January Makamba na blog yake

January Makamba na blog yake

Status
Not open for further replies.
Mimi hata huwaga sijisumbui kusoma hivi vibulogu. Haka kajamaa kana umri gani?
 
kinda strange

wanaompiga vita JM humu ndani have one thing in common

thats why i am enjoying every moment ya posts zao humu

in profiling they seem to have same things in common

bloody hell
 
..jamani tuende taratibu kidogo.

..naona watu wako so negative na huyu dogo.

..hivi haiwezekani kwamba muda ambao angeupoteza kwenda bia na nyama choma, ndiyo atakaotumia ku-blog.

..kuhusu conflict na kazi yake, atakuwa mpumbavu kama ataanza kuandika mambo asiyotakiwa kuyaandika ktk blog yake. that is not something we should worry about. watamalizana na muajiri wake na mamlaka yake ya nidhamu.

NB:

..tusimkweze huyu kijana wa Mzee Makamba kwa sifa za Baba yake.

..pia tusimhukumu kwa makosa au mapungufu ya Baba yake.

..kwa mahali alipofikia kikazi he should be judged on his own merits.
 
BTW: Hizi blogging za kina January kwanini wasije hapa hata wakaingia na majina yao wakajibu hoja kwa hoja? Au wanataka waandike na kusomwa tuuuu?

Una mawazo chanya sana wewe, ndo maana huonekani. Tungekuibia, si unajua tabia ya taifaletu?
 
I have cought you mwalimu,kwa kuwa na blog ndio naona sawa hata sisi tutaweza kumfikia na kumuuliza maswali moja moja.

Hamuwezi Nyama hatari ile ni namba nyingine nam miss sana,lol wewe humuwezi kakushinda YNIM ijekuwa JM.

Mie natisha kama njaa wewe bwa'mdogo!! mwacheni huyo ma-rope na ka-blog kake ndebele...nakapa miezi mitatu tu, kabla hakajafikwa na umauti dunia!😉!! ameeeen!

Nyani N, umekula turkey lakini na rojorojo au ndio ulikuwa unavusha kama kawaida yako??😀
 
..naona watu wako so negative na huyu dogo.

..kuhusu conflict na kazi yake, atakuwa mpumbavu kama ataanza kuandika mambo asiyotakiwa kuyaandika ktk blog yake. that is not something we should worry about. watamalizana na muajiri wake na mamlaka yake ya nidhamu.

Duuh, naona leo it's a low point, hatuko upande mmoja mkuu wa wakuu wangu, the illustrious JokaKuu. 🙂

Angalia hapa ndugu yako anapoikosoa serikali wakati yeye mwenyewe ni Presidential aid, kama ni kweli jamaa ni mwandishi wa Kikwete. (Usichukulie neno "ndugu yako" literally. But then again who knows ?!!)

Anatetea kikundi kinaitwa "Bangi Bangi" ambacho kinatukuza ulevi, ukabaha na madawa ya kulevya.
"It was not by accident that Mangwair’s song “Mitungi, Blanti, Mikasi” was hugely popular. Nihilistic at its core, it depicts the social realities of Tanzania’s youth and speaks to their innermost desires. It challenges the dominant social paradigms, expresses the youths’ yearning for attention, embodies defiance to established cultural norms, and, significantly, pushes the bounds of political expression, basically saying “we enjoy consuming alcohol, procuring prostitutes and using drugs. There is nothing you can do about it and you can go to hell if you don’t like it!” Also, “bangi bangi”, a number by the cantankerous yet enormously talented young artist called 20% is another illustration. Indeed, as much as many young people enjoy the technical aspect of the songs (instrumentation, etc.), most relish the idea of provocation implied in the songs’ lyrics – a la Thomas Kuhn’s “disturbance of the paradigm” – and the fact that they can get away with it. For the songwriters and producers (in their 20s) and all those who enjoyed the songs, it was both a political protest and expression of freedom. And when the government announced that it is considering banning Mangwair's song, it played right into the hands of the song’s creators and the track had served it purpose."
 
Mie natisha kama njaa wewe bwa'mdogo!! mwacheni huyo ma-rope na ka-blog kake ndebele...nakapa miezi mitatu tu, kabla hakajafikwa na umauti dunia!😉!! ameeeen!

Nyani N, umekula turkey lakini na rojorojo au ndio ulikuwa unavusha kama kawaida yako??😀

Aisee bata mzinga leo nimemtafuna ile mbaya halafi nikateremshia na Heineken zangu tatu....kila kitu swaaaaafi na kesho najidamkia mall kuwahi sale. Najua wewe utakuwa kazini kufunga watu vidonda....Lol
 
Ni nzuri,sio mbaya.Huo ndio mtizamo wake kwamba ameingia ktk blogging world kutokana na kua ameona everybody have got it hivyo asibaki nyuma.
 
