Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mimi hata huwaga sijisumbui kusoma hivi vibulogu. Haka kajamaa kana umri gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BTW: Hizi blogging za kina January kwanini wasije hapa hata wakaingia na majina yao wakajibu hoja kwa hoja? Au wanataka waandike na kusomwa tuuuu?
I have cought you mwalimu,kwa kuwa na blog ndio naona sawa hata sisi tutaweza kumfikia na kumuuliza maswali moja moja.
Hamuwezi Nyama hatari ile ni namba nyingine nam miss sana,lol wewe humuwezi kakushinda YNIM ijekuwa JM.
..naona watu wako so negative na huyu dogo.
..kuhusu conflict na kazi yake, atakuwa mpumbavu kama ataanza kuandika mambo asiyotakiwa kuyaandika ktk blog yake. that is not something we should worry about. watamalizana na muajiri wake na mamlaka yake ya nidhamu.
"It was not by accident that Mangwairs song Mitungi, Blanti, Mikasi was hugely popular. Nihilistic at its core, it depicts the social realities of Tanzanias youth and speaks to their innermost desires. It challenges the dominant social paradigms, expresses the youths yearning for attention, embodies defiance to established cultural norms, and, significantly, pushes the bounds of political expression, basically saying we enjoy consuming alcohol, procuring prostitutes and using drugs. There is nothing you can do about it and you can go to hell if you dont like it! Also, bangi bangi, a number by the cantankerous yet enormously talented young artist called 20% is another illustration. Indeed, as much as many young people enjoy the technical aspect of the songs (instrumentation, etc.), most relish the idea of provocation implied in the songs lyrics a la Thomas Kuhns disturbance of the paradigm and the fact that they can get away with it. For the songwriters and producers (in their 20s) and all those who enjoyed the songs, it was both a political protest and expression of freedom. And when the government announced that it is considering banning Mangwair's song, it played right into the hands of the songs creators and the track had served it purpose."
Mie natisha kama njaa wewe bwa'mdogo!! mwacheni huyo ma-rope na ka-blog kake ndebele...nakapa miezi mitatu tu, kabla hakajafikwa na umauti dunia!😉!! ameeeen!
Nyani N, umekula turkey lakini na rojorojo au ndio ulikuwa unavusha kama kawaida yako??😀
January alikuwa mpambanaji online kabla ya kurudi bongo.Alikuwa very critical kwa maamuzi ya serikali na alikuwa mkweli, baada ya kuingia serikalini kageuka kuwa msemaji wa serikali asiyetaka kusikia chochote kibaya kinasemwa kuhusu serikali, amekuwa overly defensive .
Blog yake yenyewe haina muelekeo, anatuonyesha subconscious wishes zake kwamba anataka Tanzania iwe nchi ya kidikteta na Kikwete apewe a blank cheque.
Ze thing iz sho dauni.
mi livu in marekan, weki with latino spiki lesi inlglishi and nolatino neva.
so hou i wili inta the makamba blogu endi right inglishi??
weni iwent to skull in primary ticha tichi mi inglishi bati himslufu donnti noo.
so hou do yu wanti mi tu noo?
pipo sei it is mai misiteki, bati hou mai misteki ididinti du enesing iwaz a pyupyulu tu.
senki yuu januali makamba
mi madela
Ze thing iz sho dauni.
mi livu in marekan, weki with latino spiki lesi inlglishi and nolatino neva.
so hou i wili inta the makamba blogu endi right inglishi??
weni iwent to skull in primary ticha tichi mi inglishi bati himslufu donnti noo.
so hou do yu wanti mi tu noo?
pipo sei it is mai misiteki, bati hou mai misteki ididinti du enesing iwaz a pyupyulu tu.
senki yuu januali makamba
mi madela
Haka kajamaa kajinga sana......hapa kanasema
"...It looks like everyone has a blog these days. I have one too - a serious one! I intend to tap the best brains as contributors...."
....yaani kalitegemea nini.......it looks like......soo what!.......hiyo statement yake tells alot of nonsenses from this young man.............
Tunajua anamtetea mkulu kuwa ni kiongozi mpole na ambaye hafanyi maamuzi yake kidikteta au kwa shinikizo kama watu wengi wanavyotaka na ndiyo maana amelileta hili suala la udikteta kwenye blog yake.
Ila hapa January anakosa point moja kubwa nayo ni kwamba,sifa mojawapo ya kiongozi imara ni kufanya maamuzi mazito na yenye maslahi kwa taifa katika muda muafaka! na ukiangalia utaona hii ni moja ya mapungufu makubwa ya mkulu wetu! yeye hawezi kufanya maamuzi yoyote yale bila ya kamati kuteuliwa! na ndiyo maana wananchi wanataka mtu serious!.Sasa hiyo haimaanishi kuwa tunataka madikteta! au tunapendelea udikteta! No we dont need that.Na vile vile January anatakiwa aelewe kuwa kwa kiongozi kufanya maamuzi hayo katika muda mwafaka haimaanishi kuwa kiongozi huyo ni dikteta!!! na pia ukiona kiongozi yoyote yule anakosa sifa hiyo basi ujue huyo hapaswi kupewa dhamana ya kuliongoza taifa.Huyo anapaswa kwenda kulima mananasi kule Bagamoyo na aawachie watu wenye gut ya kuchukua hatua mara moja kwa maslahi ya wananchi na taifa kwa ujumla.
bora kule kuliko kule mwanakijiji.com
Naona huyo ana tatizo la communication skills.Sasa hizo hotuba anazomwandikia Kikwete si hatari.
Naona hata promota wake Issa Michuzi kaamua kung`oa post yake January Makamba ya promotion yenye picha yake na comments zote za bloggers kazing`oa kwenye blog yake.Inawezekana naye kaona ni nonsense tupu au January Makamba kakumbana na wanaojua kuchambua akajiona nonsense akamwomba Michuzi atoe post kuogopa kuadhirika kwenye public wakisoma comments za bloggers.
Sasa kwa kule Issa Michuzi tu anaogopa hadi kutoa post je bloggers wangevamia blog yake na makombora ya hoja kama wanavyofanya jamii forum si angehama Ikulu na kukimbia nchi.
kinda strange
wanaompiga vita JM humu ndani have one thing in common
thats why i am enjoying every moment ya posts zao humu
in profiling they seem to have same things in common
bloody hell
Mkuu Netanyahu nimekupata lakini jamaa naona ameirudisha tena hiyo posting ya huyu jamaa yawezekana atakuwa amesoma jamii forums and may be comment yako, nimechek lakini naona ameruhusu positive comments tu yawezekana ni za wale wale watu wa karibu tu, ametia kapuni critics comments zote. kazi ipo kweli kweli