uchaguzi?Hawa wametolewa ili wa focus na goli la mkono 2025. Hawa ndo campaign coordinators na mafundi wa njia za panya.
Samia kweli ni chura kiziwi!Kuna jopo la mabalozi wa zamani kina Balozi Ombeni Sefue na Peter Kallaghe lilitumwa kufanya uchunguzi Wizara ya Mambo ya Nje, likakuta madudu mengi sana.
Madudu gani hayo mbona January alikuwa akifanya vizuri tu wizara hiyo isitoshe amekaa muda mfupiKuna jopo la mabalozi wa zamani kina Balozi Ombeni Sefue na Peter Kallaghe lilitumwa kufanya uchunguzi Wizara ya Mambo ya Nje, likakuta madudu mengi sana.
Dogo huyo ni nani? Karudishwa akachakachue matokeo kama alivyosema Nape mshindi inategemea nani anatangaza matokeo?Bado dogo ni raisi ajaye. Amerudishwa masaki for 2025. Mbinu za Kizimkazi wengi zinawapiga chenga.
Ubaya ubwelaUkibebwa bebeka
Ummy Mwalimu kipenzi na jembe la mama hilo haligusiHaya sasa huyo mwalimu kuna kitu gani anafanya huko zaidi ya uchawa tu, lakini ataendelea sana kuwepo!! Yaani hata huwezi kujua tunataka nini, ni sandakalawe tu
Ndio hapo, tunasema ni sandakalawe, sasa MASWI, wa nini kwenye ukatibu mkuu,? Hayo mambo ndio Gen-z wanayapinga toka enzi hizo ni watu wa kuteuliwa tu, hakuna watu wapya kweli?Ummy Mwalimu kipenzi na jembe la mama hilo haligusi