January alikuwa mpambanaji online kabla ya kurudi bongo.Alikuwa very critical kwa maamuzi ya serikali na alikuwa mkweli, baada ya kuingia serikalini kageuka kuwa msemaji wa serikali asiyetaka kusikia chochote kibaya kinasemwa kuhusu serikali, amekuwa overly defensive .

Blog yake yenyewe haina muelekeo, anatuonyesha subconscious wishes zake kwamba anataka Tanzania iwe nchi ya kidikteta na Kikwete apewe a blank cheque.

Tunajua anamtetea mkulu kuwa ni kiongozi mpole na ambaye hafanyi maamuzi yake kidikteta au kwa shinikizo kama watu wengi wanavyotaka na ndiyo maana amelileta hili suala la udikteta kwenye blog yake.
Ila hapa January anakosa point moja kubwa nayo ni kwamba,sifa mojawapo ya kiongozi imara ni kufanya maamuzi mazito na yenye maslahi kwa taifa katika muda muafaka! na ukiangalia utaona hii ni moja ya mapungufu makubwa ya mkulu wetu! yeye hawezi kufanya maamuzi yoyote yale bila ya kamati kuteuliwa! na ndiyo maana wananchi wanataka mtu serious!.Sasa hiyo haimaanishi kuwa tunataka madikteta! au tunapendelea udikteta! No we dont need that.Na vile vile January anatakiwa aelewe kuwa kwa kiongozi kufanya maamuzi hayo katika muda mwafaka haimaanishi kuwa kiongozi huyo ni dikteta!!! na pia ukiona kiongozi yoyote yule anakosa sifa hiyo basi ujue huyo hapaswi kupewa dhamana ya kuliongoza taifa.Huyo anapaswa kwenda kulima mananasi kule Bagamoyo na aawachie watu wenye gut ya kuchukua hatua mara moja kwa maslahi ya wananchi na taifa kwa ujumla.
 
Ze thing iz sho dauni.

mi livu in marekan, weki with latino spiki lesi inlglishi and nolatino neva.

so hou i wili inta the makamba blogu endi right inglishi??

weni iwent to skull in primary ticha tichi mi inglishi bati himslufu donnti noo.

so hou do yu wanti mi tu noo?

pipo sei it is mai misiteki, bati hou mai misteki ididinti du enesing iwaz a pyupyulu tu.

senki yuu januali makamba

mi madela

Hii imenivunja mbavu Madilu
 
Kaka hii kweli kabisaaaa
 
Haka kajamaa kajinga sana......hapa kanasema
"...It looks like everyone has a blog these days. I have one too - a serious one! I intend to tap the best brains as contributors...."

....yaani kalitegemea nini.......it looks like......soo what!.......hiyo statement yake tells alot of nonsenses from this young man.............

Naona huyo ana tatizo la communication skills.Sasa hizo hotuba anazomwandikia Kikwete si hatari.

Naona hata promota wake Issa Michuzi kaamua kung`oa post yake January Makamba ya promotion yenye picha yake na comments zote za bloggers kazing`oa kwenye blog yake.Inawezekana naye kaona ni nonsense tupu au January Makamba kakumbana na wanaojua kuchambua akajiona nonsense akamwomba Michuzi atoe post kuogopa kuadhirika kwenye public wakisoma comments za bloggers.

Sasa kwa kule Issa Michuzi tu anaogopa hadi kutoa post je bloggers wangevamia blog yake na makombora ya hoja kama wanavyofanya jamii forum si angehama Ikulu na kukimbia nchi.
 
But who is the hell January Makamba, to the extent of being discussed here?
Can some one tell me?
 
Tunajua anamtetea mkulu kuwa ni kiongozi mpole na ambaye hafanyi maamuzi yake kidikteta au kwa shinikizo kama watu wengi wanavyotaka na ndiyo maana amelileta hili suala la udikteta kwenye blog yake.
Ila hapa January anakosa point moja kubwa nayo ni kwamba,sifa mojawapo ya kiongozi imara ni kufanya maamuzi mazito na yenye maslahi kwa taifa katika muda muafaka! na ukiangalia utaona hii ni moja ya mapungufu makubwa ya mkulu wetu! yeye hawezi kufanya maamuzi yoyote yale bila ya kamati kuteuliwa! na ndiyo maana wananchi wanataka mtu serious!.Sasa hiyo haimaanishi kuwa tunataka madikteta! au tunapendelea udikteta! No we dont need that.Na vile vile January anatakiwa aelewe kuwa kwa kiongozi kufanya maamuzi hayo katika muda mwafaka haimaanishi kuwa kiongozi huyo ni dikteta!!! na pia ukiona kiongozi yoyote yule anakosa sifa hiyo basi ujue huyo hapaswi kupewa dhamana ya kuliongoza taifa.Huyo anapaswa kwenda kulima mananasi kule Bagamoyo na aawachie watu wenye gut ya kuchukua hatua mara moja kwa maslahi ya wananchi na taifa kwa ujumla.

