Tetesi: January Makamba kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara

Makamba amepevuka anaimudu hiyo nafasi sio mawenge kama toto TUNDU lisusu
 
Makamba hata kulitamka jina la Samia amekuwa km mtoto aliyemeza uji wa moto.. safari hii amekopa kausha damu..
 
January ndio Rais wa baadae baada ya Ridhiwani kikwete, hiyo nafasi inamfaa ili kukijenga chama zaidi.... Acha tuwape nchi vijana pia baada ya Samia akimaliza....povu Ruksa.
Mkuu labd rais wa vijana Tanzania
 
Mizengo pinda ndiye atakuwa makamu mwenyekiti wa ccm
 
Sasa ni pinda vs makamba
Mizimu ya sumbawanga vs mizimu ya Tanga
 
Natamani Makamu Mwenyekiti wa CCM awe Dkt YAHAYA NAWANDA, Mungu saidia Duwa langu ama ndoto yangu hii ikawe kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…