Wembe lakini hiyo ndiyo aliyosomea chuoni. Yaani mambo ya conflict analysis bila shaka na jinsi ya kutatua migogoro.
Sasa nadhani anadhani kwa kutumia blog atatatua confilict ya wadanganyika na boss wake plus rafiki kipenzi wa babake.
 
bora kule kuliko kule mwanakijiji.com
ztxd.gif
 
Naona huyo ana tatizo la communication skills.Sasa hizo hotuba anazomwandikia Kikwete si hatari.

Naona hata promota wake Issa Michuzi kaamua kung`oa post yake January Makamba ya promotion yenye picha yake na comments zote za bloggers kazing`oa kwenye blog yake.Inawezekana naye kaona ni nonsense tupu au January Makamba kakumbana na wanaojua kuchambua akajiona nonsense akamwomba Michuzi atoe post kuogopa kuadhirika kwenye public wakisoma comments za bloggers.

Sasa kwa kule Issa Michuzi tu anaogopa hadi kutoa post je bloggers wangevamia blog yake na makombora ya hoja kama wanavyofanya jamii forum si angehama Ikulu na kukimbia nchi.

Mkuu Netanyahu nimekupata lakini jamaa naona ameirudisha tena hiyo posting ya huyu jamaa yawezekana atakuwa amesoma jamii forums and may be comment yako, nimechek lakini naona ameruhusu positive comments tu yawezekana ni za wale wale watu wa karibu tu, ametia kapuni critics comments zote. kazi ipo kweli kweli
 
kinda strange

wanaompiga vita JM humu ndani have one thing in common

thats why i am enjoying every moment ya posts zao humu

in profiling they seem to have same things in common

bloody hell

Mkuu maneno yako yana ukweli ndani yake.
 
Mkuu Netanyahu nimekupata lakini jamaa naona ameirudisha tena hiyo posting ya huyu jamaa yawezekana atakuwa amesoma jamii forums and may be comment yako, nimechek lakini naona ameruhusu positive comments tu yawezekana ni za wale wale watu wa karibu tu, ametia kapuni critics comments zote. kazi ipo kweli kweli

Ni kweli kairudisha lakini kama methali isemavyo njia ya mwongo fupi ameshindwa kubadili tarehe.Ile ya jana aliiposti tarehe 27.11.2008 na tarehe chini ya picha ya jana ilionyesha hivyo na ikaanza kujadiliwa.Baadaye leo kairudisha lakini uwongo wake kashindwa kuuficha inaonyesha imepostiwa tena leo tarehe 28.11.2008.

Alipoona mambo ya Moto Michuzi jana tarehe 27.11.2008 akaiondoa na comments za bloggers zote na kairudisha leo tarehe 28.11.2008 check hata hiyo tarehe ya post kwenye blog ya Michuzi.Akairudisha ili awafanye bloggers nanga ili watu waanze kuijadili upya baada ya kuiondoa ile post na comments zote za blogers za tarehe 27.11.2008 zilizojaa asiyoyataka mheshimiwa January ayaone.Akataka mechi ianze upya kwa kujaza tu wale waimba kwaya wanaomsifia mheshimiwa January Makamba ili mheshimiwa January ajisikie vizuri.

Kitendo alichofanya Michuzi kinazidi kuishusha hadhi blogu yake.Ajue kuwa bloggers wengi siyo akina yahe unaoweza kuwachezea kirahisi wasijue umewachezea.

Michuzi naye ni fisadi wa blogu.Ndio maana walio serious kujadili mambo walishamtoroka wengi.

ANYWAY NAAPA SITAENDA TENA KUTEMBELEA HIYO BLOGU YA MICHUZI WALA YA HUYO JANUARY MAANA WAO WANATAKA TU WAIMBAJI WA KUWAIMBIA NYIMBO ZA KUWATUKUZA SASA MIMI SIJAWAHI KUIMBA KWAYA WALA BENDI YOYOTE NA SITARAJII KUWA MWIMBA KWAYA au mpiga drum ZA KUMSIFIA MICHUZI AU JANUARY HATA SIKU MOJA